Lazima tuaniani, Taarifa ingekua imetolewa na kamanda wa Kanda maalum ya kinondoni kamanda Murilo tusingeaminiNimecheka wao ndio wamekianzisha afu wana wasi wasi kweli na kipigo cha Iran. Wanajidai eti wamewauwa viongozi wa Iran wengi kweli hivi unamimini hayo hahaha
Ni kiongozi wao chizi kwa sasa anatumia vita kuwaridhisha aliojiunga nao na Chama chake wana Mlengo unaotaka yanayotokea..., all in all ni mpuuzi anachofanya leo kitalicost taifa na dunia kwa kesho na keshokutwa kama vile politics za USA na UK zilivyopelekea hii IRAN ya leo ya kina Ayatollah wenye nguvu katika jamii..Hivi Waisrael wana nini? Kila siku wako vitani! Raia wao wana wakati mgumu sana, kila wakati ni milio na tahadhari.
Hakuna namnaKweli hili ni taifa teule la Mungu
Hivi unajua drones zote 100 za Iran zimepopolewa? Bado tu unajitoa ufahamu kwa kusema Israel haina uwezo!! Inabidi ukąsi we akili!!Hii ipo wazi anayefanya haya ni US, hata huko juu nimesema..
Lakini ni ukweli kwamba US inahofia majibu ya Iran.. Israel haina teknolojia sasa ya kuzuia mashambulizi ya mabalistiki ya Iran..
Kwani hizo sababu ni uongoIsrael haijawahi anzisha vita. Ilikuwa inawatamani sana ila sababu inajua inachukiwa na kutafutiwa visa basi huwa inawarubuni wajinga washambulie wajione wanaweza, kisha inakuja kujifanya inajilinda.
Kwani pagers zilizowalipukia Hezbollah zilipandikizwa wakati wameanza mashambulizi? Walizituma muda mrefu wakasubiri in case lolote litatokea wazitumie. Hiyo Iran waliitafuta muda ila namna ya kuanzisha walishindwa international community ingewaita wachokozi. Sasa wana visingizio na sababu, Iran anasaidia maadui wake.
Wanapiga tena Chief?Haya sasa Natanz Nuclear Facility inapigwa tena muda huu, si mlijifanya mnaificha under ground, sasa inapigwa hadi iteme moshi
Yes wanapiga now inasemekana kwa sasa wanapiga nchi yote kila military base.Wanapiga tena Chief?
Hii ipo wazi anayefanya haya ni US, hata huko juu nimesema..
Lakini ni ukweli kwamba US inahofia majibu ya Iran.. Israel haina teknolojia sasa ya kuzuia mashambulizi ya mabalistiki ya Iran..
Kama Hamas, Hezbollar na Houthis walivyotumika.Ila Israel anatumika vibaya sana na magaribi.
Usimtusi mwenzako🤣🤣😂🤣
Kwahiyo USA inahofia majibu ya Iran, ila Israel anaetumwa na USA hahofii majibu ya Irani
Mkuu, unawaza kwa kutumia nini!!
Kanisa la Ufufuo na uzimaNaona mwisho wa dunia umekaribia tunapelekwa kwenye kyama cha dunia sasa,Namuona Yesu yulee anarudi kulichukua kanisa lake.