Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,894
- 1,622
Nenda Oman na Saudia uone waarabu weusi wanavyo ishi maisha bora tena ndani ya Oman wako mpaka serikalini na ni viongozi wakubwa.
Hata mfarume wa Oman aliye pita alikuwa ni Chotara wa kiarabu na kiafrika.
Sasa ww nenda Israel uone hao Wayahudi weusi wanavyo ishi wanaishi kwenye makambi kama wakimbizi.
"msiviamini vyombo vya habari vinavyomilikiwa na waarabu...."
Nimemnukuu Netanyahu akikazia kuwa Israel haipambani na wajawazito ama watoto bali inapambana na kundi la kigaidi.
njia sahh ni ipi?wakulima na wafugaj everday wanachapana itakuwa hao nchi yao ebu achane ujnga sbb haijawatokea.Vita hii inasikitisha sana. Wanaoumia ni watu wasio na hatia ila mimi nawalaumi sana HAMAS maana njia wanayotumia sio sahihi japo ni kweli wanadai haki yao. Ila hawakupaswa kufanya walilofanua tarehe 7 October. Halafu wanakimbia kujificha kwa Raia na kuanza kutafuta huruma kwa Ulimwengu mzima. This is Sad
IOF SOLDIER???Hivi Gaza kuna Gaza Mjini na Gaza vijini.
Angalia hiyo video utatuambia hapo ni Gaza mjini au Gaza Kijijini.
HAMAS VIDEO SHOWING ITS SOLDIERS FIGHTING POINT BLANK RANGE WITH ISRAELI IOF SOLDIERS INSIDE GAZA CITY
HATA VIONGOZI WA HAMAS FATAH PLPF PIJ NA WAARABU WAISLAMU WOTE NI WABAYA SINCE 1967 WALIPOANZISHA VITA AFU WAKASHINDWABora ukae kimya mkuu, wewe upo upande wa mayahudi wenzio, na hiki ulichokiandika ni uzushi, na mwisho wake huyo netanyahu ni mbaya kama ilivyo kwa eriel sharon
Al Jazeera wanakwepa kuweka habari za wayahudi sababu mmiliki wao ni mwarabu muislamuVyombo vya habari vingi havitumii neno ugaidi ,hata hivyo vyombo vya habari vya kimagharibi havitumii neno ugaidi kwa sababu sio kazi yao kutafsiri nani ana sitahili kuitwa gaidi.
Alafu kingine Al Jazeera ni shirika kutoka kwenye nchi inayo itambua Hamas kama chama cha kisiasa na sio magaidi hata nchi yako unayo ishi haitambui Hamas kama magaidi bali wanakitambua kama chama cha kisiasa.
Wanao itambua Hamas kama magaidi ni Israel , Marekani na washirika wake kutoka ulaya lakini nchi nyingine zote ikiwemo nchi yako ilatambua Hamas kama chama cha kisiasa ,jaribu kuacha fikra za kitumwa.
Akuanzae mmalizeKuna kipindi kimoja kinarushwa na Al jazeera kinaitwa Witness. Nimekiona jana nimeumia sana. Watoto wanateseka sana kwenye hiyo vita. Mungu asaidie haya yaishe.
Akuanzae mmalizeHii vita ina propaganda kubwa.
Kuna watoto na akina mama wanakufa zaidi ya mara 6.
Sawa mwarabu mweusi π€£π€£πWewe punguania kabisa ushabiki mandazi unajiona Muisrael mweusi wa Rombo.
Msikilize Muisrael halisi nyie bakieni na ushabiki mandazi watoto wanauliwa eti mnashangilia.
JEWISH SON OF A HOLOCAUST SURVIVORS SPEAKS OUT AGAINST THE GENOCIDE IN GAZA
βIβm Jewish, Iβm Israeli, my parents were the only survivors of their families from the Holocaust.
Iβm not going to support a genocide , am I ?β
Yupi huyu auAchana na huyo shoga
Mnatwangwa kote kote na kidini chenuHivi Gaza kuna Gaza Mjini na Gaza vijini.
Angalia hiyo video utatuambia hapo ni Gaza mjini au Gaza Kijijini.
HAMAS VIDEO SHOWING ITS SOLDIERS FIGHTING POINT BLANK RANGE WITH ISRAELI IOF SOLDIERS INSIDE GAZA CITY
Zile video ni stagedKuna kipindi kimoja kinarushwa na Al jazeera kinaitwa Witness. Nimekiona jana nimeumia sana. Watoto wanateseka sana kwenye hiyo vita. Mungu asaidie haya yaishe.
Staged ili Hamas waendelee kuwepo.Hii vita ina propaganda kubwa.
Kuna watoto na akina mama wanakufa zaidi ya mara 6.
hizi chuki zilipandwa mashuleni na kupindisha historia ya ukweli kwa lengo moja watu wauchukie uislamu sababu ya waarabu na kuwabatiza wasiokuwa wakiristo na kuulinda ukiristo kwani waingereza ,wajerumani walikuwa nani huku umesikia wakitajwa maana ni hao hao tu huko america kila kukicha ubaguzi unashamiri afro america wamekuwa wakitengwa wakiuwawa kwa kupigwa risasi hayo hawaoni sababu wamepumbazwa wameendelea kuwaamini bado wameamua ulimwengu uwe wa mashoga bado tu wapo nao jiulize shida yao ni nini haswa shida yao ni moja kupingana na uislamu wamehangaika mpaka kubadilisha quran tukufu ila watu wameihifadhi wanayo vifuani mwao wanahangaika hawajui wafanye nini wana maumivu sana kila wanapowaona waislamuAcha stori za kusadikika, hivi ulikuwepo wakati babu zako wamefungwa minyororo? Ulishuhudia? Tena acha kutuletea hizo stori zenu mnazokaririshwa sijui makanisani au mashuleni!! Hii ni vita tunajionea live, na sio za kuhadithiwa.
Mnawachukia sana waarabu, badilikeni
"msiviamini vyombo vya habari vinavyomilikiwa na waarabu...."
Nimemnukuu Netanyahu akikazia kuwa Israel haipambani na wajawazito ama watoto bali inapambana na kundi la kigaidi.
hizi chuki zilipandwa mashuleni na kupindisha historia ya ukweli kwa lengo moja watu wauchukie uislamu sababu ya waarabu na kuwabatiza wasiokuwa wakiristo na kuulinda ukiristo kwani waingereza ,wajerumani walikuwa nani huku umesikia wakitajwa maana ni hao hao tu huko america kila kukicha ubaguzi unashamiri afro america wamekuwa wakitengwa wakiuwawa kwa kupigwa risasi hayo hawaoni sababu wamepumbazwa wameendelea kuwaamini bado wameamua ulimwengu uwe wa mashoga bado tu wapo nao jiulize shida yao ni nini haswa shida yao ni moja kupingana na uislamu wamehangaika mpaka kubadilisha quran tukufu ila watu wameihifadhi wanayo vifuani mwao wanahangaika hawajui wafanye nini wana maumivu sana kila wanapowaona waislamu
Mungu wenu ametutaja tusiwe marafiki na nyinyi! basi poa tusiwe marafikiEnyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu. (Quran)
Enyi mlio amini! Zikumbukeni neema za Mwenyezi Mungu zilio juu yenu. Pale yalipo kufikilieni majeshi, nasi tukayapelekea upepo, na majeshi msiyo yaona. Na Mwenyezi Mungu anayaona mnayo yatenda.Mungu wenu ametutaja tusiwe marafiki na nyinyi! basi poa tusiwe marafiki
Poa tu ndio maana ukitaka kutafuna dada zenu haswa wa zenj mpaka ujiite Juma au HamisEnyi mlio amini! Zikumbukeni neema za Mwenyezi Mungu zilio juu yenu. Pale yalipo kufikilieni majeshi, nasi tukayapelekea upepo, na majeshi msiyo yaona. Na Mwenyezi Mungu anayaona mnayo yatenda.