kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Kama walifanikiwa kuundanganya ulimwengu kuwa Yesu alifufuka sio mchezo. Kuna makundi mawili, waliomkataa Yesu na waliomkubali Yesu. Ndio makundi yanayousumbua ulimwengu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli ni kuwa Mashia sio Waislamu, sababu wanaenda kinyume na itikadi za Uislamu.
Ushia chimbuko lake ni UYAHUDI.
Hauwi bila kuchokozwaa ukimchokoza anakuuwa kweliiDah hii dunia basi tu, yaani Israeli imeachwa iue hovyo hovyo
Hana la kufanya mbele ya Bwana Mungu wa kweli.WHERE IS ALLAH?
ALLAH UPO WAAAPIII?
View attachment 3109278
Aliyeudanganya ulimwengu kwamba Yesu alifufuka ni nani?Kama walifanikiwa kuundanganya ulimwengu kuwa Yesu alifufuka sio mchezo. Kuna makundi mawili, waliomkataa Yesu na waliomkubali Yesu. Ndio makundi yanayousumbua ulimwengu.
Mb***0 nayo imesagwa ?🤣🙃🙃🙃🙃Nawaza kama hali ipo hivi. Itakuwa kazi sana kuunganisha mwili wake aweze enjoy na 72 Virgins. Nimesikitika. Ina maana hata akhera hatapata kitu. Yes, hatopata kitu maana hajabakiwa na kitu kabisa. Mwili umesagwa sagwa. Kafa vibaya sana.
View attachment 3109625
Weeee Mtuu mbaya sana nimecheka sanaaNawaza kama hali ipo hivi. Itakuwa kazi sana kuunganisha mwili wake aweze enjoy na 72 Virgins. Nimesikitika. Ina maana hata akhera hatapata kitu. Yes, hatopata kitu maana hajabakiwa na kitu kabisa. Mwili umesagwa sagwa. Kafa vibaya sana.
View attachment 3109625
Ndo nimesikitika hapo hata mabikra hawatafaa kitu.Mb***0 nayo imesagwa ?🤣🙃🙃🙃🙃
Huwezi kumuonea huruma mtu aliyetesa watu wasiokuwa na hatia kisa Imani yake inavyomtuma na kujiongezea umaarufu huyo marehemu ni mpumbavu kabisa pengine watu kama hawa ndio wanakuwa Kuni huko kuzimu.Dini zimewafanya muwe vichaa kabisa.
Hapana , habar kama hii inapswa kuwa supported with stromg evidence badala ya kuwa heresay!!Mbona hasira mkuu? Uneguswa pabaya?
Hapa gud kabisaaHabari hii hapa
...
![]()
Gaza ceasefire latest: Hamas attacks Netanyahu as it releases bodies of four Israeli hostages
Hamas has released the bodies of four Israeli hostages - including a mother and her two children. Six living hostages will be released under the ceasefire agreement between Hamas and Israel at the weekend.news.sky.com
Pia waarabu hawawataki watu hawa HAMAS wapalestina na HEZBOLLAH wapalestina vikaragosi vya waIran kwa kuvamia nchi zao kama wakimbizi halafu wanasababisha wenyeji wao kupata kipigo kikali, sababu wakimbizi hawa hufanya mapinduzi baridi na kuweka mgambo mamluki vikaragosi vya wa Shia wa Iran.
Jiulize sababu ya wapalestina kutotakiwa nchi za kiarabu pamoja ya kuwa wamesoma sana kwa misaada ya UN na fedha za nchi za kiarabu lakini wakiingia ktk nchi za kiarabu wanaanza harakati zao dhidi ya tawala za kifalme na kidikteta za kiarabu lengo ni kuleta mapinduzi baridi ktk nchi zinaziwapokea kisha kuanzisha vita na Israel kupitia misaada ya Iran.
View: https://m.youtube.com/watch?v=Woj0d0bZJp0
Hii kama mzazi yeyote yule lazima ikuhuzunishe tu..sema sasa hapa badala ya kuwachukia hedhi-bora wanaoleta haya majanga, atawachukia zaid wayahud halaf na yeye atageuka kuwa gaid kulipiza kisasi halaf akijilipua wayabud wata react tena kwa kuua wengine hivyo badala ya kutatua tatizo atawaletea ndugu zake wengine misibaWHERE IS ALLAH?
ALLAH UPO WAAAPIII?
View attachment 3109278
Hujui kitu wewe, Israel ni zaidi ya wote hao na uzuri hata wenyewe wanakiri sasa wewe mla ugali na kisamvu unabisha kama nani.Kazi wanafanya Marekani na Uingereza mbwa koko wanawasifia Nguruwe pori wa Israel!