Tumekuwa na wakati Mgumu sana ndugu zanguni. Wakati ule anapigwa Hamas tulisema ajaribu kwa Hezbollah. Atakiona cha mtema kuni.
Walipomalizana na Hamas wakaanza na Hezbollah. Wakawapiga kinyama. Wakatamani na Iran. Iran akachokozwa akaingia kwenye mfumo. Tukaanza kuwashabikia Iran kuwa sasa Mayahudi watakutana na Maarabu ya Iran. Iran wamechapwa juzi tu hapa. Wanawaya waya
Then Israel amerudi kucheza matches za nyumbani. Anawatembezea ukuni Hezbollah.
Unampangia ? Ana technology acha anitumie.Waache vita ya kupotomosha majengo, afanye ground operation ndo inasafisha vizuri zaidi
Acha atumie technology ya ndegeUnampangia ? Ana technology acha anitumie.
Waache vita ya kupotomosha majengo, afanye ground operation ndo inasafisha vizuri zaidi
Upo wapi wewe Yahudi mweusi upo Uyole?Tumekuwa na wakati Mgumu sana ndugu zanguni. Wakati ule anapigwa Hamas tulisema ajaribu kwa Hezbollah. Atakiona cha mtema kuni.
Walipomalizana na Hamas wakaanza na Hezbollah. Wakawapiga kinyama. Wakatamani na Iran. Iran akachokozwa akaingia kwenye mfumo. Tukaanza kuwashabikia Iran kuwa sasa Mayahudi watakutana na Maarabu ya Iran. Iran wamechapwa juzi tu hapa. Wanawaya waya
Then Israel amerudi kucheza matches za nyumbani. Anawatembezea ukuni Hezbollah.
Wanao ongea ni Wayahudi afu wanakuambia satellite image 😄 Hivi dogo we ulishia darasa la ngapi, kwani image huwezi kucreate? Afu ukasema ni satellite images.
Upo wapi wewe Yahudi mweusi upo Uyole?
Tel Aviv leo wana mkutano wanaomba vita visitishwe😂
View: https://x.com/legittargets/status/1851572254620213759?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Kabla hawajaenda huko walishambulia wakitwambia wamebutua silaha zote za hizbullah na hawana uwezo tena,cha ajabu baada ya vita kuanza,shule zimefungwa na raia kuhama huko kaskazini,drone za hizbullah kila siku zinatwanga israel,jana tu wametangaza kiwanda cha silaha wslichokitwanga kabla,na wanarusha roketi 150-200 kwa siku, hasira myahudi anabomoa majumba lebanonHayo siyo majengo tu. Kuna silaha zinafichwa humo na underground. Jamaa wanapiga kwa mahesabu. Wanamnyong'onyesha adui kwa kupiga maeneo ambayo ni ya kimkakati.
Kabla hawajaenda huko walishambulia wakitwambia wamebutua silaha zote za hizbullah na hawana uwezo tena,cha ajabu baada ya vita kuanza,shule zimefungwa na raia kuhama huko kaskazini,drone za hizbullah kila siku zinatwanga israel,jana tu wametangaza kiwanda cha silaha wslichokitwanga kabla,na wanarusha roketi 150-200 kwa siku, hasira myahudi anabomoa majumba lebanon
Maisha Yanaenda? Unajua marekani kaishawatumia billion ngapi za dollarPamoja na yote bila kujali wew ni wa mlengo upi,israeli ni majabali ya vita!wanapga sehemu 3 na still maisha yanaendelea nchini kwao,si jambo la kubeza
We akili zako zinafaa zikapimwe kama unadhani Israel anapiga silaha au wanamgambo, anacho fanya ni kufanya genocide na kuvunja majumba tu.
Iran ameisha wambia wananchi wa Israel waondoke Tela Aviv na Haifa anaenda ifuta kwenye map. Wamepewa week tu waondoke we kaa unakula matango kwa dagaa
Huo Msikiti ukishabomolewa na kelele zitaisha Al Quds gani wakati hilo eneo lilikuwa ni Temple ya Wayahudi.Jerusalem sababu pale kuna Masjid Al Quds.
Israel nani anaye muamini si hawa wafuasi wamkosa nyumba ndio wanamuamini. Eti wamepiga kiwanda cha kutengeneza Missiles Iran hawezi tengeneza silaha tena hahahahaha 😆 🤣 😂Kabla hawajaenda huko walishambulia wakitwambia wamebutua silaha zote za hizbullah na hawana uwezo tena,cha ajabu baada ya vita kuanza,shule zimefungwa na raia kuhama huko kaskazini,drone za hizbullah kila siku zinatwanga israel,jana tu wametangaza kiwanda cha silaha wslichokitwanga kabla,na wanarusha roketi 150-200 kwa siku, hasira myahudi anabomoa majumba lebanon
Waache vita ya kupotomosha majengo, afanye ground operation ndo inasafisha vizuri zaidi
Mkuu mbona mnachukuliaga vita kirahisi rahisi sana?Baada ya kumnyong'onyesha wamefika wapi huko Lebanon?
Anachokifanya Netanyahu dhidi ya Palestine ni sawa na anachofanya Putin dhidi ya Ukraine. Ajabu unamwona Putin yuko sahihi!.We akili zako zinafaa zikapimwe kama unadhani Israel anapiga silaha au wanamgambo, anacho fanya ni kufanya genocide na kuvunja majumba tu.
Iran ameisha wambia wananchi wa Israel waondoke Tela Aviv na Haifa anaenda ifuta kwenye map. Wamepewa week tu waondoke we kaa unakula matango kwa dagaa
Unataka wakaliwe vichwa😁Waache vita ya kupotomosha majengo, afanye ground operation ndo inasafisha vizuri zaidi
Hivi unajua kua hizbullah wako mpakani mwa Lebanon tena juu ya milima na ni maeneo ambayo hakuna raia pia?Mkuu mbona mnachukuliaga vita kirahisi rahisi sana?
Hivi unategemea IDF itaweza kuisfisha Hezbulla Lebanon yote ndani ya hata ya miaka 2 tu?
Hebu angalia Russia toka kaingia Ukraine ni nini kinaendelea?
Vita ni mikakati and so far israel inafanya vizuri kimkakati kuliko hamas na izibullah
Ukitaka kuwamaliza hamas na hezbulla wote basi ni lazima uue raia woote walio wazunguka
Shida ya vita za siku hizi watu hawapigani kwenye battle field zinapiganwa among the citizens tena kwenye makazi yao
Pata picha IDF na Hamas wakutane kwenye battle field Idf si itawamwagia mabomu within a second hamas wote kwisha