Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,009
- 22,509
Asante kwa kujinasibisha na islamophobe yako, endelea na ubaguzi wako na kuona majina ya mrengo fulani hayana akili,Baba Mwajuma, jua hili, wenye majina kama Mwajuma hakuna akili hata kidogo like Iran ilivyo, hifadhi huu ujumbe wangu, Utawala wa Ayatollaah wa Iran inaenda kuanguka na kutokomezwa na itakuwa kama Iraq, Libya, Syria, Lebanon, Afghanistan, Kuwait, Yemen, etc etc na kama huamini, subiria kidogo kama mwezi hivi alafu utakumbuka, ogopa sana mtu aliyekuzidi kila kitu hasa akili, Myahudi tokea enzi na enzi anashinda vita vyake na kama hujui ndani ya Tehran wako Mossad kibao wanapigana ndani kwa ndani bila kuonekana hasa usiku, na wanatumia hadi laser guns kibao na wanaua viongozi wa Iran ndani ya Tehran na sites za Jeshi la IRGC, na hawawakamati hata mmoja na operations hizo zinafanywa usiku kwa usiku na baada ya mwezi mmoja utasema mwenyewe.
USA pia yuko hapo kum support Israel ila bado hajaanza kumpiga Iran, na US akianza tu, basi Iran imeisha
Ewaaa!Kilichobaki sasa Iran ni kupelekeka mashambulizi mazito sana usiku wa leo , kesho na siku kadhaa mbele ili kuifanya Israel isiwe mahali salama tena, ili raia wa Israel waanze kuikimbia nchi..
Hii ndio lugha pekee Israel itaelewa iache kuishambulia Iran, Iran pia imalize makazi wanapoishi viongozi wa jeshi la Israel, wapige haswa...
Hakuna kitu kama hicho Mwezi Oct 2024 iran walipigwa Mifumo yao ya ulinzi wa anga iliangamizwa lakini wao walikanusha leo hii tumeona ndege-vita za Israel zinavyojipigia huko Iran!!! Kuna vitu vya kuficha na kuna vitu havifichiki!!! Amekufa kamanda mkuu wa jeshi hapo unafichaje?Ninachowapendea wa Iran huwa hawafichi taarifa.
Kwa sababu uwezo wa kuficha wanao lakini bado wanaziweka wazi.
They target homes.Magaidi lazima yaangamizwe
Asante kwa kujinasibisha na islamophobe yako, endelea na ubaguzi wako na kuona majina ya mrengo fulani hayana akili,
Pia Iran ipo hapo hata kabla Judaism, Uisilamu na Ukristo haujaenea, they are that rich in history, washapigana na super power kibao kuanzia enzi za Roma hadi leo.
Mwaka 1970 Iran kabla ya mapinduzi walikua si lolote si chochote, ila miaka 50 tu baadae ni tishio kwa Empire za Magharibi.
Nikukumbushe tu Israel amevamia Iran because they are scared, wanaogopa nyuklia za Iran enrichment imeshafika 60% ambayo ni nzuri kuruhusu kutengeneza silaha za Nyuklia, na wakishakua na Nyuklia watakuwa hawapigiki tena.
Hao mossad wapo toka miaka ya 70 hadi leo why wameshindwa kote huko waweze leo? From nchi Iliopitwa hadi na Tanzania mpaka kuwa nchi ya 15 kisayansi duniani?
Hii ni lugha moja tu unayoizungumza. Baadaye utanena zaidi ya lugha hii.Hakuna kitu kama hicho Mwezi Oct 2024 iran walipigwa Mifumo yao ya ulinzi wa anga iliangamizwa lakini wao walikanusha leo hii tumeona ndege-vita za Israel zinavyojipigia huko Iran!!! Kuna vitu vya kuficha na kuna vitu havifichiki!!! Amekufa kamanda mkuu wa jeshi hapo unafichaje?
Hizo ni ndoto za Mwendawazimu kabisa !!!Kilichobaki sasa Iran ni kupelekeka mashambulizi mazito sana usiku wa leo , kesho na siku kadhaa mbele ili kuifanya Israel isiwe mahali salama tena, ili raia wa Israel waanze kuikimbia nchi..
Hii ndio lugha pekee Israel itaelewa iache kuishambulia Iran, Iran pia imalize makazi wanapoishi viongozi wa jeshi la Israel, wapige haswa...
Preparing the ground for an American attack on Iran?
US Ambassador to Israel Mike Huckabee recently tweeted:
700,000 Americans live in Israel.
Iran is not only attacking Israel but also the Americans who live here.View attachment 3367996
KWa kufanya hivyo Netanyahu ataondoka madarakani, Israel haina uwezo wa ku withstand hayo mashambulizi.. Israel imeanzisha via ambayo haiwezi kushinda..Ewaaa!
Hapa sasa tunaongea lugha moja.
Ngoja tuone, Iran itafanyaje, au watakuwa ndiyo wamemaliza?
Shirika la Habari la Iran Mehr linathibitisha:
Kuna ripoti za shambulio kwenye mitambo ya kusafisha mafuta ya Tabriz kaskazini mwa Iran.
ANga la ISrael lipo wazi, jana Iran wametuma waves tofauti ya kwanza ilikuwa kuchunguza air defenses zilipo.. zimetandikwa mbaya mbovu..Hizo ni ndoto za Mwendawazimu kabisa !!!
Unavyoona Iran itaendelea na mashambulizi?KWa kufanya hivyo Netanyahu ataondoka madarakani, Israel haina uwezo wa ku withstand hayo mashambulizi.. Israel imeanzisha via ambayo haiwezi kushinda..
Hii ndio picha kobazi wanahangaika nayo wanakuambua tel aviv imekuwa majivu
Naona unateseka sana angalia hapo chini uone mifumo ya ulinzi inavyofanya kazi!!!ANga la ISrael lipo wazi, jana Iran wametuma waves tofauti ya kwanza ilikuwa kuchunguza air defenses zilipo.. zimetandikwa mbaya mbovu..
Kwani nani kakataa jana hawaja piga? But is that real important ukiangalia mambo kwa big picture?Wayahudi wako Tehran muda wanapiga ndani kwa ndani
View: https://youtu.be/ll-7ZRrLDf4?si=ABgtmn2MaoKH5Wve