Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Netanyahu au sa mbona kakimbia kakuwacha we mjinga leo vibaraza ulivyo kuwa ukilalia pale Tela Aviv vimevunjwa sijui utalala wapi. Au Sarah kakuachia yule mbwa wao na wewe uchunge jumba laoSafari hii Mtanyooka tu!!
Watabakwa tu kama drones zao ziluvyo bakwa leoNa hii ndio ngumi iliyofichwa na Israel na US.
Kama mossad wametapakaa Iran nzima wanaweza kumalizana na viongozi wote wenye ushawishi na kushawsishi mapinduzi ya Serikali Iran ikabaki bila meno na Israel akabaki KUWA baba wa Middle east.
Wenyewe wanaita "Right to Self Defense "Wameamua kuilazimisha vita kuu 3 ya Dunia kwa nguvu zote.
Kwa akili za kufanya TAQIYYAH hizo mnazo lakini ukweli utabaki kuwa Israel ni Kidume huko Mashariki ya kati mpaka huko Uajemi Israel inatamba!!!!Netanyahu au sa mbona kakimbia kakuwacha we mjinga leo vibaraza ulivyo kuwa ukilalia pale Tela Aviv vimevunjwa sijui utalala wapi. Au Sarah kakuachia yule mbwa wao na wewe uchunge jumba lao
Umeshatoka swallat alfajiri shehe wangu?Netanyahu au sa mbona kakimbia kakuwacha we mjinga leo vibaraza ulivyo kuwa ukilalia pale Tela Aviv vimevunjwa sijui utalala wapi. Au Sarah kakuachia yule mbwa wao na wewe uchunge jumba lao
Zo Sheria ni kwa nchi masikini tuInternational law generally prohibits the intentional killing of heads of state at their official residences unless:
They are taking direct part in hostilities, and
The attack meets the tests of military necessity, distinction, and proportionality.
Otherwise, such an act may amount to an unlawful assassination, violation of state sovereignty, and potentially a war crime.
Mfano👎👎
✅ 1. Principle of Distinction (International Humanitarian Law - IHL)
IHL, particularly the Geneva Conventions and their Additional Protocols, requires parties to an armed conflict to distinguish between combatants and civilians.
Heads of state, such as presidents or prime ministers, are presumed civilians unless they take a direct part in hostilities (e.g., commanding military operations).
State Houses and official residences are civilian objects unless they are used for military purposes.
🔹 So: If a head of state is not taking part in hostilities and the State House is not a military target, attacking them is unlawful.
Uchambuzi wa kitalaamu sana, wengi hawajuiKuna udhaifu mkubwa sana kwenye mfumo wa jeshi la Iran na mfumo wote wa ulinzi wa Iran.
Intelenjesia yao pia inaonekana Ina udhaifu mkubwa sana na inamoles wengi sana ndani yake ambao mfumo umeshindwa kabisa kuwatambua.
Ndani ya jeshi la Iran na taasisi yake ya ujasusi pamoja nakuwepo mapandikizi ya moja kwa moja ya Israel lakini pia inaonekana kuna usaliti mkubwa sana kutoka kwa waIran wenyewe.
Kwa hali ilivyo, Iran mwenyewe ndio anajua nini cha kufanya dhidi ya Israeli kupitia tathmini ya wale ambao bado ni wazalendo wa Iran na namna anavyoijua mwenyewe mifumo yake.
Israel na iran wasipo behave, tutatuma jeshi la tz likawatie adabuTupe muendelezo zimefikia wapi hizo drone hapo israel
Mfadhili wao anachakaa, keshapigwa surprise majenerali kibao wapo aheraIsrael anawaogopa sana Hezbollah bila cease fire Israel angechakaa sana😀😀😀
Sijalala walahi maana usiku ukinipa raha sana kwa Iran .Hii ni taatifa moja kwa moja toka Tehran unaporipotia mkuu. Hivi umepata nafasi ya kulala hata nusu saa shehe wangu?
Mkapokee maiti maana Kuna ripoti kuwa Kuna raia wamenasa kwenye jengo.
Shambulizi la Israel ni Ugaid wawazi Israel amuezi muirani kupiga Vita yoyote iwe angani iwe majini iwe Ardhin!!!Taarifa waliyotoa Israel ni kuwa kwa zaidi ya mwaka Mossad na makomandoo wake waliingia Iran, wakaanzisha kambi za drone na kusuka mipango ya kulipua sehemu kubwa ya hizi Air defence, kwa hiyo Jana operation ilifanyika ndani na nje ya Iran kuharibu air defences,
Kiongozi gani anawasha Moto wa Vita kisha una kimbia nchi yako ww Kiongozi au Tapeli wa Buza !!!Hata wasipompa tunampa za moyoni mwetu