Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Zile kelele za sijui israel anamuogopa hezbollah mara hao sio Hamas sijui nyokonyoko wana jeshi kamili wana mabomu zilizokuwa zinatoka madrasa mbona sizisikii tena..huyo ndo mzee Neta bado wale panya wa Houth watajuta
tatizo sisi wengi ni mashabiki, maana kuna wengine wanaenda mbali wanakwambia mpaka marekani anaiogopa israel, si ni mzaha huu?
 
Sasa ww unateletea hadithi za kusadikika?
Paulo hakuwa myahudi wala hana uhusiano wowote na uyahudi.
 
Bado unahema eeeh upigwe kichwani
 
Ayattollah rasmi nae kakimbilia kwenye mahandaki. Ile kauli ya Netanyahu kuwa mkono wa Israel unafika popote ndani ya Iran imemshtua sana Ayyatollah.
Daaah!
Roho inauma sana, kataifa kenyewe hata kiganjani hakajai!!!
 
We dogo anaye pigana sio Israel huko Lebanon ni US hao Israel ni nyimbo tu.
Hezbollah, Hamas, Houth, na wengine wanaopigana na Israel wanapigana kwa kupelekwa na Iran, Kwa hiyo Israel anapigana na wapiganaji wa kutumwa wa Iran hapo. Kwa hiyo Israel anapigana na Iran. Iran naye anapewa silaha, teknolojia mafunzo mbinu na russia, n.korea, turkey na nchi zingine. Infact hizo tunnel za Hamas ni expertise ya n.korea.
Sasa kama pamoja na misaada yote hiyo waarabu wanapigwa tena wakiwa kwao basi itoshe kusema Israel ni habari nyingine na ndo mjue kwa nini Misri, Jordan walikoma kuichokona Israel na hawataki tena hata kurusha jiwe Israel maana kipondo walichokipata hawataki kiwarudie tena.
 
Kwani tangu wameanza kuwaua vita imesimama? Msijipe matumaini kwamba ndio vita imeisha aisee anatangazwa mrithi wake mapema sana. Ni moto juu ya motoo
Kwanza mpa mda hu inawezekana kafa au hakufa hamna mtu ana dalili? Pili inawezekana Nasurlah na Hezbullah walisha mchora jasusi anaye toa infomation, wakamuambia tunaenda fanya meeting pale ili awafikishie ujumbe US hapo ndio wamnase tena yupo kwenye cabinet yao kabisa. Na uhakika 💯 in US ndio anapiga sio Israel. Wakisha piga wanamuambia Israel target tulio piga ni Nasurlah ndio Israel anajisifia yeye kapiga.

Si ndio ajabu wanadhani kumua Nasurlah ndio wameshinda vita, hawajui Hezbullah ni chama kuna viongozi wasaidizo na akifa Nasurlah mfano yuko Seif Al Dini au Naim Al Qaseem. Hata hao kama mmoja alikuwa na Nasurlah wako wengine wataendeleza kichapo kama kawaida huko Israel.
 
Watachagua kiongozi mwingine... sijui kwanini watu wanadhani this is an issue?
If u don't know how ujasusi unafanya kazi this is minor issue ila kama una abc za uongozi japo kwenye taasisi ndogo let say uongozi wa kitongoji tu this is big issue regardless nani atakuja ku take over just remember magu alipo zima what happened to us all?

"FEAR"

jeshi lolote duniani kitu cha kwanza kabisa linapo kua kwenye uwanja wa mapigano kiongozi ndio mtu pekee anae deal na psychology ya askali wake kwa kuwapa maneno ambayo direct huathiri uwezo wa kufikilia wa askali haijalishi adui ana nguvu kiasi gani ana siraha kiasi gani kiongozi huwapa morali na Ali ya kusonga mbele zaidi . Askali wanafundishwa kutii amri ya kiongozi

kama kweli Hassan nasrallah amekufa basi downfall ya Hezbollah imefika
 
Labda vita vya Syria (Hezbollah pia ilishiriki) huenda vimechangia kuidhoofisha Hezbollah.
 
Kwani tangu wameanza kuwaua vita imesimama? Msijipe matumaini kwamba ndio vita imeisha aisee anatangazwa mrithi wake mapema sana. Ni moto juu ya motoo
Israel inapiga mpaka miungu ya waarabu sembuse mrithi au warith hawa wenye DNA za kipepo.
 
Hezbollah siyo mtu mmoja
Ni kweli kabisa wapo zaidi ya 50,000 - 70,000+ lakini kumbuka na zingatia HAKUNA WATU WANAFANANA hapa duniani. Kila mtu ni Individual and specific. Ndo mana DNA yako na yangu ni tofauti. Na vivyo hivyo atakayekalia kiti cha aliyeondoshwa kamwe hatafanana na aliyekuwepo. Usiseme habari za eti kuna Miongozo na Taratibu etc. Kila mmoja anamtizamo wa namna yake japokuwa Miongozo na Taratibu hizo zimeandikwa. Utekelezaji wake utakuwa ni kwa kutegemea mtizamo wa aliyepo madarakani. wakati husika.
 
Acha utoto
 
Tatizo ambalo litawasumbua ni Uislam ili waishi kwa amani hapo walipo uislamu ufe sasa jiulize kipi kinaweza kufa kati ya Uislam au taifa la Israel? As long Uislam unaendelea kuwepo pale mashariki ni death zone kwa myahudi haijalishi wao ndio wenye nguvu sasa watu wanazidi wana endelea pia kiteknolojia hivyo mambo bado mabichi kabisa haya, it can go through centuries.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…