Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Sasa wapiganaji wa iran na Israel wa JF wa humu wanapigana sana humuMkuu, vita ni pamoja na propaganda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wapiganaji wa iran na Israel wa JF wa humu wanapigana sana humuMkuu, vita ni pamoja na propaganda.
Bila shaka we ni Muumini wa Mwamposa otherwise ni mpagani na hujawahi hata isoma biblia unayoisemaMwisho wa Israel sio Leo wala Kesho bado Sana,hawa unaowaona wanaisaidia Israel wote wametajwa kwenye vitabu vya dini kuwa watasimama kwaajili ya kuitetea Israel na pia upo wakati ambao Israel atapigwa ila sio sasa mzee
Hatari kweli kweliHabari za muda huu.......
Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq..........
====
Israeli missiles have reportedly hit the Iranian city of Isfahan
Israeli missiles have hit a site in Iran, the United States' ABC News has reported, citing a US official, days after Iran launched a drone strike on Israel in response to an attack at the Iranian embassy in Syria.
Iran's Fars news agency said an explosion was heard at an airport in the Iranian city of Isfahan but the cause was not immediately known.
Several Iranian nuclear sites are located in Isfahan province, including Natanz, the centrepiece of Iran's uranium enrichment program.
Several flights were diverted over Iranian airspace, CNN reported.
Over the weekend, Iran launched hundreds of drones and missiles in a retaliatory strike after a suspected Israeli strike on its embassy compound in Syria earlier in April.
Most of the drones and missiles were downed before reaching Israeli territory.
Iran told the United Nations Security Council on Thursday that Israel "must be compelled to stop any further military adventurism against our interests" as the UN secretary-general warned that the Middle East was in a "moment of maximum peril".
Israel had said it was going to retaliate against Iran's 13 April missile and drone attack.
Analysts and observers have been raising concerns about the risks of the Israel-Gaza war spreading into the rest of the region.
Israel's assault on Gaza began after Palestinian Islamist group Hamas attacked Israel on 7 Ocober, killing 1,200, according to Israeli tallies.
Israel's military offensive has killed over 33,000 Palestinians in Gaza, according to the local health ministry.
Iran-backed groups have declared support for Palestinians, launching attacks from Lebanon, Yemen and Iraq.
This is a developing story and this article will be updated.
Follow the latest from SBS News at
, or on the SBS News app available on
or
View attachment 2967853
Israel is bombing Iran, Syria and Iraq at the same time.
Kama huwa hawatangazi we umejuaje? Bila shaka na wewe ni MUONGO TU.Unataka Iran ikipata kipigo ukutangazie?
Kwa taarifa yako Marekana na Israel huwa wanalipiza ki silent tena huwa wanapiga panapouma zaidi
Habari za hilo shambulio bandia la Israel limetolewa na Marekani.Kama huwa hawatangazi we umejuaje? Bila shaka na wewe ni MUONGO TU.
Mazayuni ndio wameshikilia uchumi wa Marekani , kwa kumiliki makampuni makubwa ya silaha na taasisi za kifedha , ndio maana wanashinikiza na kulobby ili kutibua vita duniani ,maana kwao vita ni faida kubwa ,no matter the consequencesMarekani wanahangaishwa sana na mtoto wao wa kambo.........
Ningependa mdau mwenye uelewa mpana wa siasa na uchumi wa kimataifa atudadavulie kuwa Marekani anafaidika nini na Israel mpaka kuingia hasara na kuhatarisha usalama wa taifa lake kiasi hicho
Wamarekani halisi hawapendi vita ,ila hawa uzao wa ibilisi aka modern international jews kwao vita ni faida na ndicho kinachotokea ,kuanzia vita ya Ukraine ,wao ndio beneficiaries ,Kwa kuuza silaha kupitia makampuni yao na kukopesha pesa serikali kwa riba ya juu ili kugharamia vitaMarekani wanahangaishwa sana na mtoto wao wa kambo.........
Ningependa mdau mwenye uelewa mpana wa siasa na uchumi wa kimataifa atudadavulie kuwa Marekani anafaidika nini na Israel mpaka kuingia hasara na kuhatarisha usalama wa taifa lake kiasi hicho
Ndio maana umeambiwa level yako ya uelewa wa propaganda za kivita ni ndogo mno, lengo la Israel sio kushambulia vinu vya nuclear bali kutuma ujumbe kuwa vinu hivyo vinafikika iwapo ataamua kuvishambulia, vivyo hivyo lengo la Iran kutuma drones 300 lilikuwa si kushambulia bali onyoHizo silaha zenye thamani hazijafanya maangamizi yeyote hakuna majeruhi wala kilichoharibika.
Na hata vinu vya nuclear walivyolenga kulipua wamevikosa na vipo hapo hapo Isfahan.
Labda useme mwisho wa Iran siyo Israel.Kuna kila dalili WWW3 inakwenda kuanza rasmi........na mwisho wa Israel unakaribia........kumbuka Amerika ameshasema yeye anakaa kando......
Kwa akili ya kawaida tu hii inagoma. Yani Israeli atume drone 3 kwenda kushambulia eneo lililo na mifumo advanced ya ulinzi?Zipo wewe acha ubishi.
BBC wamesema pia Israel alituma drone tatu zikitanguliwa na makombora yanayohesabika.
Israel haiuzi mafuta, watakaoumia ni hao wauza mafuta wenzake Kuwait, Qatar, Saudi Arabia, UAE na Oman ambao hawatakubali ujinga wake.Iran yupo na sehemu nyingi za kubonyeza.
Akibonyeza hapa 👇 👇 👇 (Strait of Hormuz) Israel atasemaje? Karibia mafuta yote duniani yanapitia hapa
View attachment 2968137
Al Mayadeen TV habari zote ni uwongo hakuna lolote mpaa mda hu kilichotokea Iran.
Kwa akili ya kawaida tu hii inagoma. Yani Israeli atume drone 3 kwenda kushambulia eneo lililo na mifumo advanced ya ulinzi?
Si walimuua general Suleiman Iran walilia saanaMbona Iran inazamisha mara kwa mara meli za USA na anaishia kubweka tu. Iran iliilipua kambi ya USA huko Iraq nini alifanya? 🤣🤣🤣🤣 Iran siyo watoto wadogo mzee
View attachment 2968144