Israel wanaingia Gaza mjini kati usiku wa leo

Ungejibu tu Allah hiyo sala aliyotoa Kwanini hajajibiwa mpaka sasa
Wewe endelea tu kutumia zile dawa zako za huo ugonjwa wako wa akili ukiziwacha utarudishwa tena Mirembe pole sana
 
Tuloshasema Hatutaki Raia Gaza. Tuna Operesheni maalum ya Kuua Magaidi ya Hamas. Awe mwanamke, Mzee, mtoto madam hakuondoka Gaza huyo ni Gaidi atauawa.
Ujinga pia ni ugonjwa wahi haraka hospitali ukatibiwe pole sana
 
Hamas hawaponi pia. Wewe ndo umesomea ujinga. Wewe utamtambuaje Hamas? Mungu wao amewapa Amri kusafisha Gaza. Wewe Kaa kimya subiri wateule watekeleze Maagizo ya Mungu.
Ujinga ni mzigo pole sana
 
Hivi Gaza kuna Gaza Mjini na Gaza vijini.
Angalia hiyo video utatuambia hapo ni Gaza mjini au Gaza Kijijini.
HAMAS VIDEO SHOWING ITS SOLDIERS FIGHTING POINT BLANK RANGE WITH ISRAELI IOF SOLDIERS INSIDE GAZA CITY

Hamas wanapigana point blank na Israel Gaza? Hamas gani? Haya tunayoyaona kila siku ynanaonyesha ukatili wa Israel. Kama Hamas wana hao maaskari wanafanya nini?
Au ndio kama kawaida yao...kuvimbiwa pilau na biriani
 
Kama ambavyo mbowe aliitwa gaidi kwa sababu ya kupinga masilahi ya ccm, basi tambua ndivyo Hamas inavyo itwa magaidi kwa sababu ya kupinga masilahi ya Marekani na Israel.
Yale ni magaidi yaliyojificha kwenye mwamvuli wa kupigania ardhi ya wapalestina.
Hayana tofauti na isis, alshabaab, bokoharam, Islamic jihad nk
 
Free palestine
Wenye chuki ni nyie hapo mnaotetea magaidi

Anae uwa wasio na hatia huyo ni gaidi, kwanini asipambane na hamas wenyewe!! yeye anakimbilia kuuwa watoto ili kukifuta kizazi sio!! Endeleeni kushabikia tu, ipo siku mtaelewa tu
 
Yale ni magaidi yaliyojificha kwenye mwamvuli wa kupigania ardhi ya wapalestina.
Hayana tofauti na isis, alshabaab, bokoharam, Islamic jihad nk
Hata mbowe ni gaidi aliye jificha kwenye mgongo wa kuwapigania wtz kumbe ni mchumia tumbo.
 
Historia ya utumwa iko well documented vizuri sana, nenda hata hapo Zanzibar uone jengo walilokuwa wakiwekwa wakisubiri kupigwa bei. Tatizo slave master aliwarithisha imani ndio maana leo mmegeuka kuwa mtetezi wao
 
Kama kuna movie ya hivo vitu nipe niangalie uone kama sitalia. Sasa huko enzi za utumwa nitajua waliteseka namna gani bila kuona?

Mimi hata msiba usio nihusu wakilia na mimi nalia.
Movie ya nini, evidence ziko wazi wala huitaji movie. Nenda Museum ukaone, nenda hapo Zanzibar uone walipokuwa wakihifadhiwa kama mbwa wakisubiri mnada
 
Historia ya utumwa iko well documented vizuri sana, nenda hata hapo Zanzibar uone jengo walilokuwa wakiwekwa wakisubiri kupigwa bei. Tatizo slave master aliwarithisha imani ndio maana leo mmegeuka kuwa mtetezi wao

Endelea kukariri tu
 
pic.twitter.com/cY9ncayUJJ

The Lebanese resistance targets the "Israeli Volvo" tanker. Look at it, it is burning with all its passengers!!

This tanker usually carries from 25 to 42 soldiers?

They were all sent to hell if they were inside it!!
 
Ua hayo MAGAIDI mwaga sumu ua hamas na washirika wake.


Israel imwage sumu iue Hadi Mendes .

Sitaki kuona hata Mendes mwenye asili ya Gaza
Wanamgambo wa Israel wamechezea kichapo cha mbwa mwizi wakati wamejikusanya kama nyumbu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa video fupi itakufundisha nini kuhusu Gaza, hayo magaidi yenu yanaendelea kufutwa na kwa sasa hamna msaada wa kubwa la magaidi ya kidini Iran, wanaliwa na kusakamwa

twitter.com/atras10/status…

Hezbollah bombed an Israeli army military site in Al-Bayyad, on the border with Lebanon,

The Islamic Resistance carried out an operation targeting a logistical vehicle belonging to the enemy’s Israeli army at the Al-Bayyad military site on the Lebanese-Palestinian border.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…