Binafsi nimeshukuru sana Mwenyezi Mungu kunileta duniani zama hizi ambapo nimeshuhudia na kujiridhisha pasipo shaka kwamba propaganda za miaka mingi kwamba Israel ana nguvu kumbe ni uongo mtupu.Tuache utani kile kipigo alichotoa Iran ni mwana UKOME.
Vile vita ambavyo Tehran ilipigwa na vinu vya nyuklia kushambuliwa!!!Vita vya majuzi vya siku 12 ulikuwa hujazaliwa wakati Mazayuni wanaomba ceasefire kwa kipigo kitakatifu?
Ayatollah anakwambia katika masuala ya kivita umri wake ni mzee ila roho yake ni kama ya kijana wa miaka 20 anayetamani na asiyeogopa vita.
Omba wewe ruhusa ya kuishambulia Israeli halafu upewe hiyo ruhusa tuone kama utaishambulia.Hajiwezi
Sasa kama umechoka vita kwanini unataka tena Tanzania nayo iingie vitani?Samia wetu peleka makomando wetu wakawachakaze Hawa wagonvi.Tumechoka kuona vita haiishi
Akili kubwa imeongea hapa. Sio ushabiki usiona na msingi. Kudos brother.Omba wewe ruhusa ya kuishambulia Israeli halafu upewe hiyo ruhusa tuone kama utaishambulia.
Hapa issue siyo ruhusa, ni uwezo maana Israeli akiishambulia Iran, Iran anaweza kulipiza kisasi kwa kushambulia kambi za US. Lazima US ajue na akae tayari kwa lolote.
R.I.P mzayuni fekiDuru za kikachero zinadai israel iliiomba marekani ruhusa ya kufanya shambulio la kujihami(pre-emptive strikes) dhidi ya Iran
Japo duru haziarifu ikiwa Marekani ilikubali au laa, lakini kitendo cha dege la kirusi la kubeba viongozi na wanadiplomasia kutua tel aviv kubeba wahusika,kadhalika china kuondoa wanadiplomasia wake tel aviv ni ishara kwamba mtanange wa mahasimu u njiani,na huenda urusi inajua ni kitu gani Iran imeandaa
Makamanda wa Iran walinukuliwa hivi karibuni wakidai vita vyake vya hatima na israel haviko mbali
View attachment 3453867View attachment 3453869
Sio huko hata huku kwetu tungeona vimondo ingependeza sanaWaanze chapu,tushuhudie vimondo
Iyo kuomba ruhusa yoote ni woga uliopitiliza, CIA aliyetoa siri ya mashambulio makali kutoka Iran dhidi ya Israel na kwenye kambi za Marekani zile siku 12 za hivi karibuni amefukuzwa kazi wiki iliyopitaDuru za kikachero zinadai israel iliiomba marekani ruhusa ya kufanya shambulio la kujihami(pre-emptive strikes) dhidi ya Iran
Japo duru haziarifu ikiwa Marekani ilikubali au laa, lakini kitendo cha dege la kirusi la kubeba viongozi na wanadiplomasia kutua tel aviv kubeba wahusika,kadhalika china kuondoa wanadiplomasia wake tel aviv ni ishara kwamba mtanange wa mahasimu u njiani,na huenda urusi inajua ni kitu gani Iran imeandaa
Makamanda wa Iran walinukuliwa hivi karibuni wakidai vita vyake vya hatima na israel haviko mbali
View attachment 3453867View attachment 3453869
Uongo na Upotoshaji ndiyo sera na mnaita Taqiyyah ili kuficha au kufifisha uwezo au takwa la Israel. Nchi hiyo haiombi kuishambulia nchi ambayo kwayo inaonekana na tishio kwa salama wake.Duru za kikachero zinadai israel iliiomba marekani ruhusa ya kufanya shambulio la kujihami(pre-emptive strikes) dhidi ya Iran
Japo duru haziarifu ikiwa Marekani ilikubali au laa, lakini kitendo cha dege la kirusi la kubeba viongozi na wanadiplomasia kutua tel aviv kubeba wahusika,kadhalika china kuondoa wanadiplomasia wake tel aviv ni ishara kwamba mtanange wa mahasimu u njiani,na huenda urusi inajua ni kitu gani Iran imeandaa
Makamanda wa Iran walinukuliwa hivi karibuni wakidai vita vyake vya hatima na israel haviko mbali
View attachment 3453867View attachment 3453869
Wewe ni mwendawazimu kabisa na hilo unalosema ni dua la kuku Mwamba Benjamin Netanyahu ndiye mwamba kiboko cha magaidi wa Kiarabu na dunia nzima.Israel is heading to its self destruction through the most idiotic coward Netanyahu. This time the entire Israel will flee to Europe. Sijajua wajinga kama hàwa wanaingiaje madarakani. Kwa sababu nina wasiwasi kama Netanyahu ni binadamu au ni jini mladamu ya watu, maana last time alichezea kipigo kitamu na damu za kutosha za waisraeli zilimwagika. Let him play with fire to burn his finger properly.
Nikionaga comment kama hizi najua kweli Waafrika sio binadamu kamili Wewe unanufaika vipi na Israel binafsi vipi Sudan hapo watu wanachinjana lakini upo kimya umeshupalia vita ya Middle inakusandia nini?huyo Netanyahu unayemshabikia anakujua?Wewe ni mwendawazimu kabisa na hilo unalosema ni dua la kuku Mwamba Benjamin Netanyahu ndiye mwamba kiboko cha magaidi wa Kiarabu na dunia nzima.
Oct 07,2023 wakati magaidi wanafanya mauaji ya kutisha huko Israel ulikuwa na furaha sana kwa hiyo hata sasa nakushauri tu uendelee kufurahia yanayoendelea huko Gaza maana hakuna namna nyingine!!!
Wewe Mwarabu koko tuliła nikukumbushe Oct 07,2023 ulikuwa unafurahia sana wayahudi kuuwawa na magaidi wa Kiarabu leo hii ubao umebadirika unajifanya kulialia kama NGURUWE!!! Tuliła magaidi hao wapigwe dose inayowafaa!!!Nikionaga comment kama hizi najua kweli Waafrika sio binadamu kamili Wewe unanufaika vipi na Israel binafsi vipi Sudan hapo watu wanachinjana lakini upo kimya umeshupalia vita ya Middle inakusandia nini?huyo Netanyahu unayemshabikia anakujua?
Kwa kweli hajiwezi mpaka kuwaua makamanda wote hawa hii inaonyesha ni jinsi gani walivyo dhaifu!!!Hajiwezi
Israel haijiwezi.Omba wewe ruhusa ya kuishambulia Israeli halafu upewe hiyo ruhusa tuone kama utaishambulia.
Hapa issue siyo ruhusa, ni uwezo maana Israeli akiishambulia Iran, Iran anaweza kulipiza kisasi kwa kushambulia kambi za US. Lazima US ajue na akae tayari kwa lolote.
Nani huyo alikua!?Iyo kuomba ruhusa yoote ni woga uliopitiliza, CIA aliyetoa siri ya mashambulio makali kutoka Iran dhidi ya Israel na kwenye kambi za Marekani zile siku 12 za hivi karibuni amefukuzwa kazi wiki iliyopita
Hayo ni maneno ya kujifariji na kujipa moyo baada ya kipigo cha siku 12 kilichowaacha makamanda waandamizi wa Jeshi la Iran kufa kibudu!!Israel haijiwezi.
Kivipi kushambulia ashambulie Israel halafu Iran alipue kambi za USA!?
Unaongea hata hujui unachoongea.
Hata Ile vita ya June Iran alishambulia kambi za USA Qatar na Iraq baada ya USA kutumia B-2 spirit bomber Fordow.
Kama USA asingeshambulia ndani ya Iran basi Iran angemchapa peke yake Israel pasi na kushambulia kambi za USA.
Israel haijiwezi,kitendo cha kuomba ruhusa ni kuwaweka tayari mabwana wanaomlea kumsaidi pindi Iran akijibu mashambulizi.
Maana hata vita ya June USA ndiye aliyeshiriki pakubwa kufanya interceptions ya makombora ya Iran.
Kiufupi ISRAEL PEKE YAKE HAIJIWEZI.
Mkuu, naona ujui vizuri mapungufu makukubwa ya matumizi ya silaha za laser!! Kwanza low earth orbiting satellites umbali wake kutoka aridhini hauzidi kilometer 250 kusema kwamba satelliye za LEO zonaweza kutumika kushambulia/lenga targets zilizopo aridhini hiyo si kweli na hapo hatujazungumzia zile ambazo ni geostationary satellite umbali wake kutoka aridhini ni zaidi ya kilometer 23,000!! Ni laser beam gani yenye uwezo kupenya umbali huo mkubwa bila ya nguvu zake ku decay exponentially - hakuna, silaha hizo zinaweza kutumika kiufanisi kwenye masafa mafupi tu, basi.Tetesi Habari za intelijensia za ndani kabisa => Israel kajipanga kweli kweli, ataipiga Iran kwa Satellite Laser Weapon na kukausha kila kitu huko Tehran vya kijeshi, na sehemu maalum za kijeshi huko Iran, hasa kwa kutumia viumbe wasionekana, hivyo Iran itapigwa kwa mshtuko mkubwa bila kujua nini kimewapiga, na huo ndio utakuwa mwisho wa Utawala wa Ayatollaah, ngoja tuone sbb Trump atawapa ruhusa lazima na Russia haitasaidia Iran hata kidogo.