City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Mkuu marekani Wana ndege za aina hiyo zaidi ya 600. Zinazotumika kwenye hii Vita ni karibu 100. Hapo gap utaliona vip?US anataka kudiploy 5k US Marine kwa ajili ya kusindikiza meli Hormuz ,ngojea tumuone.Naona ile ndege inayo tumika kufanya refueling nipo pigo kubwa, kwani ilikuwa inaisupport ndege inayotumika kama radar inayo elea angani, ambayo kila baada masaa sita ,ilikuwa inajazwa mafuta angani,hii ndege ilikuwa inazunguka Jordan, Iraq na Saudi na ndio maana wanamgambo wa Iraq wakaiona na kuitungua ndege ya mafuta na jamaa wanataka kuhakikisha hamna kambi yoyote ya US Iraq.
Hizo chai zako I don't buy it ndio maana sitaki kureply hata comment zako najua ni uongo. Ndege anazo ila sio eti ndege 100 angani, pili hiyo ndege yenyewe inayotumika kama radar inatumia tech ya zamani (Source: Hindustan Times),wanaitumia sababu mifumo yao mingi ya anga imelipuliwa so hawana jinsi. Kwa anga la Middle East hawezi kweka ndege 100 US sio chizi,kwani sasa hivi si US wala Myahudi maanga yao yamekuwa kama chujio.Mkuu marekani Wana ndege za aina hiyo zaidi ya 600. Zinazotumika kwenye hii Vita ni karibu 100. Hapo gap utaliona vip?
Unajibu kwa jazba na hasira juu wakati sipni chochote kinachoweza kufanya uwe na panic na jazba ya aina hii.Hizo chai zako I don't buy it ndio maana sitaki kureply hata comment zako najua ni uongo. Ndege anazo ila sio eti ndege 100 angani, pili hiyo ndege yenyewe inayotumika kama radar inatumia tech ya zamani (Source: Hindustan Times),wanaitumia sababu mifumo yao mingi ya anga imelipuliwa so hawana jinsi. Kwa anga la Middle East hawezi kweka ndege 100 US sio chizi,kwani sasa hivi si US wala Myahudi maanga yao yamekuwa kama chujio.
Wamepata hasara kwa meli zao za Ford na Lincoln kupigwa ,hawawezi wakarisk kuweka ndege mia,vita yenyewe NATO wamemchunia, we mpaka Canada kamchomolea. Lile Lincoln ni USD 2.5bil ,Ford yenyewe linahali mbaya, hawawezi risks kuweka ndege mia wakati ya hali anga haieleweki,wewe mpaka wanamgambo matoi yao yanadungua ndege, Hisbolah siku mbili juzi na jana katia hasara kubwa kwenye ardhi ya Myahudi, mpaka kachukua askari wake wa akiba wakakabiliane na Hisbolah.
Hazina maana nini wakati Lincoln wameiondoa sasa hivi imebaki Ford, ambayo jana ilipigwa kwani siri?Unajibu kwa jazba na hasira juu wakati sipni chochote kinachoweza kufanya uwe na panic na jazba ya aina hii.
Unassma hawezi deploy hizo aircraft zaidi ya 100 kwa msingi upi? Unafahamu operation modal yake?
Sources zote zimeweka taarifa juu ya 100 Ila wewe unakataa(strange)
View attachment 3557715
View attachment 3557716
Kuhusu hayo mengine ya hizo meli ulizotaja ni kujipa hisia tu ambazo hazina maana.
Nb: inaonekena wewe ni mtu wa jazba na hasira, but tafuta sehemu sahihi za kuelekeza hizo jazba na hasira hii Vita haikuhusu wala hainihusu. Sisi ni washangiliaji tu
Unajibu kwa ghadhabu hadi unashindwa kuandika vizuri. Tuliza jabza mkuu, narudia kukukumbusha hii Vita si yako wala si yangu, sisi ni washangiliaji tu. Tuliza jazba, ni kama una uchungu sana kuliko wanaopigana hukoHazina maana nini wakati Lincoln wameiondoa sasa hivi imebaki Ford, ambayo jana ilipigwa kwani siri?
Ndio tabu kuongea na vilaza wasio na reference, ndio maana unaichukulia vita kama watoto wanarushiana mawe,mara sasa hivi wanapiga hapa,baada dk moja wanapiga pale reference F hauna,ndio maana si reply hizo comments zako na kujua unauza chai.We endelea kuwauzia chai.
Unaona ghadhabu sababu hakiku furashi, nani anauchungu we kiazi, wewe ndiye mwenye uchungu ,ukaamua kujibu comments yangu reference F.Unajibu kwa ghadhabu hadi unashindwa kuandika vizuri. Tuliza jabza mkuu, narudia kukukumbusha hii Vita si yako wala si yangu, sisi ni washangiliaji tu. Tuliza jazba, ni kama una uchungu sana kuliko wanaopigana huko
Turudi kwenye mada, jambo langu na lako lilikua ni refuelling aircrafts. Sasa hivi umerudi kwenye meli za kivita.
Lincoln imeondolewa kwenda wapi? Unajua ilikua wapi? Na Sasa hivi inaongezwa nyingine ya tatu. Wanaongezwa na marine force zaidi ya 2000.
Sina references kivpi wakati nimekuwekea hapo?Unaona ghadhabu sababu hakiku furashi, nani anauchungu we kiazi, wewe ndiye mwenye uchungu ,ukaamua kujibu comments yangu reference F.
Ndio maana na kwambia huna references
View: https://m.youtube.com/watch?v=DoqQ9z4iiTc&pp=ygUbTGluY29sbiBzaGlwIGhpdHRlZCBieSBpcmFu
View: https://m.youtube.com/watch?v=tOih2bbjh2g&t=40s&pp=ygUbTGluY29sbiBzaGlwIGhpdHRlZCBieSBpcmFu
Wewe vita unaichukulia kama watoto wanarushiana mawe, mara limerushwa pale,baada dk moja limurushwa kule, dk 2,wamerusha jingine, REFERENCES huna na picha zako za kuokoteza. Nakupa shule unapost kitu weka na reference,sio chai unazo wauzia wenzio.
Hii habari ya masaa kumi na sita yaliyopita kuhusiana na meli.Sina references kivpi wakati nimekuwekea hapo?
Unaweka kile kinachokufurahisha? Haya hi hapa taarifa ya USS Abraham Lincoln kushambulia boat ya Iran iliyokua inataka kuikaribia
US fires at Iranian vessel that approached USS Abraham Lincoln aircraft carrier, officials say
Status of Iranian ship and its crew unknown, report says - Anadolu AjansΔ±www.aa.com.tr
Reference nyingine hii hapa
U.S. fired at Iranian vessel that approached aircraft carrier, officials say
An Iranian vessel sailed too close to the USS Abraham Lincoln aircraft carrier, and the U.S. fired at the vessel, according to two U.S. officials.share.google
Mwengine huuπ₯π₯π₯π₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la mazandaran
Mwengine huu.π₯π₯π₯π₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la abadan
Mwengineπ₯π₯π₯π₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora
Reference hauna na umeujaza upuuzi kibao,yaani utazani watoto wanarushiana mawe.π₯π₯π₯π₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la ahvaz. milipuko mikubwa
Hii ni dalili za kupanic baada ya ratiba zao kwenda ndivyo sivyo.MAREKANI WAMETANGAZA DAU LA USD 10M KWA ATAKAYE TOA NFO ZA ALIPO LARIJAN NA KAMENEI JR
Hujui tunazungumzia nini?? Ndio mana nilikueleza punguza jazbaHii habari ya masaa kumi na sita yaliyopita kuhusiana na meli.
View: https://m.youtube.com/watch?v=0eosUT_PVzE&t=20s&pp=ygUkTGluY29sbiBhaXJjcmFmdCBnZXQgc3RyaWNrZWQgYnkgYm9t0gcJCcUKAYcqIYzvNa hii masaa kumi na tano yaliyopita.
View: https://m.youtube.com/watch?v=DoqQ9z4iiTc&pp=ugUEEgJlbg%3D%3Dπππ huu upuuzi wa kila baada dk 1,kama watoto wanarushiana mawe,una any references yoyote.
Mwengine huu
Mwengine huu.
Mwengine
Reference hauna na umeujaza kibao,yaani utazani watoto wanarushiana mawe.
π€£π€£ MuueSio kweli! Wewe juzi mtu kaleta taarifa kama hii ukasema analeta habari za kuokoteza ya kwamba Iran haina Tena uwezo wa kurusha hata kombora? Mkuu ilo shambulizi itakuwa AI
ππMuoneeni huruma mtoto wa mungu mnataka apigwaje?
Wahuni wanakimbiza mwizi kimya kimya, milio tuu utaskia mara Zele boy awape mbinu za kukabiliana na kamikaze,
Mara uingereza katutenga
Mara ujerumani njoo