Unadhani kwa nini Israel anaungwa mkono na Nchi nyingi za kiarabu kuliko Iran?Huwa mada ya Israel VS Iran ina ushabiki mwingi.
Matukio yaliyopita yalionyesha strenght ya Iran ni wapi na walitumia turufu yao ya proxies. Na Israel wakati inashambulia Hamas ikalazimisha kuichokoza Hezbollah, na wakati inashambulia Hezbollah ikalazimisha kuichokoza Houthi. Baada ya hiyo buffer ya Iran basi wamebaki Israel na Iran kuwa front wenyewe.
Kwenye head to head Israel vs Iran mshindi naamini lazima awe Israel. Sasa hivi hatutabishana, tutaona matokeo. Tulianza na wale waliosema Iran ana air defense systems nzuri, na ana Israel hawezi shambulia Iran hana airspace ya kupita.
Na ndo Netanyahu anataka hilo 🔥Nipo peponi hapa na bikra wangu 72 napeleka moto
Iran ndiye anasababisha ukosefu wa amani hapo Mashariki ya Kati?Iran hajawahi kuwa na faida yeyote chini ya jua. Bora ipigwe kabsa ichakae ili hapo Mashariki ya kati patulie
kabisa wala halina ubishiIran ni dhaifu sana kijeshi na kijasusi ukilinganisha na Israel ..
Huo ndio ukweli.
T14 Armata dudus Mag3
Anayekwenda kulia kilio cha kusaga meno ni Israel...
Subiri muone majibu ya Iran, hamtoamini..
US wenyewe wanahofia hilo..
View attachment 3366371
Israel amefanya hesabu zake mapema, Na Irani atapotezwa mapemaAnayekwenda kulia kilio cha kusaga meno ni Israel...
Subiri muone majibu ya Iran, hamtoamini..
US wenyewe wanahofia hilo..
View attachment 3366371
Kidon kama kawa akipewa taarifa ni kushusha dude tu
Endelea kusubiri mawio magharibi.Anakwenda kufinyangwa mtu mchana kweupe tuupe muda heshima yake.
Irani ndiyo mfadhili mkuu wa Hamas, wahouthi, na wa lile kundi la Lebanon kwa hiyo amekuwa tishio la muda mrefu kwa Israel na marekaniHivi Waisrael wana nini? Kila siku wako vitani! Raia wao wana wakati mgumu sana, kila wakati ni milio na tahadhari.
Iran anawaunga mkono Houthi, ambao wanapingwa na Saudi Arabia.Unadhani kwa nini Israel anaungwa mkono na Nchi nyingi za kiarabu kuliko Iran?
Si maandiko kwenye kile kitabu cha MuddyIran ndiye anasababisha ukosefu wa amani hapo Mashariki ya Kati?
Je unafaham chanzo cha mgogoro wa USA/Israel vs Iran?
Mimi naumia sana kwanini tushambuliwe..why why whyHuwa mada ya Israel VS Iran ina ushabiki mwingi.
Matukio yaliyopita yalionyesha strenght ya Iran ni wapi na walitumia turufu yao ya proxies. Na Israel wakati inashambulia Hamas ikalazimisha kuichokoza Hezbollah, na wakati inashambulia Hezbollah ikalazimisha kuichokoza Houthi. Baada ya hiyo buffer ya Iran basi wamebaki Israel na Iran kuwa front wenyewe.
Kwenye head to head Israel vs Iran mshindi naamini lazima awe Israel. Sasa hivi hatutabishana, tutaona matokeo. Tulianza na wale waliosema Iran ana air defense systems nzuri, na ana Israel hawezi shambulia Iran hana airspace ya kupita.
Mnashambuliwa tenaMi
Mimi naumia sana kwanini tushambuliwe..why why why
Why Israel atupige mapemaMnashambuliwa tena
Tulijua USA yupo hata warabu wapo sa sikia aibu ingine Saud Arabia anangusha pia drones za Iran sio Jordan tu. Ni magazeti ya Israel ndio yanayo ongea.🏴☠️🇺🇸 | CNN acknowledges the Zionist regime's use of American fighter jets in its aggression against Iran
🟡 @NEWWORLDORDYR