Usisikilize propaganda za USA.Ayatollah na apigwe tu. Kaua maelfu ya Wairan hii majuzi tu.
*** him. And *** Samia.
Source ni nini, au upo eneo la vita?!💥💥💥💥💥
Kama upo Dubai, kaa kimachale. Kuna Drones nyingi zimetumwa zinapiga majengo hasa hotels
Huna akili huyo Iran ndio financier wa Muslim Brotherhood kikundi chenye malengo ya kuitawala Dunia chini ya sheria za kiislamIran kuifuta Israel ni baada ya Israel kuleta chokochoko za kijinga middle east zilizopelekea vifo vya maelfu ya watu wakiwemo watoto...
Iran siku zote inachokozwa, huoni hilo?
Then what ?UNAROPOKA TU.
Kwahiyo makamanda wa Iran nao kuuawa ni ajabu!?
Kambi za Marekani za mashariki ya kati zote ni Disfunctional hazifanyi kazi.
Wewe kaa ROPOKA HAPO.
KAMA HUJUI KITU SI UNYAMAZE!?Issue ni programs za kurutubisha Neuk hazitafika kokote
Huwezi kuwa na Taifa linalopanga kufuta Taifa lingine.
Kingine usichojua serikali ya kiislam ya Iran muda huu Inaliwa rada na maadui wa ndani ya irani. Usishangae kikatokea kile kile cha Libya.
US na Israel wako kusaidia tu
Sijakuelewa? Unamaanisha source ya Iran kupiga Dubai ni nini? Au unamaanisha source ya hii taarifa yangu ni ipi?Source ni nini, au upo eneo la vita?!
Huyo anaripoti moja kwa moja toka Tehran mwasibu.Source ni nini, au upo eneo la vita?!
Kama Iran watasustain week basi Mafuta yatapanda sanaHii vita bado kidogo kuna sehemu zikiguswa hadi sisi huku tutaanza kulia. Tuombe wayamalize kwa amani
Niko bize na kilimo ndugu yangu,kutwa shambanigallow bird umepoa sana Sheikh wangu changamka uwagonge spana hawa Waizraili