Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

😄😄😄 Nilishasema tangu mwanzo wa vita hii vita itamuacha uchi USA now mambo yote hadharani
 
Walikuwa hawajashtukia mchongo kuwa anacho kifanya ni propaganda Wajua USA wako vizuri sana kwenye propaganda ila Sasa Dunia ya Sasa technology inaonekana imefanikiwa Kwa kiwango kikubwa sana kuishinda propaganda mambo mengi yapo wazi
Hivi huyu Marekani aliye shindwa kuwalinda washirika wake dhidi ya taifa dogo kama Iran ndo anawadanganya akina Japan,korea,Austiralia,taiwan,na uphilipino kuwa ataweza kuwalinda dhidi ya china na korea kasikazini?
 
Hayo mabase base Hayana umehimu wowote ule katika technology iliyopo Sasa wewe unajaza mi-base kibao kwanza kuiendesha ni gharama kubwa wenzako wana invest kwenye missile wana kufuata huko huko ulipo 😄😄😄🙌

Na baada ya hiyo vita kuisha Iran wata adjust missile zao zitakuwa ni ICBM wakimchokoza Tena anakufuata huko huko new York 😄
 
🚨🇮🇷🇺🇸 BREAKING: Iran SHOT DOWN/HIT 6 U.S. aircraft yesterday

🚀 Shot down an F-15 jet
🚀 Shot down A-10 aircraft
🚀 Struck an F-16 fighter jet
🚀 Struck 2 Black Hawk helicopters
🚀 Forced KC-135 emergency landing

🤣 But Trump still claims Iran ‘ran out’ of air defenses


View: https://x.com/i/status/2040293162913034666
 
Wenyewe mnadai Iran wananchi wake wanaipinga serikali, hizo Black Hawk, wana vijiji wamezitungua na magobole yao,ndio mjue zilikuwa Propaganda. Halafu ndio uingize jeshi la ardhi,Iran wanawasubiria kwa hamu.

Mzee na gobole lake anazimimina, akisaidiana na wanavijiji wenzake(Tiktok acc ya Daily Mail).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…