Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Haaa Marekani umeiweka wapi???
 
Siku nyetapaka akifariki kuna watu hawataamini maana kazika mapumb * mengi sana pale mashariki ya kati😎
 
Na wanapewa dozi mchana na usiku, halafu wanasema kwenye research center pale alikufa mtu mmoja😎 yaani majengo yote yale alikuwemo mtu mmoja sijui alikuwa mlinzi😁
Iran kwa sasa ni mwendo wa matetemeko tu.. B-2 spirit B-1B na B-52 stratofortress zinatema moto sio poa
 
Lete habar mkuu hili jukwaa limevamiwa na wana mipasho sisi wengine tunatafuta tu uldate zako nikiona nyota 4 ndio nasoma.
Poleeee Mlokole ndio maisha kutesa kwa Zam!!
IRGC kwasasa hakuna kulala hakuna wa kuwazuiya vimondo tu💥💥💥💥💥💥
 
kinachowapa shida wakristo wa TZ,Venezuela,North Korea,Russia,China,South Africa , baadhi hazina dini zingine zina wakrsisto wengi zipo pamoja na Iran,halafu kuna wao wazee wa mungu wa Israel Kila kinachofanywa na nchi yenye waislam wengi wanakiponda😁🙃😅🤣,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…