Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

Kama walifanikiwa kuundanganya ulimwengu kuwa Yesu alifufuka sio mchezo. Kuna makundi mawili, waliomkataa Yesu na waliomkubali Yesu. Ndio makundi yanayousumbua ulimwengu.
 
Kama walifanikiwa kuundanganya ulimwengu kuwa Yesu alifufuka sio mchezo. Kuna makundi mawili, waliomkataa Yesu na waliomkubali Yesu. Ndio makundi yanayousumbua ulimwengu.
Aliyeudanganya ulimwengu kwamba Yesu alifufuka ni nani?
 
Mb***0 nayo imesagwa ?πŸ€£πŸ™ƒπŸ™ƒπŸ™ƒπŸ™ƒ
 
Weeee Mtuu mbaya sana nimecheka sanaa
Eti kuunganisha aweze kuridhi mabikira 72.
Mkuu wanasemaga wanapewa miili mipya mkuuu huko wanakoenda kukutana na mabikira 72
 
refugees wa palestina kwa upande mwingine wanajua wakitoka pale kurudi itakua ngumu kama mambo yatakua bado hayaendi upande wao. hii nayo ni point muhimu
 
WHERE IS ALLAH?
ALLAH UPO WAAAPIII?

View attachment 3109278
Hii kama mzazi yeyote yule lazima ikuhuzunishe tu..sema sasa hapa badala ya kuwachukia hedhi-bora wanaoleta haya majanga, atawachukia zaid wayahud halaf na yeye atageuka kuwa gaid kulipiza kisasi halaf akijilipua wayabud wata react tena kwa kuua wengine hivyo badala ya kutatua tatizo atawaletea ndugu zake wengine misiba

CHUKI NI MBAYA SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…