Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kwanini hawakuwa nyuma ya pazis Iraq, mbona Kwa Ukraine wameweka wazi kuwa wana backup!? Na wafanye hivyo kwaajili ya kumuogopa nani !?
Hoja za kitoto utotoni.
Ukraine NATO wote waliweka wazi kuisaidia Ukraine.
Iraq NATO wote walijiweka wazi kuhusika.
Libya pia walijiweka wazi kuhusika.
Vietnam pia vile vile Canada alishiriki na akaweka wazi kushiriki.
Vita dhidi ya Iran 1980 walimsapoti Saddam Hussein wazi wazi.
Leo hii wahusike nyuma ya pazia!?
Hako kajamaa kananichekeshaga sana.Hakako logic.
 
Utoto tunaouzungumzia huu.
 
πŸ˜„ Muue
 
Hiii Vita ya Wapumbavu Waisrael Dhidi ya Wenye Akili Wairan

Kwanin Waisrael ni Wajinga kiakili

1) Wameazisha Vita wao pigano na taifa kubwa kwa Ardhi wkt wao ni Taifa dogo sana kieneo,,

2) Wameanzisha Vita na Taifa lenye uwezo mkubwa wa kuwafikia Kijesh popote ndani ya Israel yani kulengwa!!!

3) tazama ujenzi wa Miji ya Iran na tazama miji ya Israel utagundua miji ya Israel nisawa na Vioo!!!

Sasa ikiwa wewe sio chizi sio m'pumbavu sio lofa hunaendaje kumchokoza kivita mwenye nyumba ya kawaida..

Sasa tugemee nini kwenye Vita ya Mpumbavu matokeo tunayo mifukoni!!!😜😜😜😜😜

unajua nini kifuatacho

CITY Thunder OKC

analeta habari nyingi kuhusu milipuko ya Iranian sio Israel jamaa anapiga kami aswa!!!

lkn Picha za Miji Ilioteketezwa vibaya itakuwa ya Israel mana yeye ndio mwenye Vioo

hangekuwa mzima kichwani yeye hasingeanzisha!!

Vita iwe kwake kalazimishwa kupigana kujitetea βœ…οΈ

sio yeye ndio kaenda kuyatafuta majanga.. ❌️

Kiakili Waisrael weupe Vichwani na ni mizwazwa tu,
Lkn Wachache wenye pesa ndio wanafunika udhaifu wao

muda ndio mwalimuβœ…οΈ
 
Uelewa wako mdogo sana kwenye haya mambo kwani mtu akimsaidia ndio hadi ujue wewe? Hujui siasa zinabadilika? Si huwa mnasema humu Urus na China wana msaidia Iran nyuma ya pazia ila uliwahi kuwasikia wakisema? Au wakiulizwa unadhani watakubali?
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la sirjan Jimbo la kerman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…