Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

Mwisho wa Israel sio Leo wala Kesho bado Sana,hawa unaowaona wanaisaidia Israel wote wametajwa kwenye vitabu vya dini kuwa watasimama kwaajili ya kuitetea Israel na pia upo wakati ambao Israel atapigwa ila sio sasa mzee
Bila shaka we ni Muumini wa Mwamposa otherwise ni mpagani na hujawahi hata isoma biblia unayoisema
 
Hatari kweli kweli
 
Pro Israel(wagalatia) vs Pro Iran(waajemi) wote wakiwa boko wanarushiana madrones tu.
 
Mazayuni ndio wameshikilia uchumi wa Marekani , kwa kumiliki makampuni makubwa ya silaha na taasisi za kifedha , ndio maana wanashinikiza na kulobby ili kutibua vita duniani ,maana kwao vita ni faida kubwa ,no matter the consequences
WA
 
Wamarekani halisi hawapendi vita ,ila hawa uzao wa ibilisi aka modern international jews kwao vita ni faida na ndicho kinachotokea ,kuanzia vita ya Ukraine ,wao ndio beneficiaries ,Kwa kuuza silaha kupitia makampuni yao na kukopesha pesa serikali kwa riba ya juu ili kugharamia vita
 
Hizo silaha zenye thamani hazijafanya maangamizi yeyote hakuna majeruhi wala kilichoharibika.
Na hata vinu vya nuclear walivyolenga kulipua wamevikosa na vipo hapo hapo Isfahan.
Ndio maana umeambiwa level yako ya uelewa wa propaganda za kivita ni ndogo mno, lengo la Israel sio kushambulia vinu vya nuclear bali kutuma ujumbe kuwa vinu hivyo vinafikika iwapo ataamua kuvishambulia, vivyo hivyo lengo la Iran kutuma drones 300 lilikuwa si kushambulia bali onyo
 
Iran kaingia 18, atachakazwa na USA kwa kivuli cha Israel, ni mbinu tu.
 
Zipo wewe acha ubishi.
BBC wamesema pia Israel alituma drone tatu zikitanguliwa na makombora yanayohesabika.
Kwa akili ya kawaida tu hii inagoma. Yani Israeli atume drone 3 kwenda kushambulia eneo lililo na mifumo advanced ya ulinzi?
 
Iran yupo na sehemu nyingi za kubonyeza.
Akibonyeza hapa πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ (Strait of Hormuz) Israel atasemaje? Karibia mafuta yote duniani yanapitia hapa

View attachment 2968137
Israel haiuzi mafuta, watakaoumia ni hao wauza mafuta wenzake Kuwait, Qatar, Saudi Arabia, UAE na Oman ambao hawatakubali ujinga wake.
 

Attachments

  • Screenshot_2024-04-19-15-00-04-618_com.twitter.android.jpg
    959.6 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…