Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
Kwanza unapaswa kujua Israel haipigani vita na Lebanon bali inapigana vita na wahuni wa kuitwa Hezbollah kwasababu ya udhaifu wa serikali ya LebanonHivi unajua kua hizbullah wako mpakani mwa Lebanon tena juu ya milima na ni maeneo ambayo hakuna raia pia?
Umeandika insha ukakaribia mantiki alafu umetoka kwenye mantiki papo hapo.
Hivi unafananisha malengo ya urusi na Israeli je unajua mpaka sasa Urus anamiliki asilimia ngapi ya ardhi ya Ukraine.
Je IDF imefanikiwa kwa kiwango gani?
Mpaka sasa hivi tunaongea Israel imechora mpaka ndani ya Lebanon kwenye maeneo yalio kuwa ngome za Hazbollah na sasa inamwaga mvua ya mabomu na kila siku wanazidi kutoa matangazo watu wahame maeneo hayo kabla hawajafanya yao
Huko Beirut inapiga kwenye ofisi zao na maeneo yenye mali zao
Hivi kuna mji umepewa masaa 24 wawe wamehama wote na usiku wa leo panakweda kugeuzwa vifusi