Marekani walipomkamata Sadam Husein (2003) na kisha kumnyonga. Ndiyo sheria za kimataifa zinasema hivyo?Pia kuna kitu kuhusu Rubani wa Jana si bure, Ndege kibao zimepigwa toka vita vianze why Rubani huyu wadispatch Hellcopter mbili na A10? Nazo zote zikaliwa kichwa? Na sasa Marekani wanaforce Iran wafuate Sheria za kimataifa Wasim treat vibaya mateka?
Waziri wa Vita wa Marekani alisema kuwa hawatafuata Sheria za vita. Sasa kulia Lia kunatoka wapi?Na sasa Marekani wanaforce Iran wafuate Sheria za kimataifa Wasim treat vibaya mateka?
US alianza kuanguka pale kwenye September 11. Hujuma dhidi ya US zilianzia pale.Lakini hii vita itaisaidia pia USA kujifanyia self evaluation juu ya ukuu wao kidunia kama bado wanastahili kuendelea...
Hata akijifanyia self evaluation, US haitokuwa kama zamani, nchi za Middle East zimeanza kudiscuss uhusiano wao na US (Qatar wanataka kuviondoa vikosi vyote vya US kwenye ardhi yao),so kuna uwezekano mkubwa,nchi za Middle East zikakataa US weka base kwenye ardhi zao na kuangalia washirikiane kwenye nyanja zipi.Lakini hii vita itaisaidia pia USA kujifanyia self evaluation juu ya ukuu wao kidunia kama bado wanastahili kuendelea...
Ni sahihi usemayo mkuu,lakini wasisahau huyo USA ndo mfadhili wao mkuu iwe UN,NATO n.kHata akijifanyia self evaluation, US haitokuwa kama zamani, nchi za Middle East zimeanza kudiscuss uhusiano wao na US (Qatar wanataka kuviondoa vikosi vyote vya US kwenye ardhi yao),so kuna uwezekano mkubwa,nchi za Middle East zikakataa US weka base kwenye ardhi zao na kuangalia washirikiane kwenye nyanja zipi.
NATO-UK,France,Germany, Spain,Italy,Poland,Austria hawa wote wamekataa kutoa wanajeshi wao kushiriki kwenye vita.Spain na Italy wamenda mbali zaidi kukataa kambi zao na anga zao kutumika kwenye hii vita. UK juzi alikusanya mawaziri wa mambo ya nje kutoka nchi arobaini zinazo tumia mfereji wa Hormuz, watafute jinsi ya kutatua huu mgogoro kidemokrasia,wakati Trump yy anataka watumie nguvu. Ukiangalia hizi move na upinzani anao upata NATO, muundo wa NATO utaenda kuangaliwa upya. Jana tu hapo UN,kulikuwa na majadiliano ya kutumia nguvu ya kijeshi kufungua mlango wa Hormuz, Russia na China walitumia kura yao ya Veto kukataa huku France nae akiungana nao kukataa.
Ukitizama tuu huu ujasiri wa nchi za EU zidi ya US,unaona mpaka sasa US kishapoteza ushawishi na ile nguvu ya kisiasa aliyokuwa nayo na sizani kama ataweza kurudisha ikawa kama zamani.
Hii inamaana Ngoma zao nyingi sana zinapigwa na Kwa vile zinakua zimeangukia Nje ya Iran na Iran inakua Haina ushahidi basi Yankees wanasema ni ajali au friendly fire.Iran ilipo sema imeitungua Marekani walikanusha Iran ilipo onesha ushahidi wa mabaki eti ndo wamekuja kukili.
Watatafuta njia nyingine, ukiwasikiliza viongozi wa EU,unaona wamemchoka US. Nchi za EU zina watu,wasomi, tech nk wanaweza wakaa chini wakaja na muundo na vitu vitakavyo wanafaisha wao,hii vita mpaka sasa US ameshapoteza kisiasa. Middle East naona kabisa watakavyo watimua US,maana hasara waliyo ipata ni kubwa sana.Ni sahihi usemayo mkuu,lakini wasisahau huyo USA ndo mfadhili wao mkuu iwe UN,NATO n.k
Yani Iran kufanikiwa kutungua ndege mbili tu ndio imekua gumzo na shangwe kwamba wapo vizuri😀😀😀Ninachowapendea Iran Jana japo wamefanya KAZI kubwa Sana kutungua hizo Ndege hawajasahau Ile Ibada yetu ya usiku miji 7 Israel Jana imepigwa na sehemu si chini ya 17 zimepigwa.
Pia kuna kitu kuhusu Rubani wa Jana si bure, Ndege kibao zimepigwa toka vita vianze why Rubani huyu wadispatch Hellcopter mbili na A10? Nazo zote zikaliwa kichwa? Na sasa Marekani wanaforce Iran wafuate Sheria za kimataifa Wasim treat vibaya mateka?
Wanapaswa wajitafakari,hii ni fursa nzuri ya kujifanyia mageuzi kama taifa ili wajiimarishe tena zaidi kijeshi. Jeshi limekaa miaka mingi bila kupractice..hata hizo ndege hazijatumika sana kwenye mission ngumu.US alianza kuanguka pale kwenye September 11. Hujuma dhidi ya US zilianzia pale.
Hakuna walichokosea maendeleo ni mazuriTuache mahaba, MOSSAD plus CIA, ni binadamu, na sifa mojawapo ya binadamu ni kufanya makosa!!!!!!!! Kwenye hii vita wamefanya makosa kibao!!!!
Wale wafia dini (Wakristo), bado mnaamini Israel ni taifa teule?? Wale waislamu, Allah ameonekana?? Watoto wadogo plus kina mama wanakufa na kuteseka halafu yeye anaangalia tu??????
Ukweli mchungu: Mataifa yanaangalia maslahi mapana na siyo dini!!!!!!!!
U.S. Responsible for Killing Over 100 Children in Iran School Attack
Homepage
Amnesty International USA monitors and advocates for human rights for everyone— in the United States & abroad. Join the fight for human rights.www.amnestyusa.org
Over 1,800 Children Killed or Injured as Middle East Conflict Deepens
Death, displacement and military duties: children plunged into crisis by Middle East war
The US-Israeli war will have a lifelong impact on millions of children across the Middle Eastwww.theguardian.com
‘All Hell will reign down’: Trump threatens Iran over Strait of Hormuz
The US president has demanded that Tehran open the Strait of Hormuz, warning that “time is running out” and giving it 48 hours before “all Hell will reign down”www.rt.com
September 11 was their plan bhana hao wana huo mtindo ili wapate chance ya kuvamia Taifa Fulani wana tengeneza falls flagUS alianza kuanguka pale kwenye September 11. Hujuma dhidi ya US zilianzia pale.
Viongozi ni watu na watu ni viongozi. Viongozi hawawezi kuisha labda uue raia wote. KUMBUKA Kuna viongozi wengine wapo nje bado wanaweza kuji organize wakawa viongozi. Pia ranks za vyeo akiuawa wa juu anaye fuata kicheo anashika hatamu automaticallyYani Iran kufanikiwa kutungua ndege mbili tu ndio imekua gumzo na shangwe kwamba wapo vizuri😀😀😀
Wakati viongozi wao wote wameliwa vichwa wamebaki 9 na kila siku wanaisha,ikifika tarehe 30 April Iran itakua haina kiongozi
Watatafuta rafiki mpya kwani before USA siilikuwepo Britain empire!?Ni sahihi usemayo mkuu,lakini wasisahau huyo USA ndo mfadhili wao mkuu iwe UN,NATO n.k