Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Watalipiza na nini wakati kila kitu kimeharibiwa? Hawana ulinzi wowote labda Russia apeleke muda huu, ila je Russia anaitoa wapi maana anaijitaji zaidi
Iran haina ulinzi wowote eti ? Haya bwana kwanini isifanyike ground invasion ku clear kila kitu
 
Kosa alilofanya iran kusubiri israel ianze mashambulizi.
 
Kwa wale wakristo biblia inasema yesu haji mpaka israel itaposhambuliwa kisawasawa.

Kwaio naona bado tunasafari...
 
🇮🇱🇮🇷The Israeli army claims that dozens of launchers and storage facilities for surface-to-surface missiles have been destroyed in strikes on Iran.
 
🇮🇱🇷🇺❗️Netanyahu hopes to discuss Israeli strikes on Iran with Putin
 
🇮🇷🇮🇱⚡️Chemical and radioactive contamination detected at Natanz facility (c) Behrouz Kamalvandi, Assistant Director General of Iran's Atomic Energy Agency
 
Kuhusu Hizbollah tulishaongea usilete mambo ambayo yalifungwa mjadala.
Hao waasi watokee wapi?
Nani kakwambia Iran kuna waasi??
Subiri majibu ya Iran kijana.
🤣🤣😂
Subiri muda muafaka ukifika utawaona waasi. Si unajitoa ufahamu. Wale waliopinduliwa unadhani wamekufa?

Just wait and see
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…