Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Ni mapema mno, bado hawajasema. Watuliazane kwanza ndio waje waseme vizuri.
 
people in Israel were woken in the early hours by air raid sirens and a phone alert warning there could be "severe retaliation".
Yaani Israel anachokoza nyuki huku akijua kisasi kitakuwa kikali zaidi hadi kufikia kuwaamsha wananchi wake usiku usiku kuogopa kisasi kutoka Iran.
 
Vita imeanza rasmi.
Mpaka sasa Netanyahu atakuwa ameshakimbilia kujificha Gaza..
Iran lazima itajibu, na ikijibu Israel haitopenda kitakachotokea.. mchokozi hapa ni Israel.. Trump ameiponza Israel.
Maneno hayo mlishasema sana lakini huwa hatuoni zaidi ya kutafuta huruma tu!!wapi hezbora?alipoanza kuwashambulia mlisema sasa atakipata!!wako wapi?
 
Ni kweli pakistan na India wanayo nuclear lakini siyo mataifa ya kigaidi hayo..eala hayajawahi kutangaza kuifuta Israel kwenye uso wa dunia....
Iran si taifa la kigaidi...
Gaidi ni US na ISrael..
Mashariki ya kati Iran imekuwa na ushawishi mkubwa kiasi cha kuitisha Israel na US..

Cheap propaganda hio...

Vikwazo zaidi ya miaka 40 vimeshindwa kuirudisha nyuma Iran, na kinachotokea kila siku ina advance..
Kama Iran ni magaidi kisa uislamu mona UAE, Qatar, Oman n.k ni nchi za kiislamu lakini hamuiti magaidi?

Kama ku fund proxies middle East hata US ana fund vikundi middle East?
 
Israel wameanza kuomba watu watoe damu wamechanganyikiwa habari inaonyesha sio nzuri. Mara ya pili itabidi wa mwambie USA ukipigana wewe usituweke sisi simba kwenye picture
Safari hii usipougua ukichaa bc utakufa Kwa presha mana Netanyahu anachowafanyia Magaidi wenzako huko sio poa πŸ˜‚
 
Huyo ndiye alituambia humu JF kwamba Iran hagusiki na yeyote.Ngoja wale mikong'onto hadi akili ziwasogee.
Shambulio la kushitukiza ni tofauti ....mifumo ya ulinzi inakuwa imewekwa kwenye kiwango cha chini cha sensitive.....
 
Mwisho wa enzi wa Israel......
Marekani alimuonya asijaribu kufanya ujinga huu......
Israel inakwenda kufutwa kwenye uso wa Dunia
Tangu mseme Israel anafutwa kwenye uso wa dunia n miaka ya 60 huko ila bado Magaidi mnakula dozi tuu kila siku πŸ˜‚
 
Jamaa kaamua kuaharibu Nchi yake..
Iran hatanii na ndiyo maana Israel ameanza kujihami hata kabla Iran hajatangaza rasmi kulipa kisasi.

Ukiona USA na Israel wanahaha hivi ujue kabisa wanautambua ubabe wa Iran kwenye kushusha vyuma.

Israel kaogopa kushambulia vinu vya nyuklia vya Iran kama alivyosema anajua vinu vyake pale Israel vitachakazwa hakuna kitakachosalia.
 
Shambulio la kushitukiza ni tofauti ....mofumo ya ulinzi inakuwa imewekwa kwenye kiwango cha chini cha sensitive.....
Yn Iran amepigwa shambulizi la kushtukiza πŸ˜‚ nae Israel akipigwa tutakuja kusema ameshtukizwa

Wabongo bhana kwahy leo h Palestine nae akipigwa n ameshtukizwa?

Acheni kujifariji bhana πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…