Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

πŸ˜‚
Kwahy mmepanga kuifuta baada ya mika mingapi mkuu
 
Mmmh, kweli CCM imefanikiwa kukaa madarakani kwa kutupumbaza kwa elimu hafifu na isiyokidhi vigezo kabisaaa. Yani watu wanaropokwa bila kujua wanachokiongelea bila ya kujishtukia! Ajabu!

Hivi mnajua kuwa Iran imekuwa ikiwekewa vikwazo vizito kama Russia n north Korea kwa zaidi ya miaka 40 hadi sasa?

Hivi mnajua Iran ni Kati ya nchi zilizkendekea zaidi duniani? Hivi najua shilingi moja ya tz= 16.1942 Iran rial (shilingi ya Iran) Hii inamaanisha kuwa Iran imedhoofishwa sana bila mafanikio maana kila uchao wanazidi kupiga hatua kimaedeleo.

Muhimu zaidi ya yotee, je mnajua kwann Iran amekuwa tishio licha ya juhudi ya kumdhoofisha kwa miaka na mikaka? Jibu ni, Iran analihudumia soko la mafuta dunia nzima kwa kufidia matakwa ya mafuta ya dunia nzima kwa wastan wa %10. Huu ni utajiri uliokithiri. Hivyo kuiangusha Iran ni almost impossible Kutokana na utajiri alionao tofauti na nchi nyingi za kiarabu zilizowahi kuangushwa n USA.

Whisho, mnajua USA, Russia, Iran mataifa yote yapo katika orodha ya mataifa 5 yanayoongoza kwa uzalishaji mkubwa zaidi duniani wa mafuta?? Hivi mnajua 1 barrel of oil(kipimo cha mafuta) Marekani ni 11$ gharama zaidi ya bei ya Russia na Iran? Hili linamaanisha, kupotea kwa amani na kuongezwa vikwazo kwa Russia n Iran inamaanisha kuwa USA ndio ataenda kunufaika zaidi maana dunia itazidi kuyatemea mafuta yake ambayo ni ghali zaidi duniani.

Yangu Macho tu. Nadhan ndani ya wiki moja tu bei ya mafuta itafumuka hadi shidaaaah. Ila kutumbuke tu kuwa Iran sio mnyonge wala maskini, so kuna shambulizi moja la kutisha linakuja. Kwann, %30-60 ya matumizi ya mapato ya taifa ya Iran hupelekwa kwenye matumizi ya kijeshi. Nikimaanisha, iran imekuwa ikijiandaa kwa vita kwa miaka n mikaka. Kwa hivyo, msuli wao wa kivita ni mkubwa si haba. Siku njema kwa comrades n working class.
 
Iran wanasema Kuna vifo vya raia vimetokea na wanasema palipolengwa ni makazi ya raia sio nuclear facilities??
Sasa najiuliza hawa Israel intelligence yao ikoje hadi wanakosea lengo na kuua raia?
Raia wengi makumi wa Iran wameuawa.

Halafu Kuna wapuuzi wanasema kuwa Iran ilivyoshambulia ilikosa target.
Tuwakumbushe kuwa Iran iliposhambulia mara ya mwisho iliharibu Nevatim airbase.
Ilivunja makazi 100+ ya waisraeli, vifo vilifichwa vya waisrael.
Anaebisha tumletee ushahidi hapa.

Sasa naona Israel inaenda kubutuliwa kuliko mwanzo.
Maana Iran imesema sasa hivi itatumia Heavy guided ballistic missiles.
Tena zile zenye 2 tonnes war head,sio yale makombora ya 500 kg aliyotumia mwanzo ambayo mepesi.
 
Machuma chuma yameshindwa kutungua hata ndege Moja watu Wana jipigia tu
 

Attachments

  • 20250613_075935.png
    357.1 KB · Views: 32
  • 20250613_075909.jpg
    125.7 KB · Views: 23
  • 20250613_075902.png
    474.1 KB · Views: 29
Wanadai wamepiga Nuclear facilities na viwanda vya Missiles na wamemuwa chief of staff haya tusubiri basi Israel kisha shinda vita kama maneno yao kweli hahaha. Mimi nacho ona ni majumba tu ya Tehran yanawaka moto sijaona kwenye Nuclear facilities.
Wamepiga majumba kaka.
Na Iran Wala hajaficha amekiri kuwa makumi ya raia wamekufa na huwenda wamekufa zaidi ya makumi ya raia.
 

View: https://x.com/IRIran_Military/status/1933383080305131690?t=HJ-Q76IYXC4Nv7lQFybmzg&s=19
Naona makamanda wapya wanateuliwa..kunani hukoo??
 

Attachments

  • Screenshot_2025-06-13-07-47-10-66.jpg
    196.4 KB · Views: 24
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…