Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Kuna mtu aliuliza ilikuwaje Israel ikashinda vita siku sita ..

Kuna msemo unaitwa Wastani kwa Idadi...

Israel inawaona Watu wa Gaza kama sehemu ya wananchi wake watukutu...
 
Hadi mtangazaji anashangaa inawezekana vipi viongozi wakuu wanaliwa kirahisi hivi!?
HATA MIMI NASHANGAA. ILA HAWA WAISRAEL WAKIMTAKA MTU NAKUAMBIA HAWAMKOSI.NI SUALA LA MUDA TU. NA NI WAVUMILIVU SANA WANAWEZA KUKUTAFUTA HATA MIAKA 10 AU 100 HAWAKUACHI.
 
Kwenye usaliti huo hawakosekani walebanon wakiristo
Hata Yesu,si alisalitiwa na mtu wake wa karibu,Yuda kwa vipande vya fedha,Yesu akapigwa,akavalishwa nepi,akasulubiwa,akauliwa,na mpaka leo wanamuita mtoto wa nje ya ndoa,wakati alikuja kuwakomboa waisrael,wapate uzima wa milele.
 
Kuna waarabu wafia dini humu waliandika mara nyingi tuu kwamba Israel ikijaribu kupigana na hezbollah basi itapigwa vibaya mno sijui wanajisikiaje huko waliko ๐Ÿค” dj walete kwa wimbo wa Jaiva mtoto kautaka
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Nakumumbusha ukiona mtu anasema Houthis sijui Hezbollah anaweza kupigana na Israel mara Marekani ujue huyo akili haiko sawa
 
Nimekumbuka quote kutoka movie ya munich (2005)
"Every man we've killed has been replaced by worse!"

Baada ya kuchapana watafute suluhu. Maana wasipofanya hivo watakuja wengine tu

Ni kweli, kila mpya anayeingia ni mtata zaidi ya mtangulizi wake. Mfano rahisi angalia marehemu Ismail Haniyeh na mirthi wake Yahya Sinwar. Wameondoa a diplomat, kachukua wenyewe wanamuita โ€œOctober 7th terror master mind.โ€
 
Uyahudi ni dini,paulo ndiyo muhunzi wa ukristu, wayahudi wanachukia ukristu kuliko hata uislam,kuna vitu uyahudi na uislam vinaendana na siyo ukristu unaodai utatu mtakatifu
 
Kuna mtu aliuliza ilikuwaje Israel ikashinda vita siku sita ..

Kuna msemo unaitwa Wastani kwa Idadi...

Israel inawaona Watu wa Gaza kama sehemu ya wananchi wake watukutu...
Hapa pia pa kujiuliza ilikuwaje hawa magaidi wa Israel,wakamuua Yesu,aliyekuja kuwakomboa?Na mpaka leo wanamuita mtoto wa nje ya ndoa?
 
rip kamanda
 
Hv hakuna namna ya kuwaua hawa magaidi mpaka wakifika huko peponi wakose wale bikra 72?
Mana roho inaniuma sana, wanauawa halafu bado wanaenda kula raha za bikra huko peponi kwao ๐Ÿ˜ญ
Mbona Yesu pia aliuliwa,yuko mbinguni,na hii ndio inawaumiza kichwa magaidi wa Israel,kuwa Yesu tulimsulubu,lakini yuko mbinguni kuumeni kwa Mungu,na atahukumu makanila 12 ya wana wa Israel.
 
Paulo hakuwa myahudi bali alikuwa ni mtu mwenye asili ya kituruki.
 
Hv hakuna namna ya kuwaua hawa magaidi mpaka wakifika huko peponi wakose wale bikra 72?
Mana roho inaniuma sana, wanauawa halafu bado wanaenda kula raha za bikra huko peponi kwao ๐Ÿ˜ญ
Badala ya Iran kusaidia kujibu mapigo, imemhamisha Ayyatollah kwenda kwenye eneo la usalama zaidi.
 
Ninachoamini mimi ni kwamba Israel ilikuwa na uwezo wa kumuua Nasrallah tangu kitambo tu lakini haikutaka kufanya hivyo. Maamuzi wameyafanya sasa.
Hivi kweli mpakane mipaka na Israel ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ halafu ashindwe kukupata. Ninaamini walikuwa na taarifa zake zote mahali alipo na nini anafanya na hata anapokula , kuoga au kujisaidia.
Hivyo tusije kufikiria kuwa walikuwa wanamtafuta . Hii ya jana ni kama walifikia uamuzi kuwa sasa wamuondoe jamaa na tena aondolewe siku Netanyahu anahutubia UN.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ