Israel ni nchi ya Wayahudi - Netanyahu

Kumbe waarabu wahamiaji ndio walijipachika jina la wapalestina na kudai hiyo ardhi ni yao kumbe waisrael wakomae kabisa hao wapalestina warudi kwenye mataifa ya kiarabu maanake ndiko walikotoka.
Stori ya upande mmja
 
December tu yenyewe watu watamiminika Bethlehem ambayo ipo westbank (eneo wanakoishi wapalestina) ambako Yesu aliyeishi kama Myahudi alizaliwa. halafu mtu anakuja leo anasema ile ardhi sio ya wayahudi, akili matope hayo?

Mwarabu akae kutulia au aondoke myahudi anataka taifa lake.
 
Mesapotamia,uru wa wakaldayo ilipo iraq ya sasa
Ukienda kwenye dini mvamizi ni Myahudi alitoka Misri akaenda hapo alipo na aliwakuta watu ,kabla ya kwenda Misri Kwa njaa Wayahudi walikuwa wanaishi wapi? Walikotoka kabla ndio kwao ila sio hapa Kwa Wapalestina huu ni uongo.
 

Historia ya biblia inawabeba wayahudi. Hilo halina wa kupinga.
 
Historia hii ipo wazi nenda kasome kwenye vitabu vya historia ama tembelea legitimate sources kama wikipedia.
 
Historia ya biblia inawabeba wayahudi. Hilo halina wa kupinga.
Historia ya biblia inawabeba wayahudi. Hilo halina wa kupinga.
Sio kweli Kwa sababu kabla ya kwenda Misri Wayahudi walitoka wapi? Maana walipotoka Misri ndio wakaja hapo Kwa Wapalestina wakakuta watu.

Then haijaeleweka baada ya kukuta watu walioshindwa bila shaka kwenye vita ya Ardhi ndio wakatawanyika huko Ulaya na kwingineko.

Aloyewarudisha Wayahudi 1958 ni Marekani,Kwa nini warudi kwenye Ardhi ya watu?
 
Ukweli upo hivi Islam ilitumia nguvu kubwa sana kuondoa dini zote, tamaduni zote, mila zote , kabila zote karne ya saba duniani kote kutumia upanga, jambia kodi kutengwa. Kuliko falme zilizopita.

Nchi nyingi zilitawaliwa ila sio kwa ukatili uofanyika karne hio.

Waarabu wengi walikuwa Wakristo kabla ya 700, Persia, Uturuki, India, Afrika Magharibi, kaskazini, mashariki zilivamiwa chini ya upanga.

Kabla ya hapo kulikuwa na kuvumiliana, Ethiopia, Sudan, Egypt, Greece ,Romans, Persia waliacha tamadamu kidogo za wazawa.

Ila Uislamu ilikuwa ni hivi unachukua dini yetu au kifo.
Wengi walichagua kuishi.
 
Okay
 

Attachments

  • 1697569231144.jpg
    20.2 KB · Views: 3
Wewe mungiki wa kikuyu roho yako chafu ukijua kuandika wewe inatosha,karibu ashdood hapa wewe mungiki 😂
 
Nisichoelewa hapa issue ni dini, makabila au nn hasa? Kwani Abraham wakati anapewa Kanaani hakukuta jamii za watu wengine?
 
December tu yenyewe watu watamiminika Bethlehem ambayo ipo westbank (eneo wanakoishi wapalestina) ambako Yesu aliyeishi kama Myahudi alizaliwa. halafu mtu anakuja leo anasema ile ardhi sio ya wayahudi, akili matope hayo?
Kama yesu alikuwa myahudi ,ilikuwaje wayahudi wezie wakamua
 
Kabla ya kwenda Misiri walitokea kwenye nchi hiyohiyo inayosemwa na Netanyau na walikwenda Misiri kwa kuchukuliwa na Yusufu ambaye aliuzwa Misiri na waishimail waliyemnunua kwa ndugu zake.
 
Mandela hajawahi kuwa jembe.
Alisifiwa zaidi na wanyonyaji wa Afrika ikiwamo makaburu.
Sababu alifuata matakwa ya makaburu.
Sifa walizompa ilikuwa ni kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa

We can agree to disagree;

 
Hayuko sahihi,wayahudi kazi yao kuibadili history iendane na agenda zao, byzantine waliwatimua, waislam chini ya ummar wakawarudisha baada ya kuwatimua wabynztine

Waislamu ndio wanaongoza kwa kuiba na kubadili historia zisizo zao,waambie waarabu waondoke hapo uyahudi laa watakufa wote mbaki kuandika pray for.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…