Israel: Netanyahu amfukuza kazi Waziri wa Ulinzi,Yoav Gallant

hiki kituko cha mwaka...
 
mungu wa israeli alimning'iniza mungu wenu wa-kristo msalabani dunia yenu wakristo ikaishia hapo mpk leo nyie na masanamu tuna kumnyenyeke myahudi
 
huyo wasimpe, kichwa chake kibovu, kama anavuta bange, atauwa mno watu huyu.
Huyu Mzee ana Akili nyingi Sana alafu pia ni mshauri mzuri Sana Kwenye Baraza zima la mawaziri, ana uwezo mkubwa Sana wa kushauri na kutoa solution nini kifanyike..
Tatizo lake ni hasira,msimamo na ukatili wa hali juu hasa Kwa waarabu
 
Bibi tulia uandike vizuri.
 
Are u mental going well? Why ww si muislamu unawasemea waisalam juu ya ukweli au uongo wa mungu wao how about your god hv histiriabya dunia imeanza Oct 7 sijui una umr gan au umeuba simu ya shem wako
 
Huyu Mzee ana Akili nyingi Sana alafu pia ni mshauri mzuri Sana Kwenye Baraza zima la mawaziri, ana uwezo mkubwa Sana wa kushauri na kutoa solution nini kifanyike..
Tatizo lake ni hasira,msimamo na ukatili wa hali juu hasa Kwa waarabu
huyo ni kama mkuu wa mkoa fulani hivi anayetoka maeneo wanalima bange, ila sijataja iringa. ni mropokaji mno, israel wakitaka kuleta propagana au justification ya kitu huwa wanamtuma yeye anaropoka afu wanakuja kumlaumu kwa kiini macho. juzi hapa alitoa proposal Gaza ichorwe upya na yajengwe makazi bora ya wayahudi ili pasikaliwe na wapalestina kabisa. thats who he is.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…