Aliyekuambia Kafa nani?Dogo acha kujipa matumaini hewa. Shtuka usingizini Netanyahu bado yupo na wakati huu amewapania sana kazi kwenu.
"Enyi mlioamini! Mcheni Mwenyezi Mungu na kuweni pamoja na wasemao kweli.”Boss wenzako wapo kwenye taQia
kwenye uislam tunasema uongo tuwezavyo ili kunusuru jina la Allah 🤣 na imam Ayatollah 😁
Wanaopigana hiyo vitaWapeane na nani?
Wewe ni k...Pole Kwa ban bwege wewe 😁😁😁
Ndio ukome
Bilashaka huyo ndio wewe ambao Trump anasema anawapigania mashoga, maana wanaonewa na waislam duniani!
We umesalimika mkuu! Tupe update! Iran kabanwa arushi kombola lolote nasikia!Mashambulizi makubwa yamefanyika eneo hili kiasi cha mitetemo imefika mashariki mwa tabriz
Duh! Sahizi na Iran nae kaanza kuua viongozi wakubwa🤔🤔Hatari sana.
Mkuu watu wapo Iran wanakwambia internet ipo acha ubishi 😀😀💥💥💥💥
Kwa muda wa wiki mbili sasa toka Vita ianze Iran hakuna huduma ya internet
View attachment 3557832
💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la Bushehr
View attachment 3557822
"]💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kambi ya jeshi la majini sirjan katika jimbo la kerman
View attachment 3557825
Mashambulizi makubwa yamefanyika eneo hili kiasi cha mitetemo imefika mashariki mwa tabriz
Jeshi la Israel lilotoa tahadhali ya kuhama na kukaa mbali kwenye eneo la viwanda magharibi mwa Tabriz
View attachment 3557828
Hakuna kupumzika?
Kutarajia Iran au Marekani atashinda vita kama ngumi za mtaani ni kutojua mambo.
Achana na maneno ya propaganda au kushindisha kuwa Uislamu ulikuwepo kabla ya Mtume Mohammed, au ukristo ulikuwepo kabla ya Yesu.
Fact ni kuwa Wayahudi na dini yao walikuwepo pale kabla ya hao wote, na wamepitia vipindi vya manyanyaso kutoka kwa Waislamu na Wakristo wakichinjwa na kuuwawa hovyo.
Iran amekuwa tishio kwao kwa kutaka taifa la Palestine liwepo na lichukue maeneo ambayo Waisrael ni yao.
Matokeo kwa mtazamo wangu Iran na Marekani wataumiza uchumi wao, lakini Iran ataumia zaidi kwa sababu hajawa na maguvu makubwa ya kiuchumi kama mpinzani wake katika vita. Kwa upande Israel huyu anapewa feva na mataifa ya ulaya ataweza kupona haraka.
Waarabu walikosea sana kukataa hii ramani ya kuanzishwa kwa Palestina, Wayahudi walikubali ingawa waliona kama wamepunjwa. Kama wangekubali nadhani ungekuwa mwanzo mzuri wa kuendea mengine wanayoyaamini.
Sioni kama Palestine watapata taifa miaka ya karibuni.
Kwa hiyo mkuu Jews hawakuwa pale? Labda kama history ambazo zinathibitika na kuthibitishwa unaamua kuzikataa.Israeli ni taifa la kubuni. Na hizo propaganda za kuwa zilikuwa kabla ya Islam na christian ni utumwa wa kipuuzi..
Fuatilia Israel yupo kwa maslahi ya nani na siyo mambo ya ngonjera za biblia na misahafu.