Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Nenda shule Iran sio warabu afu kuanza kurusha mawe sio ushindi, ushindi ni matokeo yanakuja mwishoni.
Yani mtu kakatwa shingo we unasema kaamua kupumzisha kichwa chake baadae atakirudisha tena!
 
Jamani tunataka kwenda kusupport ndugu zetu wa Iran, tunaendaje?
 
Kama Iran ingekua na ukaribu na Israel tegemea Israel ingeteketezwa.
Maana Iran angeingia kwa miguu ndani ya Israel usingeamini kitakachotokea.
Kumbuka unaizungumzia Iran ilopigana vita miaka 8 pasi na kupumzika.
 
Hizi drones zitaishia kuungua hewani
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Wafanye kwanza Promise 3 ndio tutawaelewa.

Vinginevyo ni uzushi tu.

Mbona Israel wakituambia wanafanya.

Na wamesema hii Operation Rising Lion inaendelea mpaka baba lao lililojificha nyuma ya maproxy likimbie.
 
Kama Iran ingekua na ukaribu na Israel tegemea Israel ingeteketezwa.
Maana Iran angeingia kwa miguu ndani ya Israel usingeamini kitakachotokea.
Kumbuka unaizungumzia Iran ilopigana vita miaka 8 pasi na kupumzika.
Watupatie kwanza Promise 3
 
Israel hawezi,hilo shambulio limeratibiwa na USA.
Hata Lile shambulio la ndege 100 liliratibiwa na USA.
Israel hana uwezo wa kupanga shambulio peke yake yeye kama yeye dhidi ya Iran.
Halafu eti lengo ni kuwarudisha Iran kwenye meza ya mazungumzo ya Nyuklia, sidhani kama Iran watakubali mazungumzo ya aina yoyote tena baada ya hili.
 
Wafanye kwanza Promise 3 ndio tutawaelewa.

Vinginevyo ni uzushi tu.

Mbona Israel wakituambia wanafanya.

Na wamesema hii Operation Rising Lion inaendelea mpaka baba lao lililojificha nyuma ya maproxy likimbie.
Promise 3 ilikwama baada ya USA kuwaahidi Iran kuwa itawaondole vikwazo na wataongea kuhusu nuclear deal.
Sasa mmeua raia wa Iran.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Oya subirini.
Iran imesema itatumia kombora jipya la Tani 2 ili kushambulia sio makombora mepesi tena.
Na amesema kabisa anajua aliyeratibu mashambulizi ni USA sio Israel.
Kambi za USA hazipo salama tena hapo mashariki ya kati.
 
Radio frequency based drones are no longer reliable on front line... there's a need of advanced drone types which should be immune to air defense systems. The current existing advanced drones are using optical fibre strings that limit their performance in the Field.
===
Alitakiwa atumie orenshik! Kama yupo serious kihivyo
 
Yn Iran amepigwa shambulizi la kushtukiza πŸ˜‚ nae Israel akipigwa tutakuja kusema ameshtukizwa

Wabongo bhana kwahy leo h Palestine nae akipigwa n ameshtukizwa?

Acheni kujifariji bhana πŸ˜‚
Huyo anayesingizia kushtukizwa ni mpumbavu achana nae! Ilishatangazwa Israel inajiandaa kuishambulia Iran hadi humu jf thread ziliazishwa juzi USA imefanya evacuation kwenye base zake za Iraq. Halafu anakuja mtu anakuambia wameshtukizwa.
 
Israel hawezi,hilo shambulio limeratibiwa na USA.
Hata Lile shambulio la ndege 100 liliratibiwa na USA.
Israel hana uwezo wa kupanga shambulio peke yake yeye kama yeye dhidi ya Iran.
Wakanisa wanajua hayo lakini wanajidai tu kumsifia simba kwenye picture. We huwajui wakristo kwa uwongo we waitikie tu Israel ndio kashambulia hahaha

Sisi tunasubiri zile Missiles moja ina uzito wa tons zikachafue Dimona Nuclear Station
 
Wewe unachekesha kweli. Hao migambo wa Houth kila uchwao wanadondosha mabomu Ben Gurion ni Iran pale?
Mkuu, Airport sio Israel, ni international land.
 
Halafu eti lengo ni kuwarudisha Iran kwenye meza ya mazungumzo ya Nyuklia, sidhani kama Iran watakubali mazungumzo ya aina yoyote tena baada ya hili.
Hawawezi kabisa kurudi mezani.
Kitakachofuata hapo ni machafuko tu.
Israel iliposhambulia Iran waliwaahidi Iran kuwaondolea vikwazo na kuwalegezea kamba kwenye nuclear talks,mara hawajatimiza ahadi.
Mwaka huu wakawatishia kwamba wasipo saini makubaliano ya nuclear watashambulia kijeshi,hii kauli alitamka Trump.
Hapo ndio ujue aliyeratibu mashambulizi ni USA sio Israel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…