Aisee sisi dini yetu haija-base kweny uongo na porojo, we work with evidence and proof, Paulo mwenyew alisema yeye ni myahudi, kwaio unataka kusema wewe unamjua vizur paulo kuliko yeye mwenyew??
Matendo ya Mitume 22:3
Mimi ni mtu wa Kiyahudi, nalizaliwa Tarso, mji wa Kilikia, ila nililelewa katika mji huu, miguuni pa Gamalieli, nikafundishwa sheria ya baba zetu kwa usahihi, nikawa mtu wa jitihadi kwa Mungu kama ninyi nyote mlivyo leo hivi;
I am verily a man which am a Jew, born in Tarsus, a city in Cilicia, yet brought up in this city at the feet of Gamaliel, and taught according to the perfect manner of the law of the fathers, and was zealous toward God, as ye all are this day.