Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Naona unateseka sana angalia hapo chini uone mifumo ya ulinzi inavyofanya kazi!!!
Unaonesha video za Drone? Onesha video za makombora,

Drone zinatangulizwa mapema na zilikuja mchana (kama video yako inavyoonesha kweupe)

Makombora yenyewe yakaja usiku, kombora mpaka linapiga ndio unaona interceptor inatembea inapiga hewa, Israel hana mfumo wa kuzuia hizo missile. Ushahidi wa Video zipo kibao

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Unavyoona Iran itaendelea na mashambulizi?

Kwa wakati huu sijapata muda haswa wa kuangalia taarifa za habari.
Kwanza kabisa ni ukweli kwamba toka kuanzishwa kwa taifa la Israel hawajawahi kushambuliwa kama ilivyotokea jana..

Makombora yalikuwa yanatetemesha jiji zima la Tel Aviv..

Israel hawakuwahi ku experience aina ile ya mashambulizi katika ardhi... nadhani wananchi hawajapenda kilichotokea na wamepata picha halisi wanaoishi Gaza wanakumbana na kitu gani... wanaelewa pia iron dome ni upuuzi na haitowalinda licha ya kutumia mabilioni ya pesa kiuendeshaji, hivyo kifupi hawapo salama hata kwenye shelter zao...

Nionacho sasa Iran inaweza kufanya mashambulizi mazito ya kushtukiza ndani ya Israel muda wowote... kwa sababu zifuatazo.
1-Iran sasa haitofanya kosa la kusubiri Israel ianze kushambulia..
2-Iran wameuawa high ranking officers wengi hivyo wanaweza wakafanya kulipiza kwa Israel..
3-Kauli ya viongozi wa Iran akiwemo rais na Ayatollah kusema wataipiga Tel Aviv iwe flat, naona kabisa jana ilikuwa ni message tu..
 
Usipate shida kiongozi video hiyo hapo!! Safari hii Israel hana mchezo!!!
 
Ndio walivyotegwa jana, UNAFKIRI why ndege 3 zimelipuliwa? Baada ya kuingia kichwa kichwa.
 
Attack on Iranian nuclear sites |

The Air Force is now attacking the nuclear facility in Fordow.

In addition to the attacks on Fordow, the Air Force is now attacking a series of targets across Iran:

  • Abadan (Southwest Iran)
  • Kermanshah (southwest of Tehran)
  • Khorramabad (Western Iran)
  • Urmia (northwestern Iran)
 
KWa kufanya hivyo Netanyahu ataondoka madarakani, Israel haina uwezo wa ku withstand hayo mashambulizi.. Israel imeanzisha via ambayo haiwezi kushinda..
Unashindaje vita kwa kutegemea ballistic missile peke yake?huna Air force huna Navy,sasa huyo adui yako utampunguza vipi kasi ya kukushambulia matokeo yake unarusha makombora 300 but yanayolenga shabaha hayazidi kumi tena unapiga makazi ya watu badala ya miundombinu ya jeshi ya adui yako.
 
Hizo ni porojo tuu,Iran haiwezi kuipa Israel pigo kwa kutegemea ballistic missile, nenda kamuulize Russia
 
Ndo maana Israel anaona bora apeleke ndege ili awe na uhakika
 
Nimeiona habari nyenginge Isreal wana target oil refinery Tabriz huko Iran.

Hii ngoma haipoi!

Nafikiri Iran watafanya kwa namna hiyo uliyoangazia Mkuu.
 
Msemaji wa IDF:

IDF iliua wanasayansi tisa wakuu na wataalam katika mradi wa nyuklia wa Iran

Katika mashambulizi ya jeshi la anga mwanzoni mwa Operesheni "Am Kalavi," wanasayansi tisa wakuu na wataalam waliuliwa, ambao walikuwa wakiendeleza mpango wa serikali ya Irani kupata silaha za nyuklia.

Shambulio hilo liliwezekana kutokana na ujasusi sahihi uliokusanywa na Tawi la Ujasusi.

Wanasayansi na wataalam wote ambao waliuliwa walikuwa vituo kuu vya maarifa katika mradi wa nyuklia wa Irani, na walikuwa na uzoefu wa miongo kadhaa katika utengenezaji wa silaha za nyuklia.

Miongoni mwa wanasayansi wakuu katika mradi wa nyuklia wa Irani ambao waliondolewa:

- Faridun Abbasi - Mtaalamu wa Uhandisi wa Nyuklia

- ⁠Mohammad Mehdi Tehranshi - Mtaalamu wa Fizikia

- Akbar Matali Zada - Mtaalamu wa Uhandisi wa Kemikali

- ⁠Saeed Barji - Mtaalamu wa Uhandisi wa Nyenzo

- ⁠Amir Hassan Fakhi - Mtaalamu wa Fizikia

- ⁠Abdelhamid Minusher - Mtaalamu wa Fizikia ya Nyuklia

- ⁠Mansour Asghari - Mtaalamu wa Fizikia

- ⁠Ahmad Reza D'Olfakri Dariani - Mtaalamu wa Uhandisi wa Nyuklia

- ⁠Ali Boukhai Katrimy - Mtaalam wa Mitambo

Malengo ya kuwauwa ilikuwa sehemu kuu ya mchakato wa maendeleo kuelekea silaha za nyuklia.

Kuuliwa kwao kunaleta uharibifu mkubwa kwa uwezo wa serikali ya Irani kupata silaha za maangamizi makubwa.
 
Nimeiona habari nyenginge Isreal wana target oil refinery Tabriz huko Iran.

Hii ngoma haipoi!

Nafikiri Iran watafanya kwa namna hiyo uliyoangazia Mkuu.
Kama Iran inategemea kurusha ballistic missile tuu bila kupeleka ndege za kivita au kutumia nyambizi basi atakuwa anajisumbua tuu. Na hapo kwenye oil refinery ndio kutaamsha uprising.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…