Kwani huku kusaidiana lazima anaeombwa msaada atangaze? Kwamba fulani ananiomba msaada.⚡️⚠️🛩🇮🇷🇺🇸🗣 Zelensky continues to insist that the US asked him for help with drones.
📍Today, Trump stated that they do not need Ukraine's help and that they are not taking any part in repelling Iran's attacks.
Hizo hazizuiliki, pili Iran hana tena uwezo wa kuzuia ndege yoyote kuingia Iran kwa sasa. Israel na marekani ndio wenye air superiority ndani ya IranDuh! Iran ataweza kuzizuia kweli au ndo piga nikupige tu. Wanabadirishana mashambulizi haijarishi unampigaje mwenzio. Sema vita siyo nzuri ila ndo wababe wa dunia wanaamua tu kukushambulia. Nashukuru Jeshi langu ni la sita duniani kwa ubora hata tukivamiwa tutawanyoosha wavamizi.
Hivi haya madrone na missiles huwa hayachukui mda kuyatengeneza hata wakati wa vita? Maana yanarushwa tu kila siku au ndo stock ya MuIrani bado iko vzuri.‼️🇮🇷🇺🇸Iran's retaliatory strikes surprised US officials.
▪️Tehran fired more than 3,000 missiles and drones at the Persian Gulf states and hundreds at Israel, according to the FT.
▪️A former US official said: "No one has done more for less than the Iranians."
▪️Cheap Shahed drones helped hit radars, ports, bases, and oil facilities.
▪️US officials admit: "We didn't expect them to retaliate like this."
Duh! Sema wakianza kushambulia wananchi itakuwa balaa lingineHizo hazizuiliki, pili Iran hana tena uwezo wa kuzuia ndege yoyote kuingia Iran kwa sasa. Israel na marekani ndio wenye air superiority ndani ya Iran
Kuna mmoja anajaribu kujipendeza wakati wake wa kung'aa na kuwa kwenye spotlight ya world media ulifunikwa na hii vitaKwani huku kusaidiana lazima anaeombwa msaada atangaze? Kwamba fulani ananiomba msaada.
This is big... Natarajia Iran kupunguza mashambulizi💥💥💥💥
Trump kwenye taarifa yake amethibitisha kushambulia military targets zote kisiwa Cha kharg(updates niliziweka)
View attachment 3557708
Duh! Jamaa kama masihara wanavyocheza na uhai wa watu. Ukraine sahizi haisikiki ni kama vile hawapigani ila watu wanakufa huko.Kuna mmoja anajaribu kujipendeza wakati wake wa kung'aa na kuwa kwenye spotlight ya world media ulifunikwa na hii vita
Jeshi la nchi gani Mkuu?Duh! Iran ataweza kuzizuia kweli au ndo piga nikupige tu. Wanabadirishana mashambulizi haijarishi unampigaje mwenzio. Sema vita siyo nzuri ila ndo wababe wa dunia wanaamua tu kukushambulia. Nashukuru Jeshi langu ni la sita duniani kwa ubora hata tukivamiwa tutawanyoosha wavamizi.
Tanzania mkuuJeshi la nchi gani Mkuu?
Mzee wa milipuko mikubwa ameshadata, kapoteza chaneliNdio nini we jamaa haya maandishi sijaelewa.