Israel: Netanyahu amfukuza kazi Waziri wa Ulinzi,Yoav Gallant

Operation inaendelea.
Kamanda mkuu wa Hezbollah aliyekuwa na ugangwe kafa akipiga drone kwa fimbo🥹

Mkuu wa Hamas kafia nyumba za wageni Iran akizungukwa na ulinzi mkali ila haukumsaidia.
Wiki hii tu wanajeshi wangapi wameshajiua wa Israel? Siku zote mkuu haki haipingiki, na mwenyezi Mungu ni Mkubwa kuliko Chochote.
 

Hawatatokea kwenye huu Uzi Yoav Gallant, MK254, Mzee Kigogo, Moisemusajiografii wala wale wasayuni nguli wa Chole.
 
Wiki hii tu wanajeshi wangapi wameshajiua wa Israel? Siku zote mkuu haki haipingiki, na mwenyezi Mungu ni Mkubwa kuliko Chochote.
Huu mtazamo wa Mungu mkubwa kidogo uikoseshe Pakistan bomu la nyuklia. Wenzao Wahindi walikuwa busy na sayansi na teknolojia, Wapakistani wanafanya research ya majini na sijui nani kupaa mbinguni. Kuja kushtuka wakagundua swala tano na nyuklia ni mbingu na ardhi, wakawezesha wanasayansi halisi.

Israel iko hapo kila mwaka inashinda nyie mnazidi kumtaja Mungu. Israel hapigwi kwa imani, ni silaha, mbinu, tech, washirika na mikakati.
 
Wewe Mungu wako kafaulu wapi?
 
Mbona mambo mengi sana jamani? Huku hatujamalizana na Baltasar wa Guinea umekuja uchaguzi wa US, hapa tunasubiri UEFA sisi wapenzi wa mpira mara mambo ya Netanyahu na Gallant tena!
Afrika haiboi wala haichosi...wazee wa kupenda chini tuu
 
Yoav Gallant aliwahi kufutwa kazi kama Waziri wa Ulinzi wa Israel na Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu mnamo Machi 2023.

Gallant alifutwa baada ya kutoa wito wa kusitisha mabadiliko yaliyopendekezwa kwenye mfumo wa mahakama wa Israel, jambo lililopingwa vikali na umma.

Jambo hili ilisababisha maandamano makubwa nchini kwao, huku wananchi wakieleza wasiwasi kuhusu ushawishi wa serikali kwenye mahakama, wakiona mabadiliko hayo kama tishio kwa demokrasia ya Israel.
 
Washatibuana hawa mazayuni....
 
Hawa mayahud waga ni wajinga kila siku wanaandamana visivyo na faida hakuna maandamano yao yaliyowahi kufanikiwa bibi ashawakamata wao watulie tu, wamwachie kazi Iran

Settlers begin blocking main roads in "Tel Aviv" in protest of Netanyahu firing his minister of war Yoav Gallant.
 
Kwa nyakati hizi za vita amempumzisha kwa maelewano, na si kama vyombo vya habari vinavyokuza jambo kama neno KUMFUKUZA
 
Sina la kusema tena, mkuu. Tukubaliane kutokubaliana. Muda utasema vizuri. Kesho Trump, baada ya ushindi, anatoa maelekezo ya kukamilisha mara moja chokochoko za hapo Mashariki ya Kati.

Jamaa anakuja na kasi ya 6G+
Na akishinda Kamala Harris?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…