MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Sema round ya kwanza Iran wamekula kichapo sana, alafu tofauti ya Israel na Iran, Israel wao huwa hawachezei Silaha zao wako seriousMossad akishirikiana na IDF kwa siri walijenga kituo cha Drones ndani ya Iran karibu na Tehran kikiwa na kazi ya kutungua na kuharibu mifumo na makombora yote yatakayorushwa kutoka Iran kwenda Israel, hivyo makombora kutoka Iran kwenda Israel yalidunguliwa yote kuanzia ndani ya Iran kwenyewe
Ukraine alikuwa akitangaza ana ua mageneral wa Russia kila siku mwanzo wa vita lakini mpaka leo Russia bado yupo ndani ya nchi ya Ukraine.
Ubaya wa vita upo tofauti na unavyo fikiriwa na wengi hum
Haku wakuu wa jeshi la Russia wali uliwa na Ukraine. Ila majenerali wengi waliuawa no wonder Russia so far mwaka wa 3 kashindwa kuipiga Ukraine. Case ya Iran is different usiku1 wakuu wa4 wa majeshi wanauawa!!! Udhaifu mkubwa sana kimkakati
Wewe unahisi yameanzia wapi?Mashambulizi ya Israel kwa Iran leo yameanzia ndani ama nje ya Iran ?
Unasubiri nini Mkuu....Itwachukua muda....Unajua Idadi ya Makamanda wakubwa walio uawa?Tusubiri na majibu ya Iran.
Tusubiri na majibu ya Iran.
Si hisiWewe unahisi yameanzia wapi?
Yaleyale ya Mohammed Al Sahaf wa Iraq ya Saddam. Wewe ni miongoni mwa wale watakaofutika kwenye hili jukwaa ndani ya wiki chache zijazo mainly because you're supporting a losing horse.Bado sana Israel kumshinda Iran
Tusubiri na majibu ya Iran.
Tusubiri na majibu ya Iran.
Hawa vichaa wa kanisani we wache wafurahi tu wanadhani vita ni siku moja, afu Israel mwenyewe anasema hio kazi kaifanya mda wa miaka karibu 10 sio wanavyo dhani hawa wajinga wa kanisani. Afu yeye ndio alianza miaka anasema ataishambulia hashambuli Iran akajua ni maneno tu. Kosa slilo fanya Iran kuingia mazungumzo na US akamini hakuna kitakacho tokea mpaa pale mazungumzo yakwame.Ukraine alikuwa akitangaza ana ua mageneral wa Russia kila siku mwanzo wa vita lakini mpaka leo Russia bado yupo ndani ya nchi ya Ukraine.
Ubaya wa vita upo tofauti na unavyo fikiriwa na wengi humu
Tusubiri na majibu ya Iran.
Daaah, imekuwa hivyo tena.Hawa vichaa wa kanisani we wache wafurahi tu wanadhani vita ni siku moja, afu Israel mwenyewe anasema hio kazi kaifanya mda wa miaka karibu 10 sio wanavyo dhani hawa wajinga wa kanisani. Afu yeye ndio alianza miaka anasema ataishambulia hashambuli Iran akajua ni maneno tu. Kosa slilo fanya Iran kuingia mazungumzo na US akamini hakuna kitakacho tokea mpaa pale mazungumzo yakwame.
Kuna upande mwingine lazima watu wafahamu US na nchi za kiarabu wamo kwenye mashambulizi hayo dalili Jordan na Saud Arabia wameangusha drones za Iran.
Any wa Iran atalipa tu time itaongea.
Tusubiri na majibu ya Iran.
Russia ni dude lingine basi..punguza mahaba.....Echolima1 tulishawaambia kobaaz hapa kuwa Iran atapokea mkong'oto wa mbwa mwizi Kobaaz wakabisha sana. kiko wapi sasa! hakuna taifa duniani litakaloweza kuimaliza Israel kamwe halipo na bado huyu mpuuzi russia naye atajaa kwenye mfumo gogu wa magogu shetani ibilisi
Hawa vichaa wa kanisani we wache wafurahi tu wanadhani vita ni siku moja, afu Israel mwenyewe anasema hio kazi kaifanya mda wa miaka karibu 10 sio wanavyo dhani hawa wajinga wa kanisani. Afu yeye ndio alianza miaka anasema ataishambulia hashambuli Iran akajua ni maneno tu. Kosa slilo fanya Iran kuingia mazungumzo na US akamini hakuna kitakacho tokea mpaa pale mazungumzo yakwame.