Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la magharibi mwa baghestan - karaj
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Iran imeshanbulia kwa makombora Tel Aviv
View attachment 3558198
Sio kweli! Si tuliambiwa kwamba wameangamiza launcher zao za kurusha makombora mkuu! Itakuwa AI iyo
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la katikati mwa Tehran
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la kaskazini mashariki mwa Tehran. Mlipuko mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…