Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 12,096
- 22,468
Waje tuWashatangaza Jihad. Hivi unavyoongea wanajiandaa kwa mashambulizi makubwa dhidi ya Israel.
Trump ameshatangaza huko kwake yeye vita imeisha kusiwe na mashambulizi mengine.
Unadhani Iran wataruhusu hilo lipite!?
Huyo ni kiongozi wa dini.
Ni classified ila Israel ndio ya kwanza kutoa taarifa na walisema wanazopichaZiki wapi hizo picha mkuu, share link nikajionee!
Alikufa Nyerere na Tanzania bado ipo na mamluki wanaotaka kuleta vita kina Kittima wanashughulikiwa ipasavyo na wagalatia wenzake, Tena sasaivi ndio Tz haicheki na nyau kabisa .....hata Iran kufa kwa huyo babu sio ndio mwisho wa Taifa lao.😂😂
Ushabiki kitu kibaya.
Kwamba kiongozi mkuu na safu ya viongozi watakwe kulengwa na adui?
😂😂
Huoni kuwa ni aibu kiongozi kuuawa kama ngedere yaani kwenye pigo la Kwanza tuu.
Hata Gaddafi alikuwa mwamba maana angalau yeye amekaa kwa muda mrefu. Au Bashad Alsady
Nje ni hatariMbona hawaingii barabarani kuchukua nchi, na msaada wameshapewa?
Wanachukua vipi nchi kwa kukaa ndani?Nje ni hatari
Trump aliwaambia atakuwa anarusha mabomu kwa hiyo wakae ndani
Trump fala kweli! Vita haijaisha mpaka viishe...atulie tuli.News updates;
-Iran ipo kwenye kumchagua mrithi wa Khamenei,pia unasemekana Masoud Pezeshkian haieleweki hali yake huwenda wakamchagua rais wa mpito kuendeleza vita.
-Iran imeandaa mpango wa kusogeza askari wake na wanamgambo wake karibia na mipaka ya Israel ili vita.
-Pia inaandaa Makombora ya hypersonic kuanza jihadi ya kulipiza kisasi cha Khamenei.
-Trump anaonya kuwa VITA KWAKE VIMEISHA IRAN ISITHUBUTU KUSHAMBULIA LEO MAANA ITAJIBIWA JIBU KALI.
-Mkondo mkuu wa nchi wa kusambaza na kusafisha maji ya matumizi Israel umelipuliwa.
Wairan wengi wamefurahi kuuawa kwa muuaji katili Ayatollah KhameneiWamarekani wameteleza sana kumuua huyu mzee.
Naona Wairan wamekusanyika mtaani kuomboleza, nimeona watu wazima wanalia kama watoto wadogo. Nilikuwa sijui kama huyu mzee anapendwa na wananchi wa Iran kiasi hiki.
Wale wananchi wa Iran waliokuwa wakiandamana kupinga utawala wa Ayatollah wiki kadhaa zilizopita wako wapi?
Sioni wakiingia mtaani kusherehekea. Naona wananchi wanalia machozi ya majonzi.
Waliokuwa hawamtaki Ayatollah hawapo tena?
Naona umeniwekea videos za Iranian Diasporas!!!Wairan wengi wamefurahi kuuawa kwa muuaji katili Ayatollah Khamenei
View attachment 3550455
View attachment 3550456
View attachment 3550457
View attachment 3550458
View attachment 3550460
View attachment 3550461
View attachment 3550462
Utajua wewe vpn yako inasoma kisemvule😂Unaamini kila mtu aliye jf yupo Tanzania?
We jamaa bhana, video ya kwanza kabisa hapo ni IRAN, tena ni Tehran mji wao mkubwaNaona umeniwekea videos za Iranian Diasporas!!!
Anyways, thank you!
Kinachoniuma ni KhameneiWameumbuka wengi sana wachambuzi uchwara walijizolea wafuasi huko mitandandaoni kwa kuwalisha matango pori. Ukijaribu kuweka ukweli kwamba US ni super power wafuasi wao wanakushushia matusi
Hapo patagongwa usiku kucha..Wazungu si watu wa kula bagia na misemo.Walichoplan tulidharau leo tunatafuta vichaka.Huyo mzee miaka 86 ukimuua kuna faida lipi!?
Leo Iran wanafanya uchaguzi wa kiongozi wa kumrithi Khamenei na vita inaendelea pale pale.
Hii vita imeisha mkuu ni amini hivyo. Marekan na Israel wanapigana kwa phase hapo wanamwacha kwanza arushe makombora yake hovyo kama kawaida yake huku wakisikikizia reaction ya raia na jesh kama watajisalimisha. Kumbuka hadi hivi sasa top kamanda wate wako eliminated. Wakijitahidi sana hii vita week 2 haishi Marekan watakuwa washamaliza kula kituNimegundua kweli wewe ni mtu wa fasihi, huna ufahamu wa mambo ya kiusalama na geopolitics.
Kwa mfumo wa uongozi wa Irani jinsi ulivyo hii vita itategemea na aina yaAyatollah watakayempata. Vita bado ni mbichi.
Trump na Netanyahu wametoa tamko kwa raia wa Iran wajitokeze wapambane na serikali yao lakini ni kama Iran wameziba masikio.
Njia pekee ya kuuangusha utawala wa Iran ni kuingiza wanajeshi ardhini. Mbali na hapo hakuna matokeo yoyote watakayoyapata labda kumuua Khomein.
Kwa usiku wa jana Israel na Marekani hawakufanya shambulizi hata moja. Kuanzia saa 2 usiku hadi saa 8 Iran imefanya mashambulizi makubwa sana non stop bila ya kuwa na uongozi. Hofu yangu inakuja ni aina gani ya kiongozi watakayempata: Wakimpata laini ambaye viatu havimtoshi utakuwa ni ushindi wa Marekani na Israel. Ikiwa wakimpata mgumu hakutokuwa na mabadiliko yoyote-Again, njia sahihi ni kuingiza wanajeshi ardhini.
Marekani ameshasema vita kwake imeisha.Hapo patagongwa usiku kucha..Wazungu si watu wa kula bagia na misemo.Walichoplan tulidharau leo tunatafuta vichaka.
Iran inaenda kuharibika zaidi na zaidi..kama upo huko hamia huku US
Mfungo utakuwa mgumu
Waliouawa sio makamanda wote wakubwa punguza uongo.Hii vita imeisha mkuu ni amini hivyo. Marekan na Israel wanapigana kwa phase hapo wanamwacga kwanza arushe makombira yake hovyo kama kawaida yake huku wakisikikizia reaction ya raia na jesh kama watajisalimisha. Kumbuka hadi hivu sasa top kamanda wate wako eliminated na Rais hajulikani alipo. Wakijutahidi sana hii vita week 2 haishi Marekan watakuwa washamaliza kula kitu
Kiongozi uchambuzi wako haujanyooka..Mkuu Iran kushambulia viwanja vya ndege na mahoteli ni kutaka kuleta taharuki na shinikizo na kuhakikisha kuwa shughuli zote za kiuchumi zina simama kwenye nchi hizo ili kuziweka katika wakati mgumu usiyo weza kuvumilika ili nchi hizo ziishinikize Marekani iache mashambulizi yake dhidi ya Iran.