Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Kwa mara ya mwanzo jeshi la IDF limelazimika kutumia parachuti maalum ili kuwafikishia mahitaji muhimu maelfu ya askari wake wanaokaribia kufa kusini ya Gaza.
Maamuzi hayo yamkuja wakati vita vya mitaani vinaonekana kuwamaliza nguvu askari hao na kushindikana kuwafikishia mahitaji hayo kwa njia ya kawaida ya barabara.
Majaribio ya matumizi ya malori na barabara yamekuwa magumu kwanzia kutokana na miundo mbinu yote kubomolewa na wao wenyewe na pia kutokana na kushambuliwa na kuchukuliwa mahitaji hayo kwa matumizi ya Hamas.
Njaa na ukosefu wa maji inatarajiwa itakuwa ni msaada mkubwa kwa Hamas kuwamaliza askari wa IDF hata bila matumizi makubwa ya nguvu.