Kama inabana midia zisitoe kinachoendelea huko, kwa nini wewe hapa unaleta habari za maghorofa ya Israel yanapigwa na bomu za IranKwa Akili iyooo wewe utakuwa Mlokole wa kupiga kelele kwenye vituo vya bus.
Kwaiyo kumbe. Wanajulishwa kukimbia kwa wkt!! Dkk 7 majengo yote yanabaki tupu mji mzima. SioΒΏΒΏΒΏΒΏ
Swali ??
Wajibu wasomaji wa Jamii forum.
Kwann basi Serikali ya Israel imepitisha Sheria ya kubana Media kwenye matukio ya Vita na wananchi pia wanazogwa nayo iyo Sheria.
ukikutwa umepiga picha seem zilishambuliwa. Wanakudaka!!!
JE unajua kuna watu wa Media wamekamatwa wakiwemo kutoka CNN
kwa Akili yako iyo iyo ya Kilokole funguka kidogo kwanini wanazuiya media?
Kuna nn wanataka kuficha Dunia isijue ???
Tuanzie apo.
Anazoleta yeye ni za uchache kutoka DARK WEB.Kama inabana midia zisitoe kinachoendelea huko, kwa nini wewe hapa unaleta habari za maghorofa ya Israel yanapigwa na bomu za Iran
Hizo habari unazipata wapi chief
Hadi sasa picha nyingi za Netanyahu zikirushwa wakidai yuhai ni copyright pictures.Netanyahu
Netanyahu
Kwishaaaa habari yake tunajua lkn ndio ivyooo wanaficha.
Kwa hili, Naunga mkono hoja.Iran wazuri kwenye kuunda missile lakini intelijensia ni sifuri.
Hizi propaganda za kukata huwa siziamini hata kidogo. Kwa hiyo dini hairusu kumiliki nuclear bali inaruhusu kumiliki makombora ya balistic na vyote vinauwa.Eti yaani mm katika kitu huwa kinanikera kwa Irani ni hicho tu.
Mfano lile shambulizi la mwanzo lilio uwa khaminei na viongozi wengine, zaidi ya miezi mitatu Marekani na Israel walikuwa wanatangaza kabisa kwenye vyombo vya habari kabisa kuwa wanaweza kuwalenga viongozi na kuwauwa ili kuchochea uasi dhidi ya serikali, ila katika mazingira kama hayo eti unakusana lundo la maafisa wakuu wa usalama unakutana nao ikulu sehemu ambayo kabisa unajua kuwa ni target rahisi kabisa.
Yeye Khamenei kama alikuwa hajali maisha yake kwa sababu ya umri wake vipi kuhusu maafisa wengine?
Mfano huyu Ralijan Israel yenyewe imekili kabisa kuwa kuuawa kwake kumewezeshwa na kuonekana onekana kwake hadharani kila mara licha ya uhatari wa usalama uliyopo.
Sasa kulikuwa na ulazima gani wa yeye kushida kwenye mitaa ya Tehran eti akifanya maandamano?
Mm nadhani pia kuuawa kwao kutasaidia kuondoa hawa wazee wanao leta mitazamo ya kidini hata kwenye mambo yanayo hitaji akili ya kawaida tu kuyatatua.
Mfano huyu Khamenei washauri wake walimuonya sana mwaka 2018 kuwa Iran bila kuwa na silaha za nyuklia Iran haitokuwa salama dhidi ya Nchi za magharibi,
Tena kwa kipindi hicho Iran alikuwa na nafasi kubwa ya kutengeneza silaha za nyuklia kwa sababu kulikuwa na mazingira magumu sana kwa Israel hata Marekani kuishambulia ila yeye akakataa eti uislamu hauruhusu kuwa na slaha za nyuklia hivi suala na kujihakikishia ulinzi na penyewe kunahitaji fatwaa za kidini?
Israel ni nchi yenye demokrasia Pana sanaTetesi zinasema Yeriv Lavin ameteuliwa kuwa interim Prime minister wa Israel.
Hii ina ukweli gani??
π€π€π€
Unateseka sana ,Hadi sasa picha nyingi za Netanyahu zikirushwa wakidai yuhai ni copyright pictures.
Ila hakuna picha halisi za sasa.
Kinachofikirisha zaidi kwanini hakuongea tangu March 6?
Ilhali vita ya 12 days war aliongea mwanzo mwisho.
Na kwanini wamteue Naibu waziri wake amkaimu kwasasa!??
Swali kuu lipo hapo.
Nyuklia haichagui ikipigwa sehemu wanakufa karibia wote, Hadi sisimizi, Ndege na kila kiumbe hai, kama huoni uovu wake huwezi ona uovu wa chochote kile.Hizi propaganda za kukata huwa siziamini hata kidogo. Kwa hiyo dini hairusu kumiliki nuclear bali inaruhusu kumiliki makombora ya balistic na vyote vinauwa.
Wanasiasa utawaweza basi.Hizi propaganda za kukata huwa siziamini hata kidogo. Kwa hiyo dini hairusu kumiliki nuclear bali inaruhusu kumiliki makombora ya balistic na vyote vinauwa.
Kwani wangetengeneza ni lazima watumie? Hayo makombora wanayorusha hovyo bila target huoni kama wanauwa wasio na hatia pia?Nyuklia haichagui ikipigwa sehemu wanakufa karibia wote, Hadi sisimizi, Ndege na kila kiumbe hai, kama huoni uovu wake huwezi ona uovu wa chochote kile.
Akasome history, even us anayo, kayatumia vietnam , baadae afganstan.Aliyekwambia cluster bombs ni aina mpya na ya ajabu ni nani hayo yametumika hata kwenye vita vya pili vya dunia na yalipigwa marufuku miaka kibao...