Tulia hivyohivyo, utaelewa baada ya wiki kadhaa.Ndo maana regime change inaweza isifanikiwe kabisa!
Sasa daraja ambalo watu wa kawaida hulitumia linahusikaje na mambo ya kijeshi?
Israel na Marekani ni kama vile wanataka tu kuiharibu Iran na hawana lengo la kuwasaidia wananchi wa Iran.
Huwezi kusema unataka kuwasaidia wananchi wa Iran halafu papo hapo unaharibu miundombinu ambayo watu hao hao huitumia!
Huwezi kusema unataka kuwasaidia wananchi wa Iran halafu papo hapo unapiga makombora kwenye shule ya watoto na kuua watoto zaidi ya 100!
Na ndo maana naamini kwamba wananchi wengi wa kawaida wa Iran hawaupendi utawala uliopo lakini pia hawaungi mkono hii vita inayowaharibia nchi yao.
OhoooTrump na Netanyau wameanza kupoteza muelekeo kwenye hii vita na sasa hawaeleweki ni yapi malengo yao sasa.
Wakati wanaishambulia Iran malengo yao yalikuwa ni kuwasaidia wairan kuuangusha utawala wa Iran,kuteketeza makombora,na mpango wa nyukulia lakini cha kushangaza wako bize kushambulia miundo mbinu ya kiraia.
Sasa wanashambulia madaraja,hosptal, mashule,taasisi za utafiti wa tiba,mtambo ya kusafisha maji ,vituo vya umeme alafu wanategemea eti raia wa Iran watawaunga mkono.
Masjid jumaa Ushetu
-IRGC-Iran revolutionary guards corps.Tunaomba ututajie
Kitu kimoja unique kwa Iran tofauti na mataifa mengine kwamba kila vita ikiisha anachukua Daftari na peni anafanya tathimini Kisha anaboresha mbinu.Hii vita ndio ya mwisho Israel na Marekani kuiangamiza Iran kushindwa kwao sasa basi Iran itajimilikisha rasmi ubabe wa mashariki ya kati kama ilivyo kwa U.S, Russia,China na Iran itaingia rasmi katika league hiyo kila taifa litajimegea rasmi eneo lake/ukanda wake rasmi wa kuonesha ubabe.
Kwa sababu vita viki kamilika bila Iran kuangamizwa nchi ya Iran itaibuka na nguvu maradufu tofauti na ilizo nazo sasa, nguvu katika sekta zote.
Kwa ufupi hii vita Marekani na Israel kushindwa kutimiza malengo yao yatamtengeneza Iran kuwa mkubwa zaidi ya sasa.
Asilimia kubwa ya raia wanaupenda utawala wao vizuri tu. Ila njaa inawakaba kutokana na vikwazo kiasi imani inakua ndogo kuendelea kushikilia serikali yao.Ndo maana regime change inaweza isifanikiwe kabisa!
Sasa daraja ambalo watu wa kawaida hulitumia linahusikaje na mambo ya kijeshi?
Israel na Marekani ni kama vile wanataka tu kuiharibu Iran na hawana lengo la kuwasaidia wananchi wa Iran.
Huwezi kusema unataka kuwasaidia wananchi wa Iran halafu papo hapo unaharibu miundombinu ambayo watu hao hao huitumia!
Huwezi kusema unataka kuwasaidia wananchi wa Iran halafu papo hapo unapiga makombora kwenye shule ya watoto na kuua watoto zaidi ya 100!
Na ndo maana naamini kwamba wananchi wengi wa kawaida wa Iran hawaupendi utawala uliopo lakini pia hawaungi mkono hii vita inayowaharibia nchi yao.
Ongea facts ndugu yangu usiongee ushabiki.Tulia hivyohivyo, utaelewa baada ya wiki kadhaa.
ISRAEL hainaga mipango ya kubahatisha vinginevyo ingeshasambaratishwa.
Hii vita US akijitoa Myahudi itabidi awe mpole tu na US mwenyewe mda si mrefu anajitoa kwani vita inampa hasara, hata Rais mwenyewe, Secretary of Defence, Pentagon na Viongozi wanavurugana,wanaongea vitu tofauti, maara General ambiwe ajiuzuru,mara huku mwanasheria mkuu nae aondolewe, mara Mkuu wa kitengo cha Counterterrorism ajiuzulu, mara Trump awalaumu NATO na NATO mwenyewe wamemlia buyu,Congress Trump hawataki kabisa kusikia upuuzi wake wamenyima USD bil 200 alizoomba kwa ajili ya hii vita.Tulia hivyohivyo, utaelewa baada ya wiki kadhaa.
ISRAEL hainaga mipango ya kubahatisha vinginevyo ingeshasambaratishwa.
Decentralized Mosaic doctraine.Kitu kimoja unique kwa Iran tofauti na mataifa mengine kwamba kila vita ikiisha anachukua Daftari na peni anafanya tathimini Kisha anaboresha mbinu.
1. Vita vya kumtoa Sadamu alijifunza jinsi ya kuweka power structure Imara kwamba wakiuwawa viongozi muhimu kusilete madhara makubwa waendeleze mapambano
Iron dome mbona tangu mwaka 2024 ilikua inapitika mkuu!? Isipokua wingi wa usaidizi wa ADS kwa Israel ndio ulim keep safe.2. Walijifunza kuficha makombora deep milimani kusipofikika kirahisi.
3. Baada ya vita ya siku 12 walikuja na surprise mpya ya kupiga kwanza Kambi za kijeshi za Marekani jambo ambalo hata US hawakutarajia.
4. Baada ya kuona Irone dome haipitiki wakamodify makombora na kuweka mabomu madogo madogo yanayojitawanya kwenye kombora Moja ili kuchanganya mfumo.
Nadhani kama vita ikiisha bila kubadilisha utawala watakuja na moto mpya balaa zito π₯ π₯
Trump ni kichaa. Ni hatari taifa lolote kubwa kuwa na rais kama Trump.Trump amekuwa kiongozi ambae anataka kila aliye karibu naye awe ana muogopa, Trump amekuwa kiongozi ambae anataka kusikia tu kile kitu anapenda kuambiwa .. Trump amekuwa kiongozi mpuuzi sana na mjinga tofauti na Trump tuliyemfahamu kipindi cha nyuma. Utagundua hilo pale anapoulizwa maswali ya maana na waandishi anakuwa mkali.
JD Vance kama anapenda kuendelea na career yake katika siasa na kukubalika ni vyema aachane na Trump.
Joe Kent aliyekuwa director of National counterterrorism center ana akili sana, aliamua kujiuzulu hapa majuzi baada ya kuona siasa za Trump ni za kipuuzi na kumchafua.
KUna yule dada Karoline Leavitt ambae ni Press Secretary nimemskiliza , kwa kweli inasikitisha sana jinsi Trump anavyo waharibia vijana hao future zao , wengi wao waliopo karibu na Trump na wanao msikiliza wanakwenda kupotea na uwezekano mkubwa wa career zao kuishia njiani.
Kijana kama JD Vance ambae ana miaka 41 kwa sasa inasikitisha Trump anamuharibia future yake katika siasa za US...
Maji ya mavi alooo wahuni wamechafukwa haswa
[/QUOTEIIm it's a familiar patternKumbe uchawa asilia upo kwa wazungu, huyu mwana mama mshauri wa Trump haoni hata aibu hadi kulitumia jina la Bwana Yesu kristo. Kumfuraisha bosi wake.
At a White House Easter lunch, Paula White-Cain β Trumpβs spiritual advisor and head of the White House Faith Office β openly compared him to Jesus Christ.
π¬ βNo one has paid the price like you have paid the price. It almost cost you your life. You were betrayed and arrested and falsely accused. It's a familiar pattern that our Lord and Savior showed us.βDuhh mpaka Austria π
Yeah Iranians wameprove wrong watu wengi sanaMkubwa kakataliwa na NATO kujiingiza vitani, Yaani pamoja na kumchangia/kuichangia kuipiga nchi iliyowekewa vikwazo miaka 47 bado mnatwangwa? Kweli wazayuni ni waoga na wamekutana na baba lao. Mkubwa wake pamoja na kujitapa na vitisho bado anaomba NATO wamsaidie. Kweli Iran ni wababe.
Ndugu ukiondoa 20% ya supply ya kitu kinachotegemewa na kila kitu kingine duniani lazima ilete shida. Mafuta yanaathiri shughuli nyingine za uzalisgaji. Hio 20% inayopita Hormuz ni 80% ya mafuta yote yaendayo China na far east. Kidunia ni 20% kwa far east ni 80%Kwanini Hormuz inayopitisha 20% ya mafuta duniani imeleta athari kubwa namna hii??
80% zinapita wapi??
Dunia yote inalalamika je kusema Hormuz inapitisha 20% tu ya nishati ni data za upikaji?? Kwa maana inawezekana hormuz inapitisha zaidi ya 20%??? Majibu tafadhali.
Unadhani vita ni movie eeeh mulize mrusi huu mwaka wa 4 tena anapigana najirani yake
Kuomba usaidizi nato haimanishi Us kaishiwa ila nikatika mambo yao yaumoja afu inabid utambue USA hajaomba wanajeshi au zana ameomba kambi na airspace kwenye izo nchi za NATO, malengo makubwa ya marekan na Israel nikuidhoofisha Iran kwamaslahi yake Iran ilishakua kambale pale middle east that why Trump anatamba kutaka kuirudisha Iran kwenye zama zamawe nakwel Iran kwenye hili anapoteza leo bunker buster zimeharibu kabisa mji wakinuclear wachini yamilima, daraja kubwa zaid middle east limebomolewa, miundombinu yakijeshi imeharibiwa, iran navy, iran air force zote zimevurugwaKweli vita sio movie Mkuu
Ndio maana vita waliyosema USA na Israel kuwa itakuwa ya siku Nne now inakata mwezi mzima bila kuisha na bila ya malengo Yao yoyote kutimia bad enough Kila wakiomba
ceasefire Iran wanakataa Dunia inashuhudia dhahiri shahiri kuwa Israel nao wanachapika kupigwa ni kitu Cha kawaida tu Kumbe USA kambi zake kupigwa na Radar zake kulipuliwa ni kitu Cha kawaida tu Aircraft za USA kupigwa ni kitu Cha kawaida tu Unaambiwa Huo uwekezaji wa kambi za kijeshi zilizopo middle east zilizopigwa na Iran ni uwekezaji wa takriban miaka 50 na hakuna Nchi ambayo imewahi kuthubutu kuzipiga hizo ngapi tangu Japan walivyofanya hivyo wakati wa vita ya pili ya Dunia lakini Leo hii tumeona Iran akithubutu kuzikong'ota hizo base kama vile katoto kake kakukazaa
kweli vita sio movie Kama unavyosema kaka Leo hii Iran wamethubutu kufunga lango la Bahari la Hormuz USA wamebaki kubweka bweka tu wakati tuliaminishwa kwamba ndio wababe wa Dunia Wameshindwa kufanya lolote ili kuzuia Iran wasiufunge mlango wa bahari wa Hormuz ,kweli vita sio movie kaka Leo hii Kwa macho yetu watu wote tumeshuhudia USA ikipewa mkong'oto na maslahi yake kuguswa mpaka wana omba back kutoka NATO
ili wamchangie Iran na baada ya NATO kukataa USA imetushia kujitoa katika umoja huo mpaka maswali Yana Baki vichwani mwetu inakuwaje mpaka super power anashindwa kumpinga Iran peke yake Hadi waombe msaada wa mataifa mengine yaani Iran hii hii iliyowekewa vikwazo zaidi ya miaka 40s imewezaje kupiga base zote 27 za USA zilizopo middle east yaani baada ya kujiuliza maswali yote hayo mkuu nimejikuta nachukua uamuzi wa kukubaliana na wewe kwamba kweli vita sio movie Nimekuelewa vyema sana mkuu Au naongopa !? πππ
Now I can say I have seen a miracles yake yote tuliyo kuwa tunaaminishwa utotoni kwamba haiwezekani kumbe inawezekana Inawezekana kabisa USA maslahi yake kuguswa na wao kuchapika Tena na kanchi kalikowekewa vikwazo takriban miaka 45 na USA wenyewe ππ
Now even if I die I can die in peace