Israel wanaingia Gaza mjini kati usiku wa leo

Wewe una utoto bado na ushabiki mandazi…

UN Secretary-General Antonio Guterres warns that Israel’s relentless bombardment of the Gaza Strip is turning the enclave into a graveyard of children, adding that no party in a war is above international humanitarian law.
 

Attachments

  • twidown.mp4
    1.8 MB
Wewe endelea tu kutumia zile dawa zako za huo ugonjwa wako wa akili ukiziwacha utarudishwa tena Mirembe pole sana
 
Ulikua na ulazima wa kuiandika Rombo kwenye comment yako? Acha chuki za kipunbavu dhidi ya wachaga shwaini mkubwa.
 
Wewe endelea tu kutumia zile dawa zako za huo ugonjwa wako wa akili ukiziwacha utarudishwa tena Mirembe pole sana
Ungejibu tu Allah hiyo sala aliyotoa Kwanini hajajibiwa mpaka sasa
 
Kwenye Vita mbona hili ni kawaida au hujaona Russian wakiandamana hawataki Vita. Najiuliza hiv kwanini waislamu hawailaum Hamas
 
Hivi Gaza kuna Gaza Mjini na Gaza vijini.
Angalia hiyo video utatuambia hapo ni Gaza mjini au Gaza Kijijini.
HAMAS VIDEO SHOWING ITS SOLDIERS FIGHTING POINT BLANK RANGE WITH ISRAELI IOF SOLDIERS INSIDE GAZA CITY

Magaidi ya yashughulikiwe bila huruma
 
Kuna kipindi kimoja kinarushwa na Al jazeera kinaitwa Witness. Nimekiona jana nimeumia sana. Watoto wanateseka sana kwenye hiyo vita. Mungu asaidie haya yaishe.

Hamas ndio wa kulaumiwa kwa kuleta misiba kwa raia wasio na hatia.
Lazima kuna baadhi ya Wapalestina hawakubali ugaidi wa hamas
 
Ndio maana hata kwenye mipira mnawachukia waarabu na mnaombea watolewe kwenye mashindano

Mtawachukia waarabu, mtaupiga vita uislamu lakini chuki zenu hazitafanikiwa, ni kujiumiza na kujipa presha, poleni sana

Nenda kaolewe huko arabuni maana unawapenda sana!
Kwanza mtu mweusi anaonekana kijakazi tu mbele ya mwarabu
 
Ogopa sana Teknolojia. Propaganda zinatumika sana na sometime waigizaji wana fail mpaka wanabainika. Ritz unaona jamaa wanavyoigiza?
 
Hawana ujasili wana tabia za kike. Wanachokoza watu wanakimbilia kujificha na kulalamika.
 
Kuna kipindi kimoja kinarushwa na Al jazeera kinaitwa Witness. Nimekiona jana nimeumia sana. Watoto wanateseka sana kwenye hiyo vita. Mungu asaidie haya yaishe.
Al Jazeera ni channel inayopigania maslahi ya waislam wala usipate nao shida. Nasubiria kipindi kinachoangazia uhalifu wa Hamas kama kitakuwepo.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Mbona hawazungumzii hamas kujificha kwa watoto na wanawake Kisha kuanza kushambulia?

Wanategemea Israel ifanyeje?
 
Kweli kiliniumiza sana hiyo jana. Nililia kama nimefiwa vile. Yaani kama mama nimeumia sana sanaa.
Umewahi kulilia Mamilioni wa Waafrika walio uawa wakati wa utumwa, Mwarabu akiwatia minyororo, watoto wanaozaliwa wakitupwa porini, watu wazima wakitupwa porini, wengine baharini pale wanapo onekana kutomaliza safari?
 
Kuna kobazi mmoja na vijana wake kibao tulikua tunakutana sana gym na yeye ndio mwalimu wao,
Na alikua anawapelekesha kweli
Siwaoni wote siku hizi hawa nadhani watakua huko
Vitani km hawajafikiwa na kutunguliwa
 
Magaidi Ni waisrael wanao ua wanawake, vikongwe na watoto. Niambie justification ya kuua watoto, kuwazimia umeme, kuwanyima dawa , chakula na maji.
Hakuna ukatili zaidi ya huo.
 
Mbona hawazungumzii hamas kujificha kwa watoto na wanawake Kisha kuanza kushambulia?

Wanategemea Israel ifanyeje?
Na wewe uwe unatumia. akili zako unameza kila propaganda kwa hiyo Hamas uwa wanajificha kwa watoto na wanawake mabomu yakirushwa yanachagua watoto na wanawake wao wanapona? Hivi huko shuke mlikuwa mnaenda kusoma ujinga?
 
Magaidi Ni waisrael wanao ua wanawake, vikongwe na watoto. Niambie justification ya kuua watoto, kuwazimia umeme, kuwanyima dawa , chakula na maji.
Hakuna ukatili zaidi ya huo.
Tuloshasema Hatutaki Raia Gaza. Tuna Operesheni maalum ya Kuua Magaidi ya Hamas. Awe mwanamke, Mzee, mtoto madam hakuondoka Gaza huyo ni Gaidi atauawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…