Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

kuendelea kurusha makombora haimaanishi kwamba haipigwi, je ushaona ndege yeyote ya israel imepigwa hadi sasa? iran si ana makombora ya hypersonic kwa nini asiangushe hizo ndege?
Israel kwanini hateketezi na kuharibu missiles launchers za Iran!?
Kwanini haripui missile silos za Iran, maana nasikia MOSSAD wa kutosha wamejaa Iran, Israel anakwama wapi?
 
Isreal mchana huu amechezea. Nimehangaika sana kuzi attach, zinachukua muda mrefu sana. Nyengine zinakataa kuwa attached sijajua tatizo ni nini?!
 

Attachments

  • _171737632.mp4
    6.2 MB
Israel kwanini hateketezi na kuharibu missiles launchers za Iran!?
Kwanini haripui missile silos za Iran, maana nasikia MOSSAD wa kutosha wamejaa Iran, Israel anakwama wapi?
hujui kwamba zingine ziko undeground au na chini ya milima? so unafikiri za underground zinapigika kiurahisi sio?
 

Mfano angalia hapo, Hilo ni bunker la mtaa, watu wote wamejifungia humo, missile imepiga situ hakuna tena Jengo Bali ime penetrate mpaka ndani ya Bunker.


Picha za wanaokoa kuna mifuko kibao ya maiti

Ila utaskia Tu kuna majeruhi,

Israel wanajulikana ni tabia Yao kuficha data, uongo kwao ni profession.
 
AIsee!
Nimeona huruma sana kama kulikuwa na watoto humo..
Lakini yote kataka Netanyahu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…