100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Mkuu vita haijaisha..Aiseeh! Yaani ni aibu Sana.
Hapo watarusha makombora hovyohovyo bila mipango.
Ni kama mtu aje kwako akupige wewe Baba WA familia. Alafu watoto wako wakarushe mawe nyumbani kwako wakapasue vioo vya dirisha, au gari, wachome shamba lako.
Bado haiondoi ukweli kuwa Baba wa Familia amepigwa na familia yenu imepigwa.
Tatizo wengi hawajui nini maana ya vita.
Na kwenye vita kuna target ambazo zikipigwa itadaiwa umepigwa. Target ya Kwanza ni kiongozi mkuu na viongozi wa majeshi.
Simple.
Kama anpigwa strategi sites, si wapige huko kwenye missiles launchers zake?iran anashambulia apartments tel aviv na hoteli za dubai.. yeye anachapwa strategic sites
Kwamba Iran uwezo wao wa makombora uliharibiwa vita ya siku 12? Hebu kuwa serious basi, vice versa is true Israel Hana tena Ammunition za kuzuia makombora ya Iran sasa hivi huoni tena makombora ya Iran yakiwa intercepted kwa nguvu. Ndio maana sasa hivi Tel Aviv kila sehemu kunapigika.Iran inapigwa kihatatua zilipangika.
Vita ya siku 12, ilikuwa ni kwa ajili ya kuharibu uwezo wake wa Nyuklia na wamakombora.
Vita ya sasa hivi ni kumaliza uwezo wake wa makombora na Kijeshi na kitaasisi.
Iran ikishamalizwa malizwa uwezo wake kuishambulia Israel, Silaha zitaanza kugawiwa kwa wananchi wa kawaida kuipindua Serikali huku Israel akiwa anaishambulia Iran kama Syria.
Shida kubwa ya pro -Israel na US ni kwamba Iran ikishambulia maneno yanakuwa anapiga sehemu zisizo za kimkakati ,wakati pale Gaza alikuwa anafanya hivyo hivyo ukiwaambia hivyo utasikia magaidi walikuwa wamejificha😀Kama anpigwa strategi sites, si wapige huko kwenye missiles launchers zake?
Tel Aviv inapigwa vibaya...
KWani Israel Gaza alikuwa anapiga strategic sites..
Kuua wanafunzi waliokuwa shuleni ni strategic site?
Strategic sites zipi anapiga?iran anashambulia apartments tel aviv na hoteli za dubai.. yeye anachapwa strategic sites
Nimekuambia video ya kwanza ni IRAN. Umeona bendera ya Israel kwenye video ya kwanza?Acha kudanganya watu Kuanzia Iraq, Iran, Pakistan Hadi India kuna maandamano makubwa kumlilia Ayatollah.
Hii Iran, unambie kuna kiumbe kilitoka nje hapa kupinga? Tena ndani ya Iran utembee na bendera ya Israel? Kadanganye chekechea huko.
View attachment 3550548
Watachukua nchi yao vipi ikiwa bado jamhuri ya Kiislamu ipo madarakani,IRGC bado ipo hebu elekeza hiyo nchi itachukuliwa vipi au kwa njia ya anga tu ?Sasa unafikiri Trump anapowaambia wananchi wachukue nchi yao unafikiri anamaanisha nini?
-Bahrain walitangaza wanajeshi 13 wamefariki.Leta habari za uwakika hapa usite propaganda, sema wamekufa askari wangapi. Yaani mtu anakuja kukuzingira kwako na mameli ya kivita na anauwa kiongizi mkuu nchi na viongizi top wa ulinzi unashindwa kushambulia meli unaenda kupiga kambi ambazo makimbira enyewe wana ya intersect.
Wabongo waliofuata mizigo huko Dubai sijui wanaendeleaje..View attachment 3550550
Paralyze uchumi mzima middle east, funga njia zote, hakuna anayeingia hakuna anayetoka!
Oyah weeeeh!!!
Muajemi hacheki na yeyote!
Unawashwa!?Wewe ni mkichaa.
Hii kamba ya Ndege za Israel zinazurura ovyo Iran inarudiwa kila siku humu, lete source, siku zote hizo Ndege zinatumia Anga ya Iraq, na sasa hivi Iraq pia kimenuka soon wataikosa na hio support.Sina tatizo na khamenei.
Hapa tunazungumzia Suala la Iran anatoboa au hatoboi.
Vita inakanuni zake.
Na Khamenei na wenzake wote wanazijua.
Iran wanajua fika hawana uwezo wa kumshinda Marekani. Hilo lipo wazi kimahesabu.
Ili Iran ashinda lazima apate washirika wakweli kabisa ili kumpa nguvu na ku share cost.
Ndege za Israel kama zinazurura hovyo juu ya anga la Iran unafikiri kuna nini hapo.
Yaani Israel wakisema wapige kipigo cha hasira kama wehu. Ni Siku tatu tuu kwa kutumia ndege kazi itakuwa imeisha.
Ila Hawawezi kufanya hivyo kwa sababu pia vita ni suala la kisaikolojia. Wanapiga kimkakati na pia kuwashirikisha na kuwashawishi raia wa IRAN wajiunge kuungausha utawala wa Ayatollah.
Lengo unajua ni nini?
Binafsi ndugu yangu mzigo umekwama hakutoki kitu hapa analalamika Tu.Wabongo waliofuata mizigo huko Dubai sijui wanaendeleaje..
Iran inatoa onyo mashariki yote ya kati.
Mmmh yakweli hayo kaka!??Iran kashambulia Cyprus, Iran anaamini anaweza kuanzisha vita ya Dunia🤣
Well said mkuu..Shida kubwa ya pro -Israel na US ni kwamba Iran ikishambulia maneno yanakuwa anapiga sehemu zisizo za kimkakati ,wakati pale Gaza alikuwa anafanya hivyo hivyo ukiwaambia hivyo utasikia magaidi walikuwa wamejificha😀
NB:Vita sio ya kuweka ushabiki wa Simba na Yanga.
Kama mtu alienda na budget ndogo ya kukaa siku 3 ama 4, na hili limetokea sijui inakuwaje maana, nadhani watapata msaada kwenye ubalozi Abu Dhabi.Binafsi ndugu yangu mzigo umekwama hakutoki kitu hapa analalamika Tu.
Wamemchagua kiongozi wa mpito Ayatollah Alireza Arafi.Kama Israeli na marekani waliamini tatizo la Iran ni kamineeh basi wameshinda. Kama tatizo halikuwa hilo. Basi wana kazi kubwa sana mbeleni
Joseph konyTangu nizaliwe sijawahi kusikia gaidi mKristo