Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Netanyahu hacheki, anatumbua hawa magaidi hakuna mfano.Tumekuwa na wakati Mgumu sana ndugu zanguni. Wakati ule anapigwa Hamas tulisema ajaribu kwa Hezbollah. Atakiona cha mtema kuni.
Walipomalizana na Hamas wakaanza na Hezbollah. Wakawapiga kinyama. Wakatamani na Iran. Iran akachokozwa akaingia kwenye mfumo. Tukaanza kuwashabikia Iran kuwa sasa Mayahudi watakutana na Maarabu ya Iran. Iran wamechapwa juzi tu hapa. Wanawaya waya
Then Israel amerudi kucheza matches za nyumbani. Anawatembezea ukuni Hezbollah.
View attachment 3139004
Hawa jamaa ni AliensKwani Wayahudi ni dizaini gani ya binadamu?
Hawa ndo ilifaa kuitwa wasiojulikana
Hayo siyo majengo tu. Kuna silaha zinafichwa humo na underground. Jamaa wanapiga kwa mahesabu. Wanamnyong'onyesha adui kwa kupiga maeneo ambayo ni ya kimkakati.Waache vita ya kupotomosha majengo, afanye ground operation ndo inasafisha vizuri zaidi
Kwani Wayahudi ni dizaini gani ya binadamu?
Hawa ndo ilifaa kuitwa wasiojulikana
Kabla ya ground operation lazima ufanye hivyo, kinyume chake utapasuka sana.Waache vita ya kupotomosha majengo, afanye ground operation ndo inasafisha vizuri zaidi
Baada ya kumnyong'onyesha wamefika wapi huko Lebanon?Hayo siyo majengo tu. Kuna silaha zinafichwa humo na underground. Jamaa wanapiga kwa mahesabu. Wanamnyong'onyesha adui kwa kupiga maeneo ambayo ni ya kimkakati.
We akili zako zinafaa zikapimwe kama unadhani Israel anapiga silaha au wanamgambo, anacho fanya ni kufanya genocide na kuvunja majumba tu.Hayo siyo majengo tu. Kuna silaha zinafichwa humo na underground. Jamaa wanapiga kwa mahesabu. Wanamnyong'onyesha adui kwa kupiga maeneo ambayo ni ya kimkakati.
Kwa hiyo israel anaenda kufutwa kwenye uso wa dunya?We akili zako zinafaa zikapimwe kama unadhani Israel anapiga silaha au wanamgambo, anacho fanya ni kufanya genocide na kuvunja majumba tu.
Iran ameisha wambia wananchi wa Israel waondoke Tela Aviv na Haifa anaenda ifuta kwenye map. Wamepewa week tu waondoke we kaa unakula matango kwa dagaa
Dogo umekaa unakuna mapumbuh huku unacheza bao, unakula kashata kwa maji hapo kijiweni hujui lolote. Msikilize Sheikh Kitunku anavyokudanganya dogo bwela.We akili zako zinafaa zikapimwe kama unadhani Israel anapiga silaha au wanamgambo, anacho fanya ni kufanya genocide na kuvunja majumba tu.
Iran ameisha wambia wananchi wa Israel waondoke Tela Aviv na Haifa anaenda ifuta kwenye map. Wamepewa week tu waondoke we kaa unakula matango kwa dagaa
Tela Aviv na Haifa sio Israel yote Iran hawezi kupiga Jerusalem sababu pale kuna Masjid Al Quds.Kwa hiyo israel anaenda kufutwa kwenye uso wa dunya?
Aaaaah mkuu ulivyoonesha video ya Sina wali nimejikuta nalia sana Yahudi wabaya nyie khah Sina wali kafumuliwa kichogo mbaya mbayaDogo umekaa unakuna mapumbuh huku unacheza bao, unakula kashata kwa maji hapo kijiweni hujui lolote. Msikilize Sheikh Kitunku anavyokudanganya dogo bwela.
View attachment 3139117
View attachment 3139118
Wanao ongea ni Wayahudi afu wanakuambia satellite image 😄 Hivi dogo we ulishia darasa la ngapi, kwani image huwezi kucreate? Afu ukasema ni satellite images.Dogo umekaa unakuna mapumbuh huku unacheza bao, unakula kashata kwa maji hapo kijiweni hujui lolote. Msikilize Sheikh Kitunku anavyokudanganya dogo bwela.
View attachment 3139117
View attachment 3139118
Hahahaha ila walokole wakorofi Sana....Kwa hiyo israel anaenda kufutwa kwenye uso wa dunya?