Israel yapiga maeneo kama 100 hivi ya Hezbollah. Safari hii hakuna kumswalia mtu yeyote

Israel yapiga maeneo kama 100 hivi ya Hezbollah. Safari hii hakuna kumswalia mtu yeyote

Tumekuwa na wakati Mgumu sana ndugu zanguni. Wakati ule anapigwa Hamas tulisema ajaribu kwa Hezbollah. Atakiona cha mtema kuni.

Walipomalizana na Hamas wakaanza na Hezbollah. Wakawapiga kinyama. Wakatamani na Iran. Iran akachokozwa akaingia kwenye mfumo. Tukaanza kuwashabikia Iran kuwa sasa Mayahudi watakutana na Maarabu ya Iran. Iran wamechapwa juzi tu hapa. Wanawaya waya

Then Israel amerudi kucheza matches za nyumbani. Anawatembezea ukuni Hezbollah.

Hata wapige 10000, Hizbollah yuko pale pale
 
Hii ni hatari sana
 
Israel nani anaye muamini si hawa wafuasi wamkosa nyumba ndio wanamuamini. Eti wamepiga kiwanda cha kutengeneza Missiles Iran hawezi tengeneza silaha tena hahahahaha 😆 🤣 😂

Hizo nyimbo oh Hamasi tumeisha imaliza kila kukicha Hamasi anawatandika. Oh Hezbullah tumeisha imaliza kila kukicha ndio anazidi kuwatandika ya jana bora kuliko yaleo.

Oh tumevunja Radar za Iran uliona ndege zao zimenda Iran. Walitoleana matusi Nyau na yule monkey Gallant sababu hakuna target walio piga ya mana zaidi ya godauni moja tena pembeni kabisa, kuwaka moto wakarecord kwa njia ya majasusi waliopo Iran zaidi ya hicho kigodauni ni fake images za satellite 😄
Netanyahu amewadanganya wananchi wao ili apate kick hivi nauliza hawawezi kujiuliza wanachoelezwa kuwa si ukweli ..naona kama BBC na cnn ndo wanasifia huo ujinga
 
Netanyahu amewadanganya wananchi wao ili apate kick hivi nauliza hawawezi kujiuliza wanachoelezwa kuwa si ukweli ..naona kama BBC na cnn ndo wanasifia huo ujinga
Aliambiwa na Chief of Staff wao kuwa watairudisha Hezbullah kwa mda wa week mbili mpa nyuma ya mto Letani, alidhani wanaenda kucheza sindimba.
 
We akili zako zinafaa zikapimwe kama unadhani Israel anapiga silaha au wanamgambo, anacho fanya ni kufanya genocide na kuvunja majumba tu.

Iran ameisha wambia wananchi wa Israel waondoke Tela Aviv na Haifa anaenda ifuta kwenye map. Wamepewa week tu waondoke we kaa unakula matango kwa dagaa
Ole wako week iishe halafu huyo kibwengo wako Iran awe hajamfuta Israel
Lazima nikupige ukuni wakutosha wewe na familiar yako
 
Back
Top Bottom