Wamechelewa na ndo maana unaona waandamanaji wameingia mitaani wanashangilia. Hii ni picha kuwa serikali haitokubali kuingia vitani.Lakini tusubiri tamko rasmi kutoka kwa Hezbollah wakiri kama ni kweli Nasrallah kafariki.
Kama ni kweli, nadhani Hezbollah haitoisikiliza serikali ya Lebanon kuhusu kuingia vitani na Israel, itakuwa deadly war...
Nao vile vile wataliwa vichwa tu.Wana katiba zao, unafikiri hawakujua kwamba kuna siku Nasrallah ataachia ngazi?
Kuna viongozi wengine wapo watakuja, kuna wasemaji watasema...
MossadHawa Waisraeli wanajuaje kuwa adui yuko eneo hilo kwa wakati huo? View attachment 3109240
Hao wanamgambo tuone kama vita itasimama.Mkuu; Hapo mwanaume ni mmoja tu - Myahudi.
Na wahenga walisemaga "Kikulacho ki nguoni mwako" lakini pia sayansi na teknolojia vimeAdvance kiasi kwamba Satelite Grid reference nazo huchangia kukutambulisha uko wapi na Biological DNA yako ni utambulisho hakika wa wewe.Ndo kazi ya intelligence, na kwa lugha rahisi pesa pia inahusika maana kuna muda watu inabidi watoe taarifa zako
Wao hawaamini umasihi wa Kristo Yesu..MUNGU wa Israel anaitwa BWANA MUNGU wa majeshi na KRISTO ndo masiha wake zaburi ya 2 soma yote hiyo zaburi upate chochote
Nimecheka sanaNasemaje, pelekea moto hao watoto wa allah, mpaka wajue kwamba Kristo Yesu ni mfalme wa amani.
Kabla ya huyo aliuliwa pia , wakati muda huu mashambulizi yanaendelea
Inaua magaidi.Dah hii dunia basi tu, yaani Israeli imeachwa iue hovyo hovyo
Usiogope mkuu kwa kuwa mtoto akililia ... mpe. Huenda atajifunza baada ya kutumia. Ndg zetu ktk Adam wanashingo ngumu sana.Ni taarifa rasmi kutoka BBC
Kiongozi Mkuu wa Hezbollah mh Nasrallah kauwawa kwa bomu la maangizi Beirut - Lebanon
Nimeogopa sana 🐼
Iran walisema yupo salama... Ila hawajatoa update, ngoja tusubiri tuwe na subira, sipingi, ila tu nataka kujiridhisha...Mkuu. Narudia tena kukuita MKUU. Yahudi akisema ameua 99% huwa ni kweli. Hawa intelligence yao ipo hai. Na hao hizbolah hawana uwezo wa kupigana na myahudi.
Naangalia hapa vita inaendelea ....
wewe unasubiri tamko wakati mwenzako sasa hivi huyo anaenjoy na mke wa saba?Sisi tunasubiri tamko la Hezbollah wakiri kama ni kweli...
Usije kushangaa Nasrallah anahutubia mkajificha 🤣😂
Shida anaweza kuwa mahali ambapo kuna wananchi wasio na hatia.Yahudi kwel kachafukwa, hapa hakuna tena zile kelele oooh wanaua akina mama .....inaonekana mzayuni aliwapandikizia GPRS hawa majamaa popote waendapo anawazoom
Kha! Isimame wapi broo! Labda Myahudi kwa huruma tuu, aamue kusimamisha kwa muda kidogo kipigo kitu ambacho hatofanya kwani anazingatia KIAPO chake kwamba lazima Hezbollah ifutwe kabisa na isikae iwepo hapa kwenye uso wa dunia.Hao wanamgambo tuone kama vita itasimama.
Naam teknolojia ina play part kubwa sana.Na wahenga walisemaga "Kikulacho ki nguoni mwako" lakini pia sayansi na teknolojia vimeAdvance kiasi kwamba Satelite Grid reference nazo huchangia kukutambulisha uko wapi na Biological DNA yako ni utambulisho hakika wa wewe.
Ngoma bado ngumuKha! Isimame wapi broo! Labda Myahudi kwa huruma tuu, aamue kusimamisha kwa muda kidogo kipigo kitu ambacho hatofanya kwani anazingatia KIAPO chake kwamba lazima Hezbollah ifutwe kabisa na isikae iwepo hapa kwenye uso wa dunia.
Potelea mbali. Wanachanganywaga mumo humo - nyama na mfupa.Shida anaweza kuwa mahali ambapo kuna wananchi wasio na hatia.