Hoja yako ni Kuwa Israel ni mchokozi na anataka kuhodhi maeneo ya nchi jiran. Si ndio?.
General wa NATO muweke pemben.
Hoja yangu ni kuwa Iran na Israel wana vita vya chini chini kwa miaka na miaka. Cold war.
Na hasa baada ya kujua Iran kwa kias kikubwa inawasaidia Hamas na Hezbollah.
Kuzipoteza was part of the mission, zilikuwa one way aircraft, not to return and were destroyed by their own bombs before they took offDuh!
Kumbe jana kwenye operesheni ya kuokoa askari wao hiyo jana, Marekani ilipotezeza ndege mbili!
Naona idadi ya ndege ambazo Iran inazidondosha inazidi kuongezeka.
Acha ujuaji, netanyahu kiboko ya magaidi na Allah mbona huwa anaonekana hata yanapotokea madhara makubwa kwenye baadhi ya maeneo mbona huwa anatembelea wahangaNetanyahu na serikali yake takriban 90% wako shimoni tena wengine nje ya nchi. Kukaa kwa Mojtaba shimoni kwani ajabu??
Hata akifa vita iko pale pale kama mna ubavu kafungueni hormuz.
Kaonekana lini??Acha ujuaji, netanyahu kiboko ya magaidi na Allah mbona huwa anaonekana hata yanapotokea madhara makubwa kwenye baadhi ya maeneo mbona huwa anatembelea wahanga