100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Upo sahihi, Kim huwa aongei mara mbili..Magharibi washa pima upepo Kwa Kiduku na kuona sio mtu wa diplomasia na blabla,hivyo kumchokoza ni kosa la kimkakati na hatosita kufanya lolote.
Kwani ili mtu awe gaid ni vitendo vipi akifanya ambavyo wakristo Huwa hawafanyiTangu nizaliwe sijawahi kusikia gaidi mKristo
Kifo cha Khamenei sijui kwanini wengi wanaona ni kama ushindi kwa Israel..😂😂
Ushabiki kitu kibaya.
Kwamba kiongozi mkuu na safu ya viongozi watakwe kulengwa na adui?
😂😂
Huoni kuwa ni aibu kiongozi kuuawa kama ngedere yaani kwenye pigo la Kwanza tuu.
Hata Gaddafi alikuwa mwamba maana angalau yeye amekaa kwa muda mrefu. Au Bashad Alsady
Kwa hiyo saizi pale Iran ni nani kiongozi mtegemezi aliyebakia ambaye ana nguvu zaidi?Kifo cha Khamenei sijui kwanini wengi wanaona ni kama ushindi kwa Israel..
Khamenei alibaki kama nembo ama sura ya mapinduzi ya kiislamu, ameshazeeka ana miaka 86 na alikuwa na maradhi ya uzee.
Khamenei alikuwa hategemewi kwenye maamuzi makubwa ya kijeshi na strategies za kivita, kwamba awe anaongoza jeshi akiwaambia fanyeni namna hii na vile, pigeni hapa na pale, hio kazi kuna vijana tayari wamewekwa, kuna makamanda tayari wapo.
Hivyo kumuua haimaanishi kurudisha nyuma uwezo wa Iran kijeshi.
Khamenei alibaki kuwa kama kiongozi anaye heshimika na aliye ifanyia Iran mambo makubwa katika wakati wake akiwa na nguvu. Na walimuheshimu kwa hilo.
Masuala ya kivita kuna vichwa vipo ndio wanatoa strategies na maamuzi. Tena wa sasa hivi ni vichaa. Maana wamewasha moto mashariki ya kati yote.
Iran muundo wake wa kijeshi huwezi kuwa defeat kwa kulenga viongozi..
Trump anaonya kuwa VITA KWAKE VIMEISHA IRAN ISITHUBUTU KUSHAMBULIA LEO MAANA ITAJIBIWA JIBU KALI.
Kashmiri Mashia wamechachamaa wanaandamana wakidai kisasi dhidi ya Marekani.Hio ni namna ya kuomba cease-fire, amezoea kuingia Iran na kuua, halafu anaomba cease-fire, ni kama amewazoea waajemi, this time lazima kimlambe na awajibike.
Iran iendelee na mashambulizi hadi kule baharini, wasogeze na majeshi karibu na Israel, maana jeshi la Iran ardhini wapo vizuri kuliko hata jeshi lao la anga.
Israel itandikwe na mshariki ya kati ichafuke, iwe fundisho.
Ni kweli kifo cha Ayatollah hakiwezi kuwa sababu ya kuangushwa kwa Irani kwasababu hata hivyo Ayatollah hakuwa na miaka mingi ya kuishi mbele hivyo ni lazima Iran ipate kiongozi mpya.Kifo cha Khamenei sijui kwanini wengi wanaona ni kama ushindi kwa Israel..
Khamenei alibaki kama nembo ama sura ya mapinduzi ya kiislamu, ameshazeeka ana miaka 86 na alikuwa na maradhi ya uzee.
Khamenei alikuwa hategemewi kwenye maamuzi makubwa ya kijeshi na strategies za kivita, kwamba awe anaongoza jeshi akiwaambia fanyeni namna hii na vile, pigeni hapa na pale, hio kazi kuna vijana tayari wamewekwa, kuna makamanda tayari wapo.
Hivyo kumuua haimaanishi kurudisha nyuma uwezo wa Iran kijeshi.
Khamenei alibaki kuwa kama kiongozi anaye heshimika na aliye ifanyia Iran mambo makubwa katika wakati wake akiwa na nguvu. Na walimuheshimu kwa hilo.
Masuala ya kivita kuna vichwa vipo ndio wanatoa strategies na maamuzi. Tena wa sasa hivi ni vichaa. Maana wamewasha moto mashariki ya kati yote.
Iran muundo wake wa kijeshi huwezi kuwa defeat kwa kulenga viongozi..
Iran uongozi wake upo complex sana hata mimi mwenyewe sielewi..Kwa hiyo saizi pale Iran ni nani kiongozi mtegemezi aliyebakia ambaye ana nguvu zaidi?
Kwamba kifo cha Ayatollah sio pigo kabisa kwa Iran?Iran uongozi wake upo complex sana hata mimi mwenyewe sielewi..
Hao jamaa wapo mbele ya muda, ukichunguza wanasayansi waliouawa wa nuclear ni wengi lakini projects zinaendelea kama vile hakuna kilichotokea, succession plans zao ni next level..
Kumuua Khameei ni kama ndio wameongezwa molari ya vita na sio kufa moyo.. tofauti na intel za US & Israel zilivyowaambia. Tayari Israel kaingizwa cha kike.
Kuna cheap propaganda wakionyesha raia wakishangilia kifo cha Khamenei kuonyesha dunia Iran hawamtaki Khamenei lakini kuna picha na videos hazirushwi zikionyesha raia wengi wa Iran kuchukizwa na kitendo cha Israel na US.Iraq vikundi vya jihadi vinaandamana kudai kisasi.
Tehran kumefurika raia wanasema hawatasamehe serikali kama haitalipa kisasi.
Marekani ameshasema vita kwake imeisha.
Kama unadhani Iran itasujudu pole yako.
Jihadist kila kona wanaitwa,PAKISTAN vijana wamevamia balozi ya USA na kuiharibu.
Iraq watu wanaandamana kupinga kifo cha Khamenei.
Bahrain raia wako road wanaomboleza kifo cha Khamenei.

Wananchi wa US hawaungi mkono kwa sehemu kubwa hio vita kama ulikuwa hufahamu..Kwamba kifo cha Ayatollah sio pigo kabisa kwa Iran?
Kwamba hakuna hasara yeyote ambayo kama Taifa imepata kwa hiki kifo cha kiongozi mkuu?
Ngoja tuone ila binafsi siamini kama Iran itaweza kulipiza kisasi cha kuua top leader wa maadui zake zaidi ya kulipua majengo.
Na hatua hiyo ikifanikiwa basi Iran inaweza kukumbana na wimbi kubwa la mashambulizi kama ambavyo Trump ameahidi.
Iran inapigwa kihatatua zilipangika.Kiongozi wa nchi kauawa,mkuu wa majeshi kauawa,waziri wa ulinzi kauawa vipi tena hawa Iran hawakuhifunza kwenye ile 12 day war ambayo wanasayansi na makamanda waliuawa pia? Nakumbuka Trump alisema yeye ndio alozuia Israel wasimuue wengi wakaona ni propaganda sasa nafikiri wengi wamejua ile haikuwa propaganda.
Vita imeisha hio.