Israel yapiga maeneo kama 100 hivi ya Hezbollah. Safari hii hakuna kumswalia mtu yeyote

Hata wapige 10000, Hizbollah yuko pale pale
 
Hii ni hatari sana
 
Netanyahu amewadanganya wananchi wao ili apate kick hivi nauliza hawawezi kujiuliza wanachoelezwa kuwa si ukweli ..naona kama BBC na cnn ndo wanasifia huo ujinga
 
Netanyahu amewadanganya wananchi wao ili apate kick hivi nauliza hawawezi kujiuliza wanachoelezwa kuwa si ukweli ..naona kama BBC na cnn ndo wanasifia huo ujinga
Aliambiwa na Chief of Staff wao kuwa watairudisha Hezbullah kwa mda wa week mbili mpa nyuma ya mto Letani, alidhani wanaenda kucheza sindimba.
 
Ole wako week iishe halafu huyo kibwengo wako Iran awe hajamfuta Israel
Lazima nikupige ukuni wakutosha wewe na familiar yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…