Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

So New York Times sio reliable media? Sasa unabishana na gazeti, huoni wewe ndio mbishi .
The New York Times ni media kubwa na inaaminika, lakini hata media kubwa huripoti matukio tofauti kwa namna tofauti. Kuna tofauti kati ya kuripoti tukio au claim na kuthibitisha hitimisho unalosema wewe.

Kwa mfano gazeti linaweza kusema rada fulani iliharibiwa kwenye shambulio, lakini hilo halimaanishi moja kwa moja kwamba mfumo wote wa rada wa Marekani uneharibiwa au kwamba Marekani imepoteza udhibiti wa anga.

Hiyo ni tafsiri unayoongeza wewe, sio lazima iwe hitimisho la gazeti.

Halafu kumbuka kwenye vita media nyingi huripoti kile kinachodaiwa na pande tofauti.

Wanaripoti claim ya wanamgambo, claim ya jeshi, na taarifa za serikali.

Ndiyo maana wachambuzi wa kijeshi huwa wanangoja uthibitisho wa kujitegemea kabla ya kusema tukio fulani limethibitishwa kabisa.

Kwa hiyo sijabishana na gazeti. Ninachosema ni kwamba unachukua kipande cha habari kimoja halafu unajenga hitimisho kubwa zaidi kuliko kilichoandikwa. Hapo ndipo propaganda zenu mnazitumia kupotosha watu
 
Okay unacho cha kuonesha kwamba New York Times ni waongo? Hapa issue ni references, wewe unaweza sema based on your differennt sources/references, unataja chombo then unaonesha uongo wao na sio maneno matupu.
 
Nope jana India waliruhusiwa baada ya mazungumzo na kama sikosei France nae ameomba kukaa mezani na Iran,ila mwenye mwenye maamuzi kipi kipite kipi kisipite bado ni Iran.

Meli mbili za India zilizobeba gas zimeruhusiwa,mazungumzo yalianza siku nne nyuma.

View: https://m.youtube.com/watch?v=Jkq_XScaDw4
 
Fact
 
Wewe unasikilizaga interview za viongozi na maafisa wa Kiyahudi,Aliyekuwa msemaji wa jeshi la Kiyahudi Lipkin anadai nusu Syria ni yao,Lebanon yote yao,Jordan yao Saudi Arabia nusu ikiwemo Makka na Madina yao, kuna portion ya Misri wanadai yao na kuna Portion Turkey wanadai ya kwao. Hao Saudi,Turkey Misri hata Qatar ni swala la muda wataundiwa zengwe kama la Palestine.Myahudi mbabe anachukua maeneo ya watu kibabe.

View: https://m.youtube.com/shorts/WERJ_xXhaeQHaya msikilize aliye kuwa waziri mkuu wa Israel anadai Qatar na Turkey wanahatarisha usalama wao, utapata picha kwamba siku yoyote Myahudi ataingia vitani na Qatar pamoja na Mturuki.

View: https://m.youtube.com/shorts/kaOWgujCHtAKwa kifupi Myahudi mkorofi hata hii vita huoni sababu ya msingi, so tujiandae na vita ya Myahudi zidi ya Qatar, Turkey, Misri, Saudi Arabia.
 
angalia ulivyo kichaa hujui hata mahandaki ya hamas yaliyojengwa kwa mfadhili wa Iran unasema hamas inapata misaada kutoka hizbolah wakati huo hizbolah wanapata misaada toka Iran
 
Nikiwasikiliza viongozi wa Iran kuhusu utetezi wao kupiga Gulf states na kufunga Hormuz strait wanasema wanafanya hivyo kuwapa pressure USA. Pressure gani? Pressure ili aache kuwapiga. Kwahio ni wazi Iran kashashindwa kumzuia US-Israel wasimtandike njia yake iliobaki ni hio kuwapigq majirani na kusababisha dunia iyumbe kiuchumi kwa uhaba wa mafuta na majirani hao wamuombe USA aache kumchapa. Bahati mbaya US-Israel hawajali.
 
Na Israel na Marekani wanamshambulia Iran kwa sababu gani na kwa ushahidi upi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…