Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Drone 100 Zina elekea Israel zita tumia masaa kadhaa kabla hazija fika Israel zitashushwa zote kwenye Anga la Jordan
#RisingLion piga ayo magaidi
Hata hapo Syria pia wamejipanga
 
Sikia Iran kashoonesha uzembe round ya kwanza, anapigwa huku Russia na China wanatulia kuchake game, baada ya Vita China anaomba deal la kurekebisha vinu vya mafuta na kupitisha mizigo yake Bandari za Israel game over
 
Hao viongozi wa kijeshi waliouawa nao walikuwa raia?
 
Wanakwambia lengo la Israel kushambuliwa Asubuhi na mchana ni hili vinu vyote viwake huku kila mtu anaona, mpaka jioni mahandaki kadhaa yatakuwa yameshafukuliwa
 
TUTAKUSHIKA UONGO SANA LEO. KHAYATOLLAH ANAKIRI WEWE ULIYEPO KUNDU UCHI UNALETA BLAH BLAH ZAKO ZA KUAMBIWA MSIKITINI NA SHEIKH KITINKU AMBAYE HAJUI KIINGEREZA WALA KIARABU.
Watalaam wa kivita wa Tanzania banah
Ukiambiwa uweke ushahidi ayatullah akikiri hivo utaweka?
 
Allah awagonganishe hawa madhalimu na awatoe Waislam katikati yao kwa salama.


Allah azirudishe Iran na occupied Palestine katika mikono ya Waislam.

Allah azinusuru nchi za Kiislam kutokana na vitimbi vya mashia, mazayuni na wasaidizi wao (mazayuni).

Akina khamenei hawawezi hata kujilinda wenyewe halafu wanasema watawalinda wapalestina na kuwanusuru. Yaani watu wanaowakufurisha Maswahaba na Wake za Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) na kuwatukana matusi makubwa makubwa eti ndio waikomboe Al Quds na Masjid Al Aqswa (ambazo zilifunguliwa na kukombolewa na Maswahaba ambao hao mashia wanawatukana).

Allah awaridhie Maswahaba wote wa Mtume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…