Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Kuna mtu aliuliza ilikuwaje Israel ikashinda vita siku sita ..

Kuna msemo unaitwa Wastani kwa Idadi...

Israel inawaona Watu wa Gaza kama sehemu ya wananchi wake watukutu...
 
Hadi mtangazaji anashangaa inawezekana vipi viongozi wakuu wanaliwa kirahisi hivi!?
HATA MIMI NASHANGAA. ILA HAWA WAISRAEL WAKIMTAKA MTU NAKUAMBIA HAWAMKOSI.NI SUALA LA MUDA TU. NA NI WAVUMILIVU SANA WANAWEZA KUKUTAFUTA HATA MIAKA 10 AU 100 HAWAKUACHI.
 
Kwenye usaliti huo hawakosekani walebanon wakiristo
Hata Yesu,si alisalitiwa na mtu wake wa karibu,Yuda kwa vipande vya fedha,Yesu akapigwa,akavalishwa nepi,akasulubiwa,akauliwa,na mpaka leo wanamuita mtoto wa nje ya ndoa,wakati alikuja kuwakomboa waisrael,wapate uzima wa milele.
 
Kuna waarabu wafia dini humu waliandika mara nyingi tuu kwamba Israel ikijaribu kupigana na hezbollah basi itapigwa vibaya mno sijui wanajisikiaje huko waliko 🤔 dj walete kwa wimbo wa Jaiva mtoto kautaka
😂😂😂

Nakumumbusha ukiona mtu anasema Houthis sijui Hezbollah anaweza kupigana na Israel mara Marekani ujue huyo akili haiko sawa
 
Nimekumbuka quote kutoka movie ya munich (2005)
"Every man we've killed has been replaced by worse!"

Baada ya kuchapana watafute suluhu. Maana wasipofanya hivo watakuja wengine tu

Ni kweli, kila mpya anayeingia ni mtata zaidi ya mtangulizi wake. Mfano rahisi angalia marehemu Ismail Haniyeh na mirthi wake Yahya Sinwar. Wameondoa a diplomat, kachukua wenyewe wanamuita “October 7th terror master mind.”
 
We ndo usipotoshe watu kwa uongo wako, sio wayahudi wote hawamwamini yesu, Paulo aliyesambaza Injili sehemu nyingi za hapo Middle East alikuwa sio myahudi?? Wanafunzi wa Yesu 12 hawakuwa wayahudi?? Wayahudi ndo walikuwa watu wa kwanza kumkubali yesu na kusambaza injili na haohao ndo wa kwanza kumkataa yesu.

Kwaio unapozungumzia wayahudi fahamu ndo watu walioibeba injili na kuisambaza sehemu mbalimbali za duniani hadi africa, don't generalise kwamba wayahudi wote hawamwamini yesu.
Uyahudi ni dini,paulo ndiyo muhunzi wa ukristu, wayahudi wanachukia ukristu kuliko hata uislam,kuna vitu uyahudi na uislam vinaendana na siyo ukristu unaodai utatu mtakatifu
 
Kuna mtu aliuliza ilikuwaje Israel ikashinda vita siku sita ..

Kuna msemo unaitwa Wastani kwa Idadi...

Israel inawaona Watu wa Gaza kama sehemu ya wananchi wake watukutu...
Hapa pia pa kujiuliza ilikuwaje hawa magaidi wa Israel,wakamuua Yesu,aliyekuja kuwakomboa?Na mpaka leo wanamuita mtoto wa nje ya ndoa?
 
Jeshi la Israel limethibitisha kuuliwa kwa GS wa Hezbollah Hassan Nasrallah baada ya mashambulizi ya jana.

Hapo mwanzo ilisemekana ni mzima ila Israel ilisubiri kuthibitisha kuuliwa kwake.

Yasemekana kuwa ndani ya eneo hilo hakuna chochote kilichobaki kizima, na huenda mwili wa Nasrallah usipatikane

Full @IDF statement on its elimination of Hezbollah chief Hassan Nasrallah:


“The IDF announces that yesterday (Friday), September 27th, 2024, Hassan Nasrallah, the leader of the Hezbollah terrorist organization and one of its founders, was eliminated by the IDF, together with Ali Karki, the Commander of Hezbollah’s Southern Front, and additional Hezbollah commanders.


Following precise intelligence from the IDF and Israeli security establishment, IAF fighter jets conducted a targeted strike on the Central Headquarters of the Hezbollah terrorist organization, which was located underground embedded under a residential building in the area of Dahieh in Beirut. The strike was conducted while Hezbollah’s senior chain of command were operating from the headquarters and advancing terrorist activities against the citizens of the State of Israel.


During Hassan Nastallah’s 32-year reign as the Secretary-General of Hezbollah, he was responsible for the murder of many Israeli civilians and soldiers, and the planning and execution of thousands of terrorist activities. He was responsible for directing and executing terrorist attacks around the world in which civilians of various nationalities were murdered. Nasrallah was the central decision-maker and the strategic leader of the organization.


The Hezbollah terrorist organization, headed by Hassan Nasrallah, joined the Hamas terrorist organization in its war against the State of Israel on October 8th. Since then, Hezbollah has been continuing its ongoing and unprovoked attacks on the citizens of the State of Israel, dragging the State of Lebanon and the entire region into a wider escalation.


The IDF will continue operating against anyone who promotes and engages in terrorism against the State of Israel and its people.”
rip kamanda
 
Hv hakuna namna ya kuwaua hawa magaidi mpaka wakifika huko peponi wakose wale bikra 72?
Mana roho inaniuma sana, wanauawa halafu bado wanaenda kula raha za bikra huko peponi kwao 😭
Mbona Yesu pia aliuliwa,yuko mbinguni,na hii ndio inawaumiza kichwa magaidi wa Israel,kuwa Yesu tulimsulubu,lakini yuko mbinguni kuumeni kwa Mungu,na atahukumu makanila 12 ya wana wa Israel.
 
We ndo usipotoshe watu kwa uongo wako, sio wayahudi wote hawamwamini yesu, Paulo aliyesambaza Injili sehemu nyingi za hapo Middle East alikuwa sio myahudi?? Wanafunzi wa Yesu 12 hawakuwa wayahudi?? Wayahudi ndo walikuwa watu wa kwanza kumkubali yesu na kusambaza injili na haohao ndo wa kwanza kumkataa yesu.

Kwaio unapozungumzia wayahudi fahamu ndo watu walioibeba injili na kuisambaza sehemu mbalimbali za duniani hadi africa, don't generalise kwamba wayahudi wote hawamwamini yesu.
Paulo hakuwa myahudi bali alikuwa ni mtu mwenye asili ya kituruki.
 
Hv hakuna namna ya kuwaua hawa magaidi mpaka wakifika huko peponi wakose wale bikra 72?
Mana roho inaniuma sana, wanauawa halafu bado wanaenda kula raha za bikra huko peponi kwao 😭
Badala ya Iran kusaidia kujibu mapigo, imemhamisha Ayyatollah kwenda kwenye eneo la usalama zaidi.
 
Ninachoamini mimi ni kwamba Israel ilikuwa na uwezo wa kumuua Nasrallah tangu kitambo tu lakini haikutaka kufanya hivyo. Maamuzi wameyafanya sasa.
Hivi kweli mpakane mipaka na Israel 🇮🇱 halafu ashindwe kukupata. Ninaamini walikuwa na taarifa zake zote mahali alipo na nini anafanya na hata anapokula , kuoga au kujisaidia.
Hivyo tusije kufikiria kuwa walikuwa wanamtafuta . Hii ya jana ni kama walifikia uamuzi kuwa sasa wamuondoe jamaa na tena aondolewe siku Netanyahu anahutubia UN.
 
Back
Top Bottom